Prof. Rwekeza Mukandala bora ukae kimya tu utaibua mengi

Prof. Rwekeza Mukandala bora ukae kimya tu utaibua mengi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,724
Reaction score
165,127
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam,Prof.Rwekaza Mukandala,leo ametoa kauli kumpongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa rais na kusema kuwa huo ni uthibitisho kuwa chuo hicho kinatoa taaluma bora na pia amejivunia chuo hicho kutoa viongozi wengi wa kitaifa.

Prof Rwekaza ameongeza kuwa Magufuli alimaliza shahada yake ya kwanza hapo UD mwaka 1988,mwaka 1994 umahiri (ndio inavyosomeka) na pia alipata shahada ya uzamivu(Phd) mwaka 2009 hapo hapo UD.

Chanzo:Mwananchi online.

=========

Prof. nakushauri ukae kimya tu maana utaibua mengi kuhusu hao wahitimu wa hicho chuo waliowahi kuwa viongozi na ambao bado ni viongozi na hata huyu mh. Magufuli nae ndio kwanza anaanza hivyo ni bora kuwa na akiba ya maneno.
 
Re-prof anatafuta kiki ya kupewa mwaliko wa kwenda
kumsabahi mkulu wa kaya ...ila bahati mbaya jamaa
hana mpango na watafuta kiki wa mtindo huo.
 
Huyu aliyepita alihitimu wapi vilee?

Yudizim, teh teh,hakafu jamaa huwa wanajivunia watu wa upande mmoja,mbona silinde (BCOM) mbunge wa Momba na Jacob(Mwalim) diwani wa ubungo nao wamemaliza UDSM,wanafanya vizur na hawasifii.
 
Re-prof anatafuta kiki ya kupewa mwaliko wa kwenda
kumsabahi mkulu wa kaya ...ila bahati mbaya jamaa
hana mpango na watafuta kiki wa mtindo huo.

Jamaa apige ziara ya ghafla pale akakute vijana wanalala chini na kubebana,
 
Mbona hamsifii Museveni , naye si alipita pale
 
Wa kaskazini, wa kanda ya ziwa, wa Chato,Kabila lake, Ukoo wake, familia yake, walimu wa shule toka ya msingi mpaka sekondari alizosoma, wanasifu na kunajidai kijana tokea kwao amepata nafasi ya juu ya nchi. Sembuse itakuwa Prof. Mkandala? Maumivu ya kumkosa tuliye mhitaji yasitupeleke huko.
 
huyu mzee nae apishe tu hiyo ofisi... haendani na kasi ya magufuli kwa sasa!!! naona anataka kuonekana na ye yupo
 
Prf yupo ok, Rais Magufuli, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika na Naibu wake pamoja na makatibu mbalimbali wa Wizara, wote wamesoma Udsm, Ni Pongezi kubwa sana kwa chuo na walimu kwa ujumla kwa kuwa kioo cha kukuza vipaji na upatikanaji wa viongozi wa nchi.
 
Sijui kama si kusoma UDSM angesoma wapi wakati ndicho chuo kikuu pekee nchini hadi enzi zetu tulio na umri mdogo kidogo kwa JPM??

Labda tuelimishane hadi mwaka 2000 nchi hii ilikuwa na vyuo vikuu vingapi na wakati huo (mwaka 2000) vyuo hivyo vilikuwa vimeshafanya mahafali mara ngapi? Tukianzia hapo ni wazi tutakuwa na sababu ya kukisifia UDSM au kukaa kimya tuu na kuangalia yanayoendelea.
 
Re-prof anatafuta kiki ya kupewa mwaliko wa kwenda
kumsabahi mkulu wa kaya ...ila bahati mbaya jamaa
hana mpango na watafuta kiki wa mtindo huo.

Hatafuti kıki yeyote kwanı ameshastaafu.Ameshka tu nafasi hiyo kwa muda.VC anaenda kutoka Engineering tena.
 
Sijui kama si kusoma UDSM angesoma wapi wakati ndicho chuo kikuu pekee nchini hadi enzi zetu tulio na umri mdogo kidogo kwa JPM??

Labda tuelimishane hadi mwaka 2000 nchi hii ilikuwa na vyuo vikuu vingapi na wakati huo (mwaka 2000) vyuo hivyo vilikuwa vimeshafanya mahafali mara ngapi? Tukianzia hapo ni wazi tutakuwa na sababu ya kukisifia UDSM au kukaa kimya tuu na kuangalia yanayoendelea.

Good point chief...watu waache sifa za kijinga!! kuna thread ilishakuepo humu humu inazungumzia jinsi UDSM ilivyo kinara wa kuzalisha viongozi mafisadi!!
 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam,Prof.Rwekaza Mukandala,leo ametoa kauli kumpongeza Raisi Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa raisi na kusema kuwa huo ni uthibitisho kuwa chuo hicho kinatoa taaluma bora na pia amejivunia chuo hicho kutoa viongozi wengi wa kitaifa.

Prof.ameongeza kuwa Magufuli alimaliza shahada yake ya kwanza hapo UD mwaka 1988,mwaka 1994 umahiri(ndio inavyosomeka) na pia alipata shahada ya uzamivu(Phd) mwaka 2009 hapo hapo UD.

Chanzo:Mwananchi online.

Prof.nakushauri ukae kimya tu maana utaibua mengi kuhusu hao wahitimu wa hicho chuo waliowahi kuwa viongozi na ambao bado ni viongozi na hata huyu mh.Magufuli nae ndio kwanza anaanza hivyo ni bora kuwa na akiba ya maneno.

hivi kwani pale pia huwa kuna kozi ya ufisadi?
 
Prf yupo ok, Rais Magufuli, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika na Naibu wake pamoja na makatibu mbalimbali wa Wizara, wote wamesoma Udsm, Ni Pongezi kubwa sana kwa chuo na walimu kwa ujumla kwa kuwa kioo cha kukuza vipaji na upatikanaji wa viongozi wa nchi.

ok ok, na mie pia nimesoma UDSM kuanzia 2002 hadi sasa bado nasoma. basi na mimi nitakuwa kiongozi mkubwa tu wa tanzania kama kgezo ni kusoma UDSM.
 
Mbona hajawahi kumpongeza Jk. kwa kusoma hicho chuo? au Prof. Muhongo kwa kusoma na kufundisha?

Huyu kuna kitu anatafuta kwa Magufuli, ni Jipu lingine linalohitaji kutumbuliwa na kukamuliwa kwa nguvu sana bila kujali maumivu kwa mtumbuliwaji.
 
Tatizo lake lipo wapı kwa mtazamo wako?Kwa upande wangu na dunia bado inaamini Tanzania ina vyuo vikuu 3 tu.UDSM,ULAS,SUA.Vingne ni ilimradi tumeongeza takwimu!
 
Sijui kama si kusoma UDSM angesoma wapi wakati ndicho chuo kikuu pekee nchini hadi enzi zetu tulio na umri mdogo kidogo kwa JPM??

Labda tuelimishane hadi mwaka 2000 nchi hii ilikuwa na vyuo vikuu vingapi na wakati huo (mwaka 2000) vyuo hivyo vilikuwa vimeshafanya mahafali mara ngapi? Tukianzia hapo ni wazi tutakuwa na sababu ya kukisifia UDSM au kukaa kimya tuu na kuangalia yanayoendelea.

Asante sana,kati ya wote wewe ndo umetoa sababu ya msingi
 
Back
Top Bottom