Recent content by Powerful

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    sijaahi kuona watanzania kama ninyi manashindwa kupambanua mambo kwa hoja,unaifahamu kazi ya mbunge au unashabikia kwasababu huna akiri ya kupambanua mambo?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Rwekeza Mukandala bora ukae kimya tu utaibua mengi

    Asante sana,kati ya wote wewe ndo umetoa sababu ya msingi
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    sasa kaka nataka kujiunga but mwenzio cjui procedures.unaweza nisaidia kupata maelezo ya kina?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

    kwa upande wangu mi naona ziito yuko sahihi,jambo maneno ake yamekuwa na ukali wa kuhatarisha amani:target:
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    Yangu macho
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kupeana vyeo kiundugu na kiswahiba; Hii ndio Demokrasia ya CHADEMA?

    Mkuu uliyeleta mada huko sahihi sana,sioni sababu ya chedema kuwanyoshea vidole ccm kuwa ni chama cha kindugu na wakati hata sisi chama chetu kinalea undugu.ukitaka uwe adui wa chadema we kuwa mkweli kwa kila jambo we siku zote utaonekana mbaya wao.mi mwenyewe ni chadema wa kweli na wa kwenye...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Top Ten Best Paying Banks in Terms of Salary by 2013 in Tanzania

    MBONA VIJANA WANOJIITA WASOME WATAKUFA MASIKINI KWA NJIA HII :A S cry::smile-big::smile-big::embarassed2::A S 13:
  8. P

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora Africa na cha kwanza A.Mashariki

    kama unaona rink iliyotolewa si ya kweli basi ww bjoo na kwako ambayo unajua ni halali na ya kweli.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Picha:Mkutano wa Slaa Alabama aibu tupu,10 wajitokeza kusikiliza mazungumzo yake

    sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa furahi sasa
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nikiua boda boda nisiulizwe wala kulaumiwa

    wachinje maana hawa vijana kama vile wanavichaa.cjui ni kitu gani kinawakeleketa kwenye hivyo vichuguu vyao
  11. P

    JamiiForums Tanzania Walioikimbilia CHADEMA waanza kuitenga

    nanona hili jamaa linanichefua kwa hizo habar za migamba.sijui mijitu mingine hua inashirikisha mibox(mivichwa) kufikilia au ikiamka inaandika kile kinachokuja kichwani mwao
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kulipwa Mshahara Mkubwa Serikalini inategemea Nini UTUMISHI?

    daaa bora hata ningeishia darasa la saba nikajiajili mwenyeqe maana hapa ni kama kupoteza mda tuu kwa mambo ambayo hayawezi kuinua kiuchumi hata siku moja.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wadada makwapa hayo

    wapasheni maana hapa mtaani nikisema wananiona mbaya.kuna siku nilikuwa natoka Tegeta naelekea Mwenge tukapanda townbas na binti 1 pembeni angu.aliponyanyua mkono kushikka bomba niliamua kumwambia konda nashuka japo nilikuwa hata sijafka nusu ya...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya hoja: Matumizi ya muda Bungeni, ni kukua demokrasia?

    hilo jamaa lenye kijitai chekundu nadhani si mtanzania hata kidogo,si unaliona na mioja ya kunya
  15. P

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

    sawa bhana
Back
Top Bottom