Prestigious
Member
- Jun 23, 2016
- 15
- 4
Habari wadau wa jamiiforum, hongereni kwa majukumu ya leo. Naomba kwa yoyote mwenye kufahamu chuo cha ufundi cha Mamtukuna ambacho kipo wilaya ya Rombo, naomba anipe ufafanuzi kuhusu kozi zinazotolewa kule, utaratibu wa usajili, gharama kwa kozi na tarehe ya kuanza masomo. Je hiki chuo kipo chini ya VETA pia?