Joto kali ukeni

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Wana jf!!

Mpenzi wangu ni mwezi sasa analalamika kuwa nna joto kali sana ukeni hivyo inamuwia vigumu kusex with me.

Je hili ni tatizo kiafya?

Aisee what hiyo kitu ndiyo inatafutwa yeye anaikimbia? Kipindi cha kupata mimba hiccho mwambia asiikimbie watu wanatafuta hiyo hali wanakosa za hiyo hali Ache ushamba
 

Jack HD

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
737
1,000
Upo Africa, Tanzania, Dar es Salaam hyo ni sababu ya kwanza. Ungekuwa upo Greenland, iceland, norway, japan tungehoji kidogo.
wewe ni african, ungekuwa mzungu pia tungehoji.

wengine wanalilia joto, wako halitaki?? Ebo!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom