Recent content by pori

  1. P

    Nani anavutia kati ya hawa .

    samahani wana-jf. huyo wa katikati ni mtu? nahisi nahitaji miwani yenye lensi kali!
  2. P

    PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

    kwa kweli hata mimi picha nzima ya kifo cha mwangosi imenitoa machozi. hivi ni binadamu gani anayeweza kuua binadamu mwenzie kwa ukatili kiasi hicho na hasa pale anayeuwawa hana kosa lolote. nguvu iliyotumika ni kubwa sana unnecessarily. rest in peace daudi. i wish aliyehusika ku-trigger...
  3. P

    nini tofauti kati ya Mkoba na Ulimboka ??

    mkoba ni begi na ulimboka ni mtu!
  4. P

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    kwa maoni yangu naona mwenge unatupotezea muda na resources. huu ni mradi mwingine wa kula pesa kiulaini. mbio za mwenge zifutwe, hazina tija
  5. P

    Msafara wa Kikwete Brazil Kwenye Mkutano wa OGP

    advance party ni wale wanaotangulia kwenye nchi husika kuweka mambo sawa. pia kuna wanaobakia nyuma kwa siku kadhaa ili ku-clear madeni yote. kwenye orodha nilimsahau mwandishi wa rais pamoja na premi kibanga. kazi kwetu watanzania. jtatu anakwenda kumzika bingu wa mutharika
  6. P

    Msafara wa Kikwete Brazil Kwenye Mkutano wa OGP

    kwa uchache wao tu nakupa hesabu ya uhakika:- Jk, mama salma, adc, protocol officer, michuzi, anna nkinda(photographer), gerson msigwa(television), mulamula, susan mlawi, mpishi, daktari, mpiga pasi, bodyguards 8, aloyce masanja, waziri wa zanzibar, naibu waziri mambo ya nje. hawa...
  7. P

    Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

    Pambaf! Peleka ujinga wako kule! Nyumba ndogo ni pressure zisizo na sababu! Mzinzi mkubwa we!
  8. P

    Je wapi naweza kupata kitabu cha alfu lela ulela na hekaya za abunuwasi?

    asante sana RR kwa maelekezo yako na wengineo wote waliochangia. nitafuatilia katika maduka yaliyotajwa.
  9. P

    Je wapi naweza kupata kitabu cha alfu lela ulela na hekaya za abunuwasi?

    wapendwa, kichwa cha habari chahusika. tafadhali naomba msaada wa maelekezo wapi naweza pata vitabu hivyo vya kizamani. navi-miss sana. pia nimefurahi kuwa kwa mara ya kwanza nimeweza kuposti thredi. mwanzoni nilikuwa nashindwa kabisa. asanteni =============== Links ===============
  10. P

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    hiyo redio ingefungiliwa mbali! wachokonozi sana hawa. hawashangai kuwa kila wakichokonoa dini zingine wanapuuzwa? Why? hiyo ni kutokana na usomi na uelewa wa dini zingine. ni tatizo la kutokwenda shule. kutwa wanashinda kwenye madrasa, elimu wanaipata muda gani? mara ooh maandamano vya vitu...
  11. P

    Waziri Maige amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Wanyamapori kupisha Uchunguzi!

    inasikitisha sana kuona kuwa wanyama wakubwa kama twiga na tembo wanasafirishwa bila watendaji wakuu wa wizara kuwa na taarifa. ni kichekesho na haiingii akilini. tusipokuwa makini maliasili zetu zotepi zitaishia kutajirisha nchi za nje. pia kuna jambo lingine la ziada- naomba wizara husika...
  12. P

    Zanzibar: Wanaokula hadharani, kuvaa nguo fupi kukiona

    Jamani naomba kuuliza? Hivi kwa nini waislamu wanapofunga wanakuwa na masharti mengi sana? je wakristu wanapofunga kwaresima, waislamu huwa wanalazimishwa kula mafichoni? kama ni maadili basi yawepo wakati wote na siyo kipindi cha mfungo tu!
  13. P

    Twambieni Wana Mbinga Heri Tuamie Malawi Tujue Moja - Kapten John Komba

    huyo ndiye Kapteni bwana, a.k.a 'nyumbi ii bombi ii'.
Back
Top Bottom