Natafuta kazi ya stationery au kazi yoyote

Prestigious

Member
Jun 23, 2016
15
4
Habari za leo wana JF,

Samahani nina mdogo wangu anatafuta kazi ya stationary au yoyote ya halali, elimu yake ni kidato cha nne na amejiendeleza kwenye hizi shule za computer na accounting level ya certificate. Kwa mwenye nafasi hiyo naomba amsaidie tafadhali. Kwa sasa anaishi hapa Dar maeneo ya airport. Asanteni.
 
BORA UKOMAE UFUNGUE YAKO KAZI ZA STATIONARY UMELIPWA SANA 80000/= KWA MWEZI
 
Hata hiyo kwa kuanzia siyo mbaya, sasa ndugu yangu binti katoka shule mtaji wa stationery atatoa wapi? Lazima aanzie kwa watu kwanza apate uzoefu ndo ajipange
 
KWA HELA HIYO NI NDOGO SANA HATA KWA KUMAKE,MIE NAMSHAURI KAMA ANAJUA KUTYPE KWA SPEED AENDE KWENYE KAMPUNI ZA MAGAZETI AKAJARIBU BAHATI YAKE
 
Stationery bila uzoefu hapati kazi, mtafutie mahali aanze kujitolea ili apate uzoefu, japo hata apewe chakula na nauli tu!
 
When you're applying for a job first of all you might be asked for work experience
 
Habari za leo wana JF,

Samahani nina mdogo wangu anatafuta kazi ya stationary au yoyote ya halali, elimu yake ni kidato cha nne na amejiendeleza kwenye hizi shule za computer na accounting level ya certificate. Kwa mwenye nafasi hiyo naomba amsaidie tafadhali. Kwa sasa anaishi hapa Dar maeneo ya airport. Asanteni.
Unakaa wapi call me 0715 088880
 
Hata hiyo kwa kuanzia siyo mbaya, sasa ndugu yangu binti katoka shule mtaji wa stationery atatoa wapi? Lazima aanzie kwa watu kwanza apate uzoefu ndo ajipange
kama ana tako la haja mwambie anitafute anafaa kwa matumizi ya binadamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom