Ushindi wa Chadema ni Ushindi wa Vijana waliotoka Familia Zisizo na Majina Makubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushindi wa Chadema ni Ushindi wa Vijana waliotoka Familia Zisizo na Majina Makubwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jan 25, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa la CCM ya leo ni kwamba imekaa madarakani kwa muda mrefu sana na kujijengea tabaka kubwa. Hebu fikiria kiongozi wa nchi, ana fadhila ngapi za kulipa ukitegemea amelelewa kwenye system muda mrefu. Ndio maana watu wanalalamika kuwa watoto wa wakubwa wamejaa ubalozini. Akichaguliwa Dr Slaa leo ataivunja system na kuijenga upya.

  Kwa kuwa hana watu wengi atawategemea sana vijana ambao wana brains lakini si wa system. Teuzi zake zitamwibua kijana maskini lakini ana akili. Hiyo ndio imewasaidia wamarekani na wengine. Kiongozi anakuja na watu wake na kuondoka na watu wake kwa hiyo katika kabadilishana vyama na serikali watu wengi zaidi wanapata nafasi za kushika nyadhifa na kutoa mchango kwa taifa.

  Vijana tufikirie positively, tufanye mabadiliko ili watoto na wajukuu wetu wanufaike. Inawezekana Dr Slaa asiwe kiongozi mzuri sana ila tu kitendo cha kuivunja system na kuiunda upya kitaleta mapinduzi makubwa sana na kitawapa watu wengi wenye uwezo nafasi.

  Jioni njema
   
 2. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  hivi kumbe mbowe sio jina kubwa tz,napita tu jaman
   
 3. i

  ibange JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ni jina kubwa lakini Mbowe ana wajibu kuwalipa fadhila akina nani hata kama angekuwa mtu wa kulipa fadhila?
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu si Mbowe pekee kwenye Chadema wako watu serious wengi kama Zitto katoka wapi ? Mdee , Mnyika ,Slaa mwenyewe na wako wengi mikoani huko nk
   
 5. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sasa kama watoto wamelelewa kwenye siasa! wakakuzwa humo! wakaona huko ndiko wanataka kwenda! wasiende tu kwa kuwa wazazi wao ni wanasiasa? Ndio tabaka la siasa linajijenga hivyo.

  chadema bado changa itafika huko siku moja!
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,113
  Likes Received: 5,565
  Trophy Points: 280
  isingekuwepo madarakanai si chsdema wote tungeuana kuingia ikulu mpwa
  lazima atoke mtu aje mtu
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndo hiyo inaleta kulipana fadhila
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa upande mwingine wanachofanya ccm kwa sasa ni ulevi wa madaraka ila kama wasingekuwa wamelewa madaraka viongozi wao japokuwa wamewekwa kwa kulipana fadhila wangekuwa wakitimiza wajibu wao na kuwajibishana kungekuwepo
   
 9. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Bora upite tu!maani inabidi uwe well upstairs kuchangia jukwaa ili!usiwe na akili ya kuku
   
 10. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Shilembi Magadula alikuwa muuza ndizi wa soko la nguzo nane Shinyanga! Alifikia kuwa mwenyekiti wa mkoa mjumbe wa kamati kuu, Diwani na Mbunge Halali wa Shinyanga, hiyo inawezekana CCM?
   
 11. k

  kipinduka Senior Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona husemi mbowe vs mtei,slaa vs mzaz mwenziwe,ndesa vs family,chadema ndio wabaguz zaid ya ccm mbona wanapeana kioko zitto na mama mzaz achen upupu hamna de6krasia kilichopo ni ubakaj demo
   
 12. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kurudisha fadhila kwa wazazi ndani ya ccm! Ni kawaida
   
Loading...