Sijathibitisha chochote ila kama unayoyasema unayaamini kuwa ni ukweli basi ni mpango wa muda mrefu sana na haujaanza leo, Kifo cha Habyarimana TZ yetu inahusika kwa namna moja au nyingine kwa maana Habya alitunguliwa akitokea Dar yeye pmj na Raisi wa Urundi na intelligence walimuonya kwanza kutokwenda TZ kwani walidukuwa Infos za assassination, na huwo ndiyo uliokuwa mwanzo genocide iliyomuingiza Kagame na kupata powers kuna players wengi kuanzia CIA, French intelligence na wengineo, usisahau Museveni ni partner wa Kagame na aliyemuingiza au moja ya watu waliomuingiza Museveni madarakani ni Nyerere, Museveni alikuwa TZ kabla ya kufanya Mapinduzi UG, zingatia kwamba Kagame alikuwepo kwenye Jeshi la Museveni lililofanya Mapinduzi Uganda hivyo unganisha dots halafu uone kama Nyerere anachomoka hapo, hivyo kama ni kweli usemavyo basi ni mpango wa muda mrefu wa tangu Nyerere kwani Nyerere ana asili ya Unyarwanda, pia usiwasahahu Wazungu kwani Kagame amesoma USA !