Recent content by popular

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nauza shamba kibaha visiga

    Check misugusugu kipo kwa bei ya chini,.0714934986
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Wadau naomba anaefahamu juu ya importer yeyote wa karatasi Rim Papers ikiwezekana na Karamu anisaidie kunijulisha.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Wadau naomba mtu anaefahamu juu ya importer yeyote wa Karatasi Rim Papers anisaidiee.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kiwanda cha kutengeneza toothpick Tanzania

    Kama unataka kutafuta pesa usianze kuogopa mambo ya wakuu kutaka pesa kwanza. Hii Tanzania wanakuja wahindi, waarabu, wazungu hawajui hata Kiswahili, wanaelewana na hao wakubwa we unashindwa nini kuelewana nao uanzishe hiyo biashara yako??? Da production ya Toothpicks mtaji mkubwa kidogo, kwaiyo...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Makaa ya mawe

    Mkuu kabla haujaanza kuyachimba jitahidi ujue kwanza QUALITY ya mkaa wenyewe! Kuna wanunuzi wengi wapo, na kuna watu wengi wanataka ku'invest huko! Kiushauri ilo eneo ni lako unalotaka kuchimba????
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaj mume!

    Specify kila kitu mdada! Mimi natafuta mke wa pili, nna mke na watoto wawili,..., upo tayari twende kwa shehe Mwinyi tukakamilishe mambo??? Ila utapata raha zote unazozihitaji!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Balali yuko HAI - He is not dead

    Kuna mambo mengi yanachanganya kwenye hii habari ya bwana gavana! Lakini kuna watu wangapi wamekufa Tz hii na watu hawana muda wa kukaa na kuwadiscuss au kua na mashaka kua hawajafa?? Kwanini huyu bwana wapo wengi wanaoamini bado yupo?? Naamini maswali machache ambayo hata mtoto mdogo anaweza...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jamani....

    Bei maelewano maana yake nini...??? Akupe bei walau mtu aamue kuja akiwa anajua mwanzo, mambo ya kuja alafu unakuta kinauzwa 200M so inshu! Mwambie akupe na bei yake, alafu makubaliano yatafuata, au bei anaruhusiwa kupanga mnunuaji???? Haya mwambie achukue 5M!!!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu karate teacher/training center

    Unajiandaa kulinda kura 2014 kwenye chaguzi za mitaa???? Njoo ntakupa training, ila inabidi ujifunze kwanza kichina alafu unyoe kipala shaoolin kwenda mbele!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ndoani

    Dhamani ilikuaje kwani mkuu???
  11. P

    JamiiForums Tanzania Inaashiria nini kumuota x girlfriend mara kwa mara.

    Acha kuchelewa wewe! We mtafute, kuandika fb yuko single siyo lazima iwe kweli!!! Lakini, wakati mnaachana kwa mara ya kwanza nani aliyekua chanzo cha matatizo...???? Kama alikua yeye usimtafute, ila kama wewe ndo ilikua sababu mtafute omba msamaha, ila kwakua unaogopa yawezekana yeye ndiye...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nampenda but yeye anichukulia kama kaka....!

    Mbona huyo demu namfahamu demu wa mshikaji wangu! Tafuta mwingine bhana, kwani akifa hautooa au hautokua na mwingine>>>??? Tatizo utatumia muda mwingi alafu unaweza usipate, akishakuchukulia bro..h, kubadilisha ipo kazi! Kama hakutaki muite, mwambie kwanini anang'ang'ania kukuita wewe bro...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na mke wa mtu au wake za watu kuna faida gani,,,,?

    Faida yake ni kulaaniwa
  14. P

    JamiiForums Tanzania Msaada,mtaji wa mil.3 kwa mwanza nifanye biashara ipi

    Mkuu kama una eneo zuri na unaipenda project unganisha na wadau nguvu kazi ifanyike!!! Ni bora kupata kidogo kuliko kukosa kabisa
  15. P

    JamiiForums Tanzania Makosa makubwa tunayofanya wanaume katika mapenzi

    Du hii kali,jamaa coin ina pande mbili... Kama umeweza kuona mapungufu yote hayo kwa jamaa, inawezekana pia mkeo akafanya ivyo!!!! Ila kwa kuangalia ivyo vi'amount unavyompatia mke wa jamaa yako naamini hata kwa kufumba macho havimalizi shida zake zote! Nathubutu kuhisi inawezekana mmewe pia...
Back
Top Bottom