Recent content by Poyongo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kutokea Kigali Rwanda: Kachero Mbobezi na Mshirika wa karibu wa Paulo Kagame akamatwa na kuswekwa lupango

    Mwambie aseme anataka aonekane kila wakati amekuwa pesa?
  2. P

    JamiiForums Tanzania BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

    Ndo mana wanachukua muda wako,wahima wenyewe wachache hawana madhara yoyote kwa nchi yetu O
  3. P

    JamiiForums Tanzania BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

    Na wewe na bahima wako hawakupi usingizi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

    Eti Eti kila siku hayo hayo wafungue tujue moja hawajiamini ndo mana wanatishia tishia
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mvurugano nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki: Je, Bahima Empire inafitinishwa?

    Mwambie aache uongo atuonyeshe hao walinzi mbona sisi hatuwaoni kwenye misafara ya mheshimiwa?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mvurugano nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki: Je, Bahima Empire inafitinishwa?

    Huyo amekosa cha kuandika analeta mambo ya kifikilika tu.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mvurugano nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki: Je, Bahima Empire inafitinishwa?

    Huyo mwandishi ameandika mambo mengi lakn uongo mtu mtupu eti kuna wanyarwanda wanalinda ukuta wa merelani uongo mtupu,anaandika kama amekatwa kichwa eti kuna wanawake wa kinyarwanda wamejea kwenye wizara ipi wamejaa? Uongo mtupu.
  8. P

    JamiiForums Tanzania CCM, siasa za visasi hazifai kamwe

    Kupitishwa jina wanaangalia mchango wako kwenye chama unakuta mbunge hawezi hata kutetea chama kinaposhambuliwa na wapinzani yupo tu hakuna aliyeonewa hapo.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa CHADEMA ni ushindi wa vijana waliotoka familia zisizo na majina makubwa

    Acheni kudanganya fanyeni tafiti kwanza.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Balozi wa Tanzania

    Huyo mtoa mada hana adabu yaani anamtaja balozi kirahisi hivyo kweli!
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Balozi wa Tanzania

    Atafuta za kwake mshahara wa mtu ni siri yake.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Balozi wa Tanzania

    Mshahara wake unataka wa nini?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Je, Job Ndugai bado ni Spika?

    Waambie waelewe waaache kuweweseka
Back
Top Bottom