Recent content by Prestigious

  1. P

    Kiwanja Goba kinahitajika

    Habari wadau, Nahitaji kiwanja maeneo ya Goba, kiwe kikubwa wastani na kisiwe mbali na barabara ya Goba, kutembea kwa mguu sio zaidi ya dakika 15 kutoka stend/barabara kuu ya Goba. Dau langu ni 10m.
  2. P

    Mama Salma, Ally Kessy wapinga wanafunzi waliopata mimba kurudishwa shuleni, wasema dini haziruhusu

    Naunga mkono hoja yako 100%, mimba sio ajali, ni jukumu la jamii kuwakumbusha mabinti kuacha kuchanganya mambo, mapenzi na shule, pia huwezi kuchanganya mabinti na wamama ndani ya darasa moja, hapo ndio elimu na maadili yataporomoka zaidi
  3. P

    Kozi ipi nzuri kati ya IT na Umeme kwa ajira/kujiajiri?

    Habari za leo? Naomba ushauri, kuna dogo kamaliza form four ana pass za D 5 na nataka nimpeleke kozi za ufundi level ya certificate, sasa nauliza kati ya IT (Information technology) na electric engineering/umeme ipi yenye future nzuri/ mwisho mzuri katika kujiajiri au kuajiriwa? Naomba wenye...
  4. P

    Chuo cha ufundi cha Mamtukuna-Rombo

    Habari wadau wa jamiiforum, hongereni kwa majukumu ya leo. Naomba kwa yoyote mwenye kufahamu chuo cha ufundi cha Mamtukuna ambacho kipo wilaya ya Rombo, naomba anipe ufafanuzi kuhusu kozi zinazotolewa kule, utaratibu wa usajili, gharama kwa kozi na tarehe ya kuanza masomo. Je hiki chuo kipo...
  5. P

    Natafuta kazi ya stationery au kazi yoyote

    Kwani hujui wanakopatikana wenye matako?
  6. P

    Mjadala: Ni Upuuzi kumlaumu Mwalimu kwa kufeli kwa Wanafunzi

    Yote uliyosema ni ukweli mtupu. Kwa hili la ufaulu hafifu ni ishara tosha kuwa walimu bado wako kwenye mgomo wa kimya kimya. Nafikiri serikali inatakiwa kutatua changamoto zinazowakabili walimu ili waweze kufanya kazi kwa hari kama inavyotakiwa. Mambo ya kuchanganya siasa na mambo ya msingi...
  7. P

    Nani Vichwa Zaidi Kati ya Wanaopasua St. Kayumba na Wale wa Academy.

    Hayo uliyoandika ni kweli kabisa ndg, jamani watoto wanaosoma shule za serikali wanasoma mazingira magumu mno hivyo anayeweza kufaulu vizuri kama huyu wa ndugu yetu anastahili pongezi za pekee. Pia kuna wale wa shule za kata halafu vijijini unakuta amefaulu vizuri yaani inafurahisha sana, hao ni...
  8. P

    Natafuta kazi ya stationery au kazi yoyote

    asante kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi.
  9. P

    Natafuta kazi ya stationery au kazi yoyote

    Hata hiyo kwa kuanzia siyo mbaya, sasa ndugu yangu binti katoka shule mtaji wa stationery atatoa wapi? Lazima aanzie kwa watu kwanza apate uzoefu ndo ajipange
  10. P

    Natafuta kazi ya stationery au kazi yoyote

    Habari za leo wana JF, Samahani nina mdogo wangu anatafuta kazi ya stationary au yoyote ya halali, elimu yake ni kidato cha nne na amejiendeleza kwenye hizi shule za computer na accounting level ya certificate. Kwa mwenye nafasi hiyo naomba amsaidie tafadhali. Kwa sasa anaishi hapa Dar maeneo...
  11. P

    Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    Wadau habari za leo? Natamani kufungua biashara ya mikate yaani Bakery hivi karibuni ila sina uelewa kuhusu biashara hii. Hivyo naomba wenye uzoefu mnielimishe gharama halisi zinazohitajika katika biashara hii ikiwa ni pamoja na vifaa/mashine na bei zake, sehemu zinakopatikana/zinakouzwa kwa...
  12. P

    Kiwanja kinahitajika Boko au Bunju

    Natafuta kiwanja maeneo ya boko au bunju
Back
Top Bottom