Recent content by pretty ray

  1. P

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Bodaboda wafanya vurugu, Polisi watumia mabomu kuwatawanya

    Bodaboda wanadharau sana acha jesh la polisi lifanye kazi yao big upo.
  2. P

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Askari mgambo auawa kwa kupigwa risasi

    One day yes watajulikana tuuu hakuna marefu wasiokuwa na ncha
  3. P

    JamiiForums Tanzania Joto kali ukeni

    sio tatizo kwani ndo inavyotakiwa mwanamke kuwa na joto tofauti na mwanaume big up sana wengine hawana.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Polisi mtaacha lini Rushwa?

    ?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Polisi mtaacha lini Rushwa?

    Usiseme njaa hapo unakuwa unakosea
  6. P

    JamiiForums Tanzania Polisi mtaacha lini Rushwa?

    Usiseme kuwa polisi wananjaaa hpn njaa iko kwa MTU yyte tuu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Polisi mtaacha lini Rushwa?

    Mimi nishaur tu kitu kimoja ukiona uko sahihi usitoe rushwa lkn nyie wenyw mnawakomvis maasikar kuwapa rush
  8. P

    JamiiForums Tanzania Polisi mtaacha lini Rushwa?

    Kwann mnaiandama xn polis kuwa wanakula rushwa cyo wtu wengne
  9. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Tunawatakia Waislam wote Mfungo Mwema wa Ramadhan

    Amin inshaaallah
  10. P

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

    Duuu kusema kwel wakristo hawatendewi haki mi nishawahi kushuhudia maeneo ya magomeni kuna mtoto kama ana miaka 15 kwa kukisia alikuwa anakula ubuyu kipigo alichopigwa nahisi hatorudia kula hadharani
  11. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimjibu nini huyu msafiri mwenzangu?

    Muite kondakita umwambie ttzo hlo
  12. P

    JamiiForums Tanzania Update;Mechi za Leo kuitimisha ligi kuu Tanzania bara (Vpl).

    Kombe ni LA ynga tumeshajua KBL ya mechi kuisha
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini majambazi wanapenda sana kutumia Boxer BM 150..?!!

    Ndo pikpik ambyo IPO vzr pia inavutika kirahis
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wake zetu msipende kuchunguza Simu za waume mtaumia

    Ahahahahahahaha hyo nayo shda mh
Back
Top Bottom