Mvurugano nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki: Je, Bahima Empire inafitinishwa?

Nimetumia neo RADIO MBAO je unaelewa maana yake?
Udaku. Ndio kazi tunayoiweza kina site. Tunadanganyana toka asubuhi mpaka usiku, sababu hatuhangaiki kuutafuta ukweli. Ukweli una tabia ya kukataa kulazimishwa kuwa uongo. Ndio maana hata hii hadithi ya sasa inaonekana kabisa ni uongo toka ianze.
Tanzania ilimsaidia Nkurunziza kurudi Bujumbura baada ya kupinduliwa. Mbona watu hawaongei hilo wamekazana walinzi wa Rais wanatoka nchi jirani. Hivi wale wapare waliomo nao ni wa nchi jirani?
 
Mwambie aache uongo atuonyeshe hao walinzi mbona sisi hatuwaoni kwenye misafara ya mheshimiwa?
 
Udaku. Ndio kazi tunayoiweza kina site. Tunadanganyana toka asubuhi mpaka usiku, sababu hatuhangaiki kuutafuta ukweli. Ukweli una tabia ya kukataa kulazimishwa kuwa uongo. Ndio maana hata hii hadithi ya sasa inaonekana kabisa ni uongo toka ianze.
Tanzania ilimsaidia Nkurunziza kurudi Bujumbura baada ya kupinduliwa. Mbona watu hawaongei hilo wamekazana walinzi wa Rais wanatoka nchi jirani. Hivi wale wapare waliomo nao ni wa nchi jirani?
Nkurunziza kurudi Bujumbura baada ya kupinduliwa. Mbona watu hawaongei hilo wamekazana walinzi wa Rais wanatoka nchi jirani. Hivi wale wapare waliomo nao ni wa nchi jirani
 
Mfitini mkubwa ni KENYA ila muda utaongra tu. Kwanza Warwanda washaanza kulalamika kwamba wakenya wanachukua nafasi zao za kazi pale Kigali..afu kubwa ni kwamba KENYA na RWANDA hazijaungana kwa mipaka zipo mbali lazima mvuke nchi nyengine..Tusubiri tu muda utasema
 
Tunachoringia Tanzania ni kwamba tuna ardhi kubwa kuliko kenge yeyote jirani na tuna population kubwa kupita wote hivyo tuna soko kubwa..sisi hatuwafati ila watatufata wao
 
Tunachoringia Tanzania ni kwamba tuna ardhi kubwa kuliko kenge yeyote jirani na tuna population kubwa kupita wote hivyo tuna soko kubwa..sisi hatuwafati ila watatufata wao
Na ndiyo inayotafutwa
 
Miaka 5 ya awamu ya tano inafikia tamati na pigo toka kwa nchi mwanachama kuweka katazo la bidhaa za jirani na mwanajumuiya zisiingizwe nchini mwake...Rwanda imepiga marufuku bidhaa za Tanzania zisiingie tena nchini mwake na sasa anataka na kufunga mpaka wa Rusumo

Migongano ipo popote na hata kwenye jumuiya kubwa kama hii haiwezi kukosekana.. Migongano na migogoro ipo mahali popote hata ndani ya familia...tatizo sio migogoro...!!! Tatizo ni namna ya kutatua tatizo linapotokea ama kuviwahi viashiria vya tatizo kabla halijamea

Hapa tutoke kidogo nje ya mipaka yetu ..tujadili siasa za kikanda, mahusiano na majirani na ushirikiano ndani ya jumuiya kubwa ya Africa mashariki...kwa hii miaka mitano jumuiya imekumbwa na migongano ya hapa na pale

Uganda na Kenya kuhusiana na mradi mkubwa wa bomba la mafuta...Uganda waliwachomolea Kenya dakika za mwisho na kupewa Tanzania...hii ilimuuma sana Kenya ambaye naye sasa anamcheka Mganda baada ya mradi husika kufunikwa na sintofahamu kubwa...!!!
Uganda na Rwanda.... Ishu ya wakimbizi na kufadhili ama kuhifadhi vikundi vya wapiganaji wenye nia ya kupindua serikali za mataifa husika

Kenya na Tanzania kuanzia kuchomeana bidhaa hai, kutaifisha mifugo ama kupiga faini kubwa mpaka kufikia kuwekeana makatazo ya kibiashara kwenye usafiri wa anga kisingizio kikiwa covid-19

Burudi na Rwanda ishu ya makundi yanayopinga serikali zao..tuhuma za kuhifadhi na kufadhili makundi husika

Lililo jipya ni hili la Tanzania na Rwanda kuhusu bidhaa na inavyoelekea mambo yanakwenda kwa haraka mno....lakini ninini kimetokea kati ya haya mataifa mawili? Jirani halafu wanajumuiya moja?

Mwanzoni mwa awamu ya tano mahusiano yetu yalikuwa ni mazuri sana mpaka redio mbao zikawa zinasema yake

Ya kwamba
Ushauri wa kununua ndege tena kwa cash tuliupata Rwanda

Ya kwamba
Ukuta wa Mererani lilikuwa ni wazo la Rwanda na eneo lote likawa linalindwa na wanajeshi wa Rwanda

Ya kwamba
Rais alikuwa na ulinzi maalum toka Rwanda

Ya kwamba
ushawishi wa Rwanda na ukaribu wa viongozi wakuu ndio uliochochea reli kujengwa kwenda Rwanda nchi ya watu wasiozidi milion kumi na kuacha kuipeleka Kongo nchi yenye watu zaidi ya milion mia

Ya kwamba
Mradi wa ujenzi wa bandari kavu eneo la Ruvu mizani na miundo mbinu ya moja kwa moja mpaka airport na bandarini ni ushawishi wa Rwanda kwa ajili ya mizigo yake

Sasa kama yote haya ni kweli ....ninini kimetokea all of a sudden!? Kuna wambea wanasema chinichini ni uhuni aliofanya rais wa Rwanda kwenye madini...kwamba alipiga mzigo wa kutosha na kusepa nao kihuni....zile za kimjinimjini.

Pamoja na kwamba sababu kubwa ni covid-19 ...kwakuwa kama jumuiya hawakuwa na sauti moja kwenye kukabiliana na hilo gonjwa na kila mtu akatenda kivyake

Mwanzoni wananchi wa nchi jumuiya walitishwa kuwa viongozi wao wana andaa kitu kinachoitwa BAHIMA EMPIRE na wanahakikisha hiyo ndoto inafanikiwa..hicho ni kipindi ambacho viongozi walikuwa wanatembeleana na kufanya mijadala pamoja
Viongozi walikuwa wanaalikana kwenye matendo ya furaha na huzuni pia.

Kwasasaa jumuiya ni kama imekuwa mfu...likitokea jambo lenye manufaa hasa kiuchumi wanaanza choyo na ubinafsi na kufanyiana hila
Zikitokea changamoto za usalama na mambo ya kisiasa wanaaza kunyoosheana vidole na kutuhumiana wenyewe kwa wenyewe.

Kule kutembeleana na kupeana zawadi kumekoma...covid inaweza kuwa kisingizio lakini nyuma ya pazia kuna picha kubwa zaidi isiyotolewa hadharani na pengine hii ndio inayofitinisha ile ndoto kubwa na ya muda mrefu ya kuwa na BAHIMA EMPIRE.!!
Lakini katika wote hawa MFITINI mkubwa ni nani!? Muda utasema..!!
Total yafikia makubaliano na Uganda, yakaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kupitia Tanzania
 
Back
Top Bottom