Recent content by primierboy

  1. P

    JamiiForums Tanzania Msaada, mawazo na uzoefu biashara ya asali

    Hapana bhana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata mafao NSSF baada ya kuachishwa kazi

    Issue ni hiyo professional ya mwanzo au
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata mafao NSSF baada ya kuachishwa kazi

    Jamani naomba msaada kwa anaeelewa kuhusu mafao ya NSSF. Mimi nimewahi kuajiriwa kama professional na baada ya mkataba nilifungua madai NSSF nikalipwa kwa mfumo wa 33.3% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 6 then muda ukapita nikiwa napambana na maisha. Baada ya muda nikapata kazi ambayo si...
  4. P

    JamiiForums Tanzania UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

    Nilivyoona2 Libya ndio inaongoza Africa nikajua tu hii n report ya kiduanzi
  5. P

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Kwe
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika namba moja kwenye sera mbovu za usajili wa laini za simu

    Kama kitendo cha serikali kuomba taarifa za watu ndo kinafanya Tanzania iwe na mfumo mbovu wa usiri wa taarifa za watumiaji wa mtandao basi napingana na ninyi kwasababu last week nimeona jarida limechapishwa na vyombo vya habari mashuhuli duniani kwamba marekani ndo nchi duniani inayoongoza kwa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Tito Magoti wa LHRC achukuliwa na watu wasiojulikana; Polisi wasema wanamhoji na wenzake 3

    Una Unatabiri bila kuwa nabii..hahaha sema labda unafaham issue anazozifanya kwahyo usisingizie kutabiri ilihali kumbe na wew unajua anachokifanya
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Erick Kabendera bado ipo kwa DPP, Kesi yaahirishwa hadi Januari 2, 2020

    Lakini vipi kama mh rais angetinga leo mahakamani kwenye hiyo kesi c mngesema sana kwamba ishara ya kuingilia maamuzi ya mahakama lkn kwakuwa n mabeberu aah wao n sawa
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kushamiri kwa birthday parties, ni ujinga na kuiga iga tu!

    Kuna mtu tarehe yake ya happy birthday imetofautiana na ya mwaka Jana
  10. P

    JamiiForums Tanzania IPTL saga: Tanzania kuilipa Standard Chartered Dola za Kimarekani Milioni 185

    Sa hapo issue yyakujimwambafy imeingiaje au ndo kuropoka kwenywe
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kumtangaza Mwl. Nyerere Mtakatifu kuratibiwa na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania

    Hizi dini za kuletewa zina ujinga mwingi sana hivi how dare kumtangaza mwanadam mwenzako utakatifu...waafrica tuna safari ndefu sana mpaka kuja kumjua mungu wetu..hivi hatuwaoni China,Russia,Japan,Korea,India na jamii zingine nyingi tu zinamwabudu mungu wao? Tofaut na tuliokaririshwa sisi dini...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliokamatwa kwa kuwa ombaomba Kenya warudishwa

    Jamani mm naungana na wakenya kwa sababu huo mchezo ambao watanzania wengi...Mimi Nafahamu Kinachofanyika kwa sababu kuna kaka yangu amewahi kufanya hiyo biashara kwa tamaa za pesa..ngoja niwaelezee jinsi ilivyo..iko hivi hapa tz Vijana wanachofanya ni kuzunguka mjini na vijijini kutafuta...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

    Yanga acheni ujinga wenu n mda wwakupevuka ki mawazo na ki akili mbna sisi simba tunavaa logo ya CAF club bingwa akati n ya kijani?tumieni akili acheni mambo ya ujima
  14. P

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yafunga balozi zake mjini Abuja na Lagos baada ya kutokea kwa mashambulizi

    Dawa ya kubwa n kubwa nyenzie
  15. P

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini: Katiba kubadilishwa ili kumuongezea mamlaka zaidi Kim Jong Un

    Basi hapo Ttump roho inamuuma.
Back
Top Bottom