Je wapi naweza kupata kitabu cha alfu lela ulela na hekaya za abunuwasi?

pori

Member
Mar 12, 2010
86
0
wapendwa, kichwa cha habari chahusika. tafadhali naomba msaada wa maelekezo wapi naweza pata vitabu hivyo vya kizamani. navi-miss sana. pia nimefurahi kuwa kwa mara ya kwanza nimeweza kuposti thredi. mwanzoni nilikuwa nashindwa kabisa. asanteni

===============
Links
===============

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,600
0
Hongera kwa thread yako ya kwanza. ni sawa kabisa kuto post kitu kuliko kupost maneno yasio namwelekeo wowote.
Kwakujibu swalilako, naweza kukutumia PDF version ya alfu leyla u leyla ila ipo kwa kingereza. kama unataka swahili version, kuna duka la vitabu pale milimani city nilikiona in february. Hata kama hakipo stock unaweza kuorder wakakuletea baada ya siku 4 au 5 hivi. karibu. Hapo hapo utapata na za abu nwasi...
 
Clarity

JF-Expert Member
Jul 6, 2010
1,311
2,000
Vya alf lela ulela vinapatikana pale Uchumi super market nimeviona kuanzia namba 1 mpaka namba 9
 
pori

Member
Mar 12, 2010
86
0
Hongera kwa thread yako ya kwanza. ni sawa kabisa kuto post kitu kuliko kupost maneno yasio namwelekeo wowote.
Kwakujibu swalilako, naweza kukutumia PDF version ya alfu leyla u leyla ila ipo kwa kingereza. kama unataka swahili version, kuna duka la vitabu pale milimani city nilikiona in february. Hata kama hakipo stock unaweza kuorder wakakuletea baada ya siku 4 au 5 hivi. karibu. Hapo hapo utapata na za abu nwasi...

asante sana RR kwa maelekezo yako na wengineo wote waliochangia. nitafuatilia katika maduka yaliyotajwa.
 
chuvachok

Member
Dec 7, 2013
74
0
Ninavyo vyote niliagiza kutoka Mkuki na Nyota walipokuwa Quality Plaza, Nyerere Road. Lakini pia nimevikuta Quality Centre ndani ya Uchumi Supermarket, na TPH Samora Avenue na Makunganya kwenye duka la vitabu la Kikristo kama bado jengo lipo.
 
beco

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,348
2,000
UmenifurahishA maana bibi yangu ukimzingua tu na mambo yasiyoeleweka anakwambia usiniletee hadith za alfu ulela ulela ....ukipata vilipo plz nami niambie nijue kilichomo
 
matungusha

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
595
250
Hongera kwa thread yako ya kwanza. ni sawa kabisa kuto post kitu kuliko kupost maneno yasio namwelekeo wowote.
Kwakujibu swalilako, naweza kukutumia PDF version ya alfu leyla u leyla ila ipo kwa kingereza. kama unataka swahili version, kuna duka la vitabu pale milimani city nilikiona in february. Hata kama hakipo stock unaweza kuorder wakakuletea baada ya siku 4 au 5 hivi. karibu. Hapo hapo utapata na za abu nwasi...

Mimi nahitaji kitabu cha Shaban Robert cha adili na nduguze wapi naweza pata?
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
5,432
2,000
wapendwa, kichwa cha habari chahusika. tafadhali naomba msaada wa maelekezo wapi naweza pata vitabu hivyo vya kizamani. navi-miss sana. pia nimefurahi kuwa kwa mara ya kwanza nimeweza kuposti thredi. mwanzoni nilikuwa nashindwa kabisa. asanteni

Acha mambo ya kiswahili, mbona usiulizie vitabu vya hesabu au biology?
 
Iron Lady

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
4,070
1,750
Vya alf lela ulea vinapatikana ila hekaya za abunuasi kwa hakika hata mie nimetafuta sana sijapata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom