Prestigious
Member
- Jun 23, 2016
- 15
- 4
Habari za leo? Naomba ushauri, kuna dogo kamaliza form four ana pass za D 5 na nataka nimpeleke kozi za ufundi level ya certificate, sasa nauliza kati ya IT (Information technology) na electric engineering/umeme ipi yenye future nzuri/ mwisho mzuri katika kujiajiri au kuajiriwa? Naomba wenye uelewa wa hili tafadhali mnisaidie kwa ushauri.