IPTL saga: Tanzania kuilipa Standard Chartered Dola za Kimarekani Milioni 185

Dah, na wewe ukaamini maneno yao kuwa walikuwa wana pata hasara.Wewe huwajui tu hawa jamaa, wapo "on code" they never snitch on their own.

Hivi walilazimishwa kufanya biashara Tanzania? Kwa nini wameng'ang'ania? Mfanyabishara gani anayeng'ang'ania kufanya biashara yenye hasara?
Man, nisome kwa vituo! Nimesema ABG walikuwa TAABANI, na nikataja moja ya sababu ni kwamba ilikuwa inaandamwa na kashfa kiasi kwamba ikawa na poor image, na ndio maana Brad Gordon alipoajiriwa kama CEO tu, moja ya sharti ambalo alitoa ni kubadili jina!!

Sasa suala la kwamba ina maana naamini kwamba walipata hasara umelitoa wapi?! Na baada ya kuona mambo hayapo sawa, ndipo wakata kuiuza, na hata hilo suala la kutaka kuuzwa, Wall Street Journal pia waliripoti:-
LONDON— Barrick Gold Corp. GOLD +1.95% said it is in talks to sell a big chunk of its African assets to a Chinese miner in a deal that analysts say could fetch as much as about £2.5 billion ($3.9 billion)—the latest move by the world's largest gold miner to boost shareholder value.
Na mara baada ya Barrick ku-confirm suala la kutaka kuiuza ABG, kilichofuatia:-
Barrick Gold Corporation (TSX:ABX) was trading up 3.8% in heavy volumes in Toronto and African Barrick Gold (LON:ABG) closed 8% higher after Barrick confirmed that it is in preliminary discussions with China National Gold Group Corporation (China Gold) regarding its 74% holding in ABG.
Unaona hapo, suala la Barrick Gold ku-confirm tu kwamba African Barrick Gold (ambayo ndiyo Acacia) imepata Investor, bei ya hisa hapo hapo ikapanda!!

Sasa hujiulizi ni kwanini bei ya hisa ipande baada ya kutangazwa kuna majadiliano na investor?

Hata hivyo, Mchina akachomoa dakika za mwisho, na ndipo walipoamua kubadili management, na pia kubadili jina la kampuni kutoka African Barrick Gold to Acacia kama wanavyoripoti The Times:-
African Barrick Gold will attempt to turn over a new leaf today by renaming itself Acacia Mining and taking its first tentative step on the expansion trail with a deal in Burkina Faso.
Unaona hapo wametumia maneno "...will attempt to turn over a new leaf" na hapo unaweza kuoanisha na nilichosema hapo kabla!

Lakini pamoja na hayo, msidhani kwamba kampuni za madini huwa hazipati hasara!!! You guys mmeaminishwa vibaya sana kuhusu kitu kinachoitwa dhahabu!

Do your own research kuangalia in 2013 what happened in gold industry duniani... sizungumzii Tanzania ambayo najua tu utasema "...waongo tu hao!"

Na huo mwaka Barrick Gold walikula short ya kufa mtu! And remember, tunaposema Barrick Gold sio Acacia peke yake bali ndani yake kuna kampuni zinazochimba US, Canada na Australia!

Mgodi kama Goldstrike na Cortez Gold Mine iliyopo Nevada, Marekani ni mikubwa mkuliko mgodi wowote wa Acacia Tanzania, ingawaje kwa takwimu za akina Profesa Mruma wanataka kutuaminisha Acacia ndio yenye migodi mikubwa zaidi in terms of gold production kuliko mgodi wowote ule duniani!

Yaani Acacia imeipita migodi ya China, Australia, Russia, Marekani hadi Canada ambao ndio wazalishaji wakubwa wa dhahabu duniani!

Sasa sisi naweza kuseam ni rahisi kutudanganya, je wanaweza kuwadanganya hadi US, Canada na Australia?

And on top of that, TSX:ABX ni public traded company listed at New York Stock Exchange na Toronto Stock Exchange... unaweza vipi kuwa-fool wote hao?! Remember, kuwa listed kote huko, ni lazima vitabu vyao viwe vinakaguliwa na external auditors!
 
HATULIPI, wafanye wanachojua.
Kama kweli mpo serious na kutolipa basi uzeni ndege zenu zote maana zitakamatwa zikienda kokote nje ya nchi.Halafu kinachoshangaza ni kwa nini mmekuwa wakaidi namna hiyo kwa nini hamtaki kuwalipa watu wanaowadai? Kwa nini mlikataa kumlipa hata yule mkulima hana kitu ni maskini kabisa?
 
Sasa issue za Ndege zinaingia vipi hapa? au mimi ndo sijaelewa
Kama kweli mpo serious na kutolipa basi uzeni ndege zenu zote maana zitakamatwa zikienda kokote nje ya nchi.Halafu kinachoshangaza ni kwa nini mmekuwa wakaidi namna hiyo kwa nini hamtaki kuwalipa watu wanaowadai? Kwa nini mlikataa kumlipa hata yule mkulima maskini?
 
