Makosa makubwa tunayofanya wanaume katika mapenzi

Makosa makubwa tunayofanya wanaume katika mapenzi

Kwa mtizamo wangu umewahi sana kumlaumu jamaa yake kuwa hatumi hela.

Kutokana na story yako ilivyokaa huyo mwanamke alikuwa anatafuta tu means ya kuwa karibu yako, ww ndo ulishindwa kusoma alama za nyakati.

JIULIZE,

kwa nini kila mara akuombe wewe tu? kama kuna mwingine naye huwa anamkopesha je, naye anamshukuru kwa kulala naye? mna mda gani toka mmefahamiana? kabla ya hapo nani alikuwa anamsaidia?
 
Kuna watu ni mabingwa wa kukwepa majukumu
Hadi unabaki mdomo wazi

Mie nikiwa na mume wa hivi, nambadilisha na jogoo tu nakunywa supu nazoea sina mme naanza kuitembeza K tu bora kuliko niitembeze akiwepo maana kwa hasira siku akija naweza pata mada kesi bure.
 
huna kosa baba we kula mzigo! yawezekana mumewe alisha lipa madeni yote lakin hajakufikishia akijua atalipa kwa njia hiyo unajua hawa viumbe hawatabiliki kosa kubwa kumuacha peke yake kwa muda mrefu bila kumpa service anaweza hata kutembea na kichaa aliye karibu nae!

me nnawasi wasi sana hata mkeo kule aliko watu watakua wanakula mzigo we unajipa moyo kwakua umetuma mahitaji yote nakushauri kama hakuna ulazima wa kua mbali na mkeo mwambie aje muishi pamoja!
 
Lakini mkuu umedai hapo juu kuwa MUME wa huyo bidada ni rafiki(jamaa) yako..Swali la msingi je huyo jamaa yako anajua kuwa mkewe alikua anakukopa fedha zaidi ya mara tatu???

Kama hajui jua umechezewa chezo la mjini na wewe unataka kuingia kichwa kichwa...Hilo la jamaa kukaa mbali na kutotuma matumizi yawezekana ni porojo tu...
 
huna kosa baba we kula mzigo! yawezekana mumewe alisha lipa madeni yote lakin hajakufikishia akijua atalipa kwa njia hiyo unajua hawa viumbe hawatabiliki kosa kubwa kumuacha peke yake kwa muda mrefu bila kumpa service anaweza hata kutembea na kichaa aliye karibu nae!

me nnawasi wasi sana hata mkeo kule aliko watu watakua wanakula mzigo we unajipa moyo kwakua umetuma mahitaji yote nakushauri kama hakuna ulazima wa kua mbali na mkeo mwambie aje muishi pamoja!

Du hii kali,jamaa coin ina pande mbili... Kama umeweza kuona mapungufu yote hayo kwa jamaa, inawezekana pia mkeo akafanya ivyo!!!!
Ila kwa kuangalia ivyo vi'amount unavyompatia mke wa jamaa yako naamini hata kwa kufumba macho havimalizi shida zake zote!
Nathubutu kuhisi inawezekana mmewe pia anamtumia pesa, kwani elf 30, elf 40, elf 10 kama kweli mmewe hua hamtumii, basi hata hizo zako hazimalizi shida zake, au kama ni chakula hata week 2 haitoshi, kama kweli hatumiwi pesa na mumewe huyo mwanamke anaishije??? Nadhani ana mambo yake huyo!
Na kama ana iyo styre ya kuombaomba, huyo haishii kwako anaweza akawa ana makusanyo mengi kama TRA.
Du ila inatisha ukiigeuza shilingi ukakuta mkeo pia anafanya ivyo na kila mwezi unamtumia pesa ukidhani