Recent content by prince alen

  1. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    Kwa mujibu wa Takwimu zilizopo, NHIF inahudumia asilimia 8 tu ya Watanzania, maana yake kuna asilimia 92 ambao wanahudumiwa kwa njia nyingine za matibabu jamaa hapo juu anahoji Nchi /afya ya nchi itatetelekaje kwa kuyumba kwa NHIF ambayo inacover 8% tu ya watanzania. Maoni yangu Nikweli...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hawa NHIF walikuwa wanatoa Gawio kwa Serikali chini ya Waziri, Je nini kimeikumba sasa chini ya Waziri?

    Sikumbuki NHIF kuwa moja ya mashirika yaliyotoa Gawio katika kipindi chochote, labda kama una Evidence unaweza kuweka hapa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viazi mviringo

    habari mkuu mimi pia nahitaji kuanza hii biashara lkn niliplan kutoa mbeya kuleta Mwanza naomba kujua yafuatayo umesema usafiri unalipa advance ( na kwa Dar unaanza na laki 3 probably kwa kuwa malori yanakuwa yanarudi bila mzigo) vipi bei kamili ya usafiri ni ngapi? na kama una fahamu bei ya...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo wakuu!!!

    aisee umetisha hasa na namba 2
  5. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri jamani....

    Thanks man will take into consideration
  6. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri jamani....

    for sure mkuu nimefurahi sana kwa ushauri wako thanks very much mkuu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri jamani....

    Jamani wana MMU naombeni ushauri kuna bi dada mi nimempenda kwelikweli mwanzo alikuwa rafiki tu baada ya mapenzi kunizidia nikaamua kumwambia cha ajabu hakukubari wala kukataa ila akanambia eti kwa sasa hayupo tayari kuwa ktka mahusiano yeyote...nilifadhaika sana nikaacha hata kuwasiliana nae...
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    ok twende taratibu mkuu 50% +1 maana yake ni kuwa upate asimia hamsini na kura moja yaani ile moja sio asilimia ni real number moja....so ile 0.03 % katika 50.03% ukiikokotoa kwenye idadi ya kula ni zaidi ya moja.....
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wajawazito Ileje wanavyokimbilia Malawi

    Hamna shida kama madactari waliambiwa wakatafute wanapoweza kulipwa vizuri,kuwa na mazingira mazuri yaa kazi na WEWE mwananchi ukakaa kimya sasa maana ya kauli ile ya mkuu wa kaya maana yake na mwananchi kama waweza kutafuuta mahali ukahudumiwa vizuri we nenda tu..tusidanganyane jamani hakuna...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Shetani

    Eti leo naingia kwa mara ya tano ndo nagundua kuwa Mzizi mbichi alisema mwisho wa episode 13,eti itaendelea jumamosi ijayo....daaaaaaah pouwa ntakuja that day bt pls MZIZI tufikirie hapa katikat ya wk pleaaaaasee.....
  11. P

    JamiiForums Tanzania Usife kwanza mpenzi wangu

    Ngoja niirudie kwa mara ya tatu...thanks kwa hadith nzuri hakika zatufunza
  12. P

    JamiiForums Tanzania Usife kwanza mpenzi wangu

    *** MIAKA MITATU BAADAYE Deo alifanikiwa kumaliza salama masomo yake na kupata kazi kama mhasibu wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya Snox Carries LTD ya jijini Dar es Salaam. Kwa upande wa Levina tayari alishajifungua mtoto wa kike aliyekuwa na umri wa mwaka mmoja na miezi kadhaa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kumzalia Mtu: Mbinu mpya ya kujimilikisha kitu forever! (Gambling/Kamari katika Mapenzi)

    SIO UMJINI MWATIMIZA MANENO YA MANABII ,HAKIKA DUNIA II KATIKA CKU ZA MWISHO HEBU WASOMAJI WA BIBILIA TUJIKUMBUSHE.... ISAYA 4:1-Na siku hiyo wanawake saba watamshika mume mmoja wakisema,tutakula chakula chetu na tutavaa nguo zetu wenyewe,lkn tuitwe tu jina lako,utuondolee aibu yetu.+
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mh. Joseph Mbilinyi hadi sasa umetufanyia nini Mbeya mjini?

    Mi nafikiri hii thread ina mhusu mbunge SUGU sasa kama tungetaka kujadili mkuu wa mkoa,wilay,nchi au mkurugenzi tungefanya hivyo ktka thread nyingine...tuna haki wana mbeya kuuliza tulichofanyiwa kwani ktk kampeni zake kuna vitu aliahidi kama alijua hawezi asingeahidi kuna usemi unasema AHADI...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    KWELI ALITELEZA BANA NA KUNA ALIPOSEMA“FROM WORK BADALA YA FLAME WORK“ jamaa anateleza kweli kama kwenye mlenda au ganda la ndizi
Back
Top Bottom