Man, nisome kwa vituo! Nimesema ABG walikuwa TAABANI, na nikataja moja ya sababu ni kwamba ilikuwa inaandamwa na kashfa kiasi kwamba ikawa na poor image, na ndio maana Brad Gordon alipoajiriwa kama CEO tu, moja ya sharti ambalo alitoa ni kubadili jina!!

Sasa suala la kwamba ina maana naamini kwamba walipata hasara umelitoa wapi?! Na baada ya kuona mambo hayapo sawa, ndipo wakata kuiuza, na hata hilo suala la kutaka kuuzwa, Wall Street Journal pia waliripoti:-Na mara baada ya Barrick ku-confirm suala la kutaka kuiuza ABG, kilichofuatia:-Unaona hapo, suala la Barrick Gold ku-confirm tu kwamba African Barrick Gold (ambayo ndiyo Acacia) imepata Investor, bei ya hisa hapo hapo ikapanda!!

Sasa hujiulizi ni kwanini bei ya hisa ipande baada ya kutangazwa kuna majadiliano na investor?

Hata hivyo, Mchina akachomoa dakika za mwisho, na ndipo walipoamua kubadili management, na pia kubadili jina la kampuni kutoka African Barrick Gold to Acacia kama wanavyoripoti The Times:-Unaona hapo wametumia maneno "...will attempt to turn over a new leaf" na hapo unaweza kuoanisha na nilichosema hapo kabla!

Lakini pamoja na hayo, msidhani kwamba kampuni za madini huwa hazipati hasara!!! You guys mmeaminishwa vibaya sana kuhusu kitu kinachoitwa dhahabu!

Do your own research kuangalia what happened in gold industry duniani... sizungumzii Tanzania ambayo najua tu utasema "...waongo tu hao!"

Na huo mwaka Barrick Gold walikula short ya kufa mtu! And remember, tunaposema Barrick Gold sio Acacia peke yake bali ndani yake kuna kampuni zinazochimba US, Canada na Australia! Mgodi kama Goldstrike na Cortez Gold Mine iliyopo Nevada, ni mikubwa mkuliko mgodi wowote wa Acacia Tanzania, ingawaje kwa takwimu za akina Profesa Mruma zinatuambia Acacia ndio yenye migodi mikubwa zaidi in terms of gold production kuliko mgodi wowote ule duniani! Yaani Acacia imeipita migodi ya China, Australia, Russia, Marekani hadi Canada wanaodhaniwa ndio wazalishaji wakubwa duniani!

Sasa sisi naweza kuseam ni rahisi kutudanganya, je wanaweza kuwadanganya hadi US, Canada na Australia?

And on top of that, TSX:ABX ni public traded company listed at New York Stock Exchange na Toronto Stock Exchange... unaweza vipi kuwa-fool wote hao?! Remember, kuwa listed kote huko, ni lazima vitabu vyao viwe vinakaguliwa na external auditors!
dah shukrani umenifumbua macho thanks for that
 
Hukumu ipo hapa.
 

Attachments

  • DS12957_En-IPTL.pdf
    2.3 MB · Views: 1
Mkuu haya madigitali si mchezo! Au umekosea kuandika? Kama kuna mjuzi wa kusoma haya madigitali anisaidie kusoma, Hii ni milioni au trillion?

426,459,532,315.98 Tanzanian Shilling


NB: Kuna haja ya kuanza kutumia umeme wa solar maana huu mzigo unaenda moja kwa moja kwa mwananchi!!

NB2: Wale mawakili nguli walienda sauzi hawakupelekwa kutetea?
Sauzi siyo sawa na Hong Kong. Sauzi kuna wangoni ambao ni waswahili wenzetu. Hawa wanapindisha sheria kwa maagizo kulinda ujinga wa ngozi nyeusi kwa kigezo cha undugu. Ndiyo maana hakuna mkataba wowote ambao mabeberu walikubali tukikosana tukashtakiane nchi za waswahili.
 
Hapa lazima patachimbika tu, unawezaje kuidai Serikali ya Tanzania wakati waliochukua mpunga ni IPTL? Kitengo cha wanasheria Tanzania kiimarishwe wazungu wasituchezee. Good move kutoka kwa Dr. Abbasi.
Dr Abbasi kafanya nini hapo mpaka apongezwe? Tueleweshe na sisi tufunguke macho mkuu. This Dr must be a genius....
 
Sasa issue za Ndege zinaingia vipi hapa? au mimi ndo sijaelewa
Sasa issue za Ndege zinaingia vipi hapa? au mimi ndo sijaelewa
Actually you are not well informed of the international arbitration for Settlement of Investment Disputes. That's the biggest problem you are facing, you don't know what comes next after the ruling is done. Do you remember what was about to happen due the confiscated properties of that S. A. farmer?
 
Back
Top Bottom