Kaka Membe, kwa gia hii umechemka!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaka Membe, kwa gia hii umechemka!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Hunter, Oct 17, 2011.

 1. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kaka mkubwa pole kwa pilika zako za kutaka kutuongoza hapo 2015 naheshimu sana maamuzi yako kwakuwa yametambuliwa rasmi na katiba ninayoiamini, ila Mkuu, nikukumbushe tu kuwa Uongozi ni dhamana, isiyotaka hila au ujanja ujanja, kama wewe ni mwenye karama basi wananchi wenzako watakuchagua bila kuzingatia wewe ni wa kabila rangi au dini gani!
  Ule uvumi uliosemwa hapa jukwaani kwamba umeamua kubadili dini toka ukristo na kuwa mwislamu,
  yaani toka kuwa Bernard kuwa Khalfan umenifanya niamini mkuu umedhamiria kuongoza kwa hali yoyote,
  naamini si kwamba unamapenzi ya kweli na uislamu, bali umelisoma game na ukajua ili kuzipata kura za watu wa pwani lazima uwe muislamu,
  Yafaa nini kujitaabisha Bw Membe kama utumishi wako umetukuka? unafikiri kuwa mwislamu au Mkristo ndo kuchaguliwa? Toka ulipopata akili hukujua uislamu ni mzuri uende huko mpaka dakika hizi za mwisho kukaribia kuteuliwa mgombea wa ccm 2015 ndo unashtuka!?
  Pole mkuu, waislamu hawataki wanafki, hivyo hata wakristo hawataki wanafki!!

  Ila kaushauri kadogo; labda ubadili na kabila uwe ****** pia.
   
 2. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Acha uzuzi wewe! Lini kabadili dini. Toa ushahidi hapa
   
 3. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu sijaipata hiyo ebu elezea imekuaje mpaka bwana mkubwa huyu akabadili dini? Kwani anadhani kuwa mwislamu ndo kupata nafasi ya kuongoza? kapotea labda abadili na jinsia...
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Halafu amesema ilikuwa tetesi ya kubadili dini, upi ukweli amebadili au hajabadili? Ila mimi naona uwe mwislamu au mkristo haukusaidii, kitachokusaidia ni utendaji wako wa kazi na siyo longolongo.
   
 5. p

  pori Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka thread kama hii last time ilipoletwa mods waliiondoa! ila leo sijui imekuwaje mpaka sasa ipo!
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Jinsia?!, ila si iliwahi kurushwa humu janvini kuwa ana rafiki dume na mfadhiri wake mkuu wa huko arabuni?,,labda ndo kamshauri abadili dini ili avae kanzu na mambo yawe rahisi,,,,,,,,,,,,,,
   
 8. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Huo mfumo kristu atuhuitaji kwani kusifia oic imekua nogwa ? Mwachane bwana udini ahutufikishi popote
   
 9. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Huo mfumo kristu atuhuitaji kwani kusifia oic imekua nogwa ? Mwachane bwana udini ahutufikishi popote
   
 10. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  watu wengine bwana, kutwa kuandika andika utumbo tu humu ndani. kwa hiyo akibadilisha dini wewe inakuhusu nini? uamuzi ni wake kufanya atakalo. naona mmecharuka kuandika thread mbalimbali za kipuuzi kuhusu membe. acheni chokochoko zenu na mwacheni baba wa watu apumue. stop your CRAP![/QUOTE

  Bw. Pori unapoamua kuwa kiongozi lazima ukubali na kukosolewa, la uwe kiongozi wa familia yako tuu, Ndugu Samweli Malecela alipobadili dini kwa sababu za kisiasa hata mwalimu alimponda!
  Fahamu hakuna anaepinga wala kukosoa maamuzi ya mtu juu ya kujiunga na dini flan, lakini isiwe unajiunga nao kimaslahi, na tutakubaliana hawa wanaofanya siasa kwa kupitia mlango wa udini huwa mizigo.
  Membe anajua kwakuwa mpinzani wake wa karibu ni mkristo(Lowasa) yeye awe muislamu ili kupata huruma ya waislamu.
   
 11. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mkuu ngoja nikufundishe. Hapo kwenye Red ungeandika M.KWERE. yaani uache space au uweke nukta ndio itasomeka, vinginevyo itaonyesha nyota nyota tu. Siku hz hapa sio kama zamani, mods wamekuwa waoga sana! sijui wametishwa!
   
 12. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Khaaa...!!! What this ?
   
Loading...