Matibabu Nchini India "Si Lolote!, Si Chochote!, ni Biashara Zaidi!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
42,430
92,707
Wanabodi,

Wimbi la Tanzania kuwapeleka wagonjwa wetu nchini India kwa matibabu, limeendelea.

Kwa vile mimi ni mmoja wa Watanzania niliotibiwa nchini, India, nakubali kuwa India inasaidia kwa baadhi ya magonjwa na gharama zake ni nafuu, lakini kwa magonjwa complex, India si lolote, si chochote, ni biashara tuu!

Nitaendelea.

Pasco.
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Taya hayo magonjwa unayoamini kuwa India hayatibiki na kwanini
 
Lasikoki

JF-Expert Member
Jan 10, 2010
640
117
What define complexity ya ugongwa @ pasco? I think wherever and whenever there is relatively cheaper and improved access to a wide range of diagnostic capabilities and facilities basi huwa matibabu ni marahisi. The problem facing our local experts is lack of diagnostic options and thereof treatment.

As far as medicine is concerned doctors are compelled towards evidence based medicine which in most cases is same all over. But the problem come when due to poverty or whatever doctors can not accord their patients the best options available in the market.

To conclude the matter our local doctors are far far superior and knowledgeable than wale ambao tunawapatia referral ya wagonjwa wetu but in most cases in our settings we can not advance or confirm a diagnosis
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,219
91,806
pasco bora umeongea wewe uliye wahi kwenda huko na kupata matibabu....

siku zote nimeamini bora south africa hata kama gharama izidi kidogo....
 
Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,509
1,334
Wanabodi,

Wimbi la Tanzania kuwapeleka wagonjwa wetu nchini India kwa matibabu, limeendelea.

Kwa vile mimi ni mmoja wa Watanzania niliotibiwa nchini, India, nakubali kuwa India inasaidia kwa baadhi ya magonjwa na gharama zake ni nafuu, lakini kwa magonjwa complex, India si lolote, si chochote, ni biashara tuu!

Nitaendelea.

Pasco.

Ni bora ya South Africa kuliko India, ila South Africa bei imesimama. Watu wanatoka Ulaya wanaenda kutibiwa South Africa
 
Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,509
1,334
pasco bora umeongea wewe uliye wahi kwenda huko na kupata matibabu....

siku zote nimeamini bora south africa hata kama gharama izidi kidogo....

Mkuu unayoyaingea ni ya kweli, Mimi nimeenda kutibiwa Macho South Africa, huduma yao ni nzuri ila bei zao ndio zinawashida watanzania
 
Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,878
3,721
India kweli ni biashara zaidi lakini ukilinganisha na sisi wao wana vifaa zaidi vya uchunguzi [ State of the art equipment] ambavyo ndio muhimu ili kuweza kumtibu mgonjwa; pia India kuna hospitali za makampuni mengi sasa sijui Pasco alitibiwa na kampuni ipi? Apollo hospitals are known the world over na hivi sasa wanapanga kushikiana na Mayo hospital ya Marekani kwenye utafiti na tiba!!
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
Wanabodi,

Wimbi la Tanzania kuwapeleka wagonjwa wetu nchini India kwa matibabu, limeendelea.

Kwa vile mimi ni mmoja wa Watanzania niliotibiwa nchini, India, nakubali kuwa India inasaidia kwa baadhi ya magonjwa na gharama zake ni nafuu, lakini kwa magonjwa complex, India si lolote, si chochote, ni biashara tuu!

Nitaendelea.

Pasco.
haya pasco tupe alternative.... Matuja? Lwakatare? Usinifanye nimmiss dadangu ff na wanchekesha yake
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
pasco bora umeongea wewe uliye wahli kwenda huko na kupata matibabu....

siku zote nimeamini bora south africa hata kama gharama izidi kidogo....
mimi ni mdau wa afya... India kwa medical ni sawa na cgina kwwenye bidhaa... You get what u deserve. Tuache misleading info... Huwezi kulipa token upate eoyal service, kwenye medical technology india is way ahead coz the modern medicime relies much on electronic techniques...
unless tunaongelea something else
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,287
1,832
Nadhani umekwenda siko, India kuna first class medical services na kuna no class wewe utakuwa umeenda ya pili.
 
Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,467
1,164
Wakuu mimi siwezi kuthibitisha hilo, ila huku nchi za mgagharibi bado madaktari wahindi (wenye asili ya India ) ni wengi mno hii ni kwa nini?
 
regam

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
269
49
Sikatai wala sipingi kupata rufaa kwenda india au south ila inatia kisilani kwamba kwa miaka 50 ya uhuru hatuna hospitali ya kujivunia. Hii ni kwa sababu viongozi wetu hawana imani na hospitali zetu na hivyo kuongeza wimbi la watanzania wanaokwenda nje kutibiwa. Utakuta kiongozi anakwenda nje ya nchi just kwenda kucheki afya! Hatuna uzalendo na vya kwetu kabisa. Mie naamini tuna wataalam wengi na wazuri kabisa ila hawapewi ushirikiano kabisa na sisi wenyewe.
Kiongozi wa juu akiumwa "mafua" tuu anakwenda nje kutibia! Aibu hii
 
CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,366
6,404
What define complexity ya ugongwa @ pasco? I think wherever and whenever there is relatively cheaper and improved access to a wide range of diagnostic capabilities and facilities basi huwa matibabu ni marahisi. The problem facing our local experts is lack of diagnostic options and thereof treatment.

As far as medicine is concerned doctors are compelled towards evidence based medicine which in most cases is same all over. But the problem come when due to poverty or whatever doctors can not accord their patients the best options available in the market.

To conclude the matter our local doctors are far far superior and knowledgeable than wale ambao tunawapatia referral ya wagonjwa wetu but in most cases in our settings we can not advance or confirm a diagnosis

Umeongea vizuri sana, lakini a word of caution!!! To produce a good doctor is a multitude of factors. First and foremost is training- qualified teachers and learning /teaching facilities. Sasa wahindi wana vitu hivyo viwili to satisfactory level. Western world wana capacity ya bhivyo to 100% ndio maana matibabu western world na marekani ni bora zaidi. Kwa hapa kwetu haya ma-university yanayoota kama uyoga wana walimu kweli, product zake zitakuwa nzuri. I will never mind for other fields, but when it comes to medicine, tutakufa wengi tu. hayo hayo ya kichwa kwa goti.
 
fxb

Senior Member
Jun 22, 2011
123
24
Mmmh...
Kwa ninavyo fahamu inategemea ulienda wapi Pale kuna kila kitu mpaka Hospital ambazo madaktari wake wawajaenda shule. Wana technolojia rahisi na rasilimali watu angalia siku nyingine ni wapi hasa waenda huko India.
 
Karata

JF-Expert Member
May 1, 2011
349
128
Wanabodi,

Wimbi la Tanzania kuwapeleka wagonjwa wetu nchini India kwa matibabu, limeendelea.

Kwa vile mimi ni mmoja wa Watanzania niliotibiwa nchini, India, nakubali kuwa India inasaidia kwa baadhi ya magonjwa na gharama zake ni nafuu, lakini kwa magonjwa complex, India si lolote, si chochote, ni biashara tuu!

Nitaendelea.

Pasco.

Mkuu Pasco, tatizo kubwa ni kuwa wagonjwa wengi wanaopelekwa nchini India kwa matibabu wengi wao huwa kwenye advanced stage na sababu kubwa watu hawafanyi health check up. Sasa unadhani kama unakwenda kutibiwa ugonjwa wa saratani katika stage za juu alafu ukategemea kupona!. Kwa mfano nimeona wagonjwa wenye saratani ya Ini (Hepatoma) au saratani ya kichwa na kongosho advance stage(Carcinoma of head of pancrease) huu ni ugonjwa uliomuua Steven Job wa Apple alafu ukategemea kupona.

Mkuu wahindi wapo juu sana kwenye sector ya medical care. Kama wagonjwa wetu wangekuwa wanapelekwa India mapema, matokeo ya matibabu yao yangekuwa mazuri sana na wangetibiwa kwa bei gharama ndogo sana. Hii ndo inafanya India isionekana chochote kwa kuwa wao sio miungu, kama wanapelekewa wagonjwa waliokwenye terminal stage, sasa unadhani wao watafanya nini Pasco!

Amini nakwambia kunawagonjwa ninaowajua ambao ambao walipelekwa India katika terminal stage na wakarudi na sasa bado wanaishi.

Kitu kingine unategemea ulikwenda India katika hospitali hipi? maana India kuna hospitali nyingi tu na zinatoa huduma kutokana na mkwanja wako. Mfano kuna hospitali ya nyota 7, huko Gurgaon inaitwa Fortis (tazama hii link http://www.fortishealthcare.com/india/gurgaon/#), kuna hospitali za Apollo ambazo sasa zimeanza kutumia roboti kufanaya upasuaji (tazama hizi links: The Hindu : Cities / Chennai : Apollo robot straightens spines, Apollo Hospitals | Bypass Surgery India | Bariatric, Gastric Surgery in India | Bariatric Surgery Hospital India, Business Line : Companies News : Apollo Hospitals to perform more robotic surgeries, First robotic surgery by Indian pediatrician - The New Indian Express), kuna hospitali inaitwa Medanta Medicity ina ukubwa wa hekari 43, kuna Escort, kuna Max n.k.

Ww ulienda katika hospitali hipi mkuu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom