Mungu ni wa utaratibu hapendi kelele Wala vurugu hao watu wafanye ibaada inayompendeza mungu sio kelele na kero kwa majirani.
Amri kuu ya mungu ni kumpenda mungu na jirani kumkera na kumkwaza jirani ni kosa Kwa mungu.
Walokole punguzeni kelele na kero kwa majirani Ili ibaada zenu zifae mbele za...
Our secretary of state please workout on that issue.
Milioni nne kwa mwezi sio mchezo.
Kwanza. Kifo ni suala la kawaida hata ukiwa Tanzania kama muda umefika unakufa.
Pili. Vita vinaelekea ukingoni Hamas hawana namna
Tatu. vita vinapigwanwa gaza mashamba ya Israel yalipo ni mahali salama...
Wewe ndo una akili ya kitumwa.
Wanafunzi wanapaswa kusafisha mazingira yao Ili wasipate maradhi. Walimu wanawajibika kuwasimamia na kuhakikisha kwamba wanafunzi wanakaa pasafi.
Roma makatoliki aliwahi kusema :- bila kutumia akili zitakazoumia ni sehemu za Siri .
Wazazi wanapaswa kuandaa mabinti zao kujitegemea Ili.
A. Ikitokea kapata mume aongeze pato la familia na ku-boost maendeleo yao.
B. Asipopata bwana awe na maisha binafsi ajitegemee kwa kuchapa kazi halali.
Aljazeera ime - base upande wa palestina kazi yao ni kuongea mabaya ya Israel tu .
Hamas ndo ilichikoza Israel ila hawasemi kutwa nzima ni kuponda Israel na IDF.
BBC ndo channel nzuri wapo kati kati.
Nchi ya kanani ni nchi ya ahadi kati ya mungu na wana wa Israel hata waarabu wakiungana vipi hawana uwezo wa kuangamiza waisrarli na kuchukua ardhi.
Walidanganyana kwamba Hamas waanzishe zari watamuunga mkono kuchapa Israel mwisho wa siku wapalestina wanachapwa bila huruma wakitazama mbali.
Hakuna cha kupendana wala nini.
Ndege wa rangi moja wanaruka na kutua pamoja.
Maskini atafute maskini mwenzake tajiri atafute tajiri mwenzake mbona simple tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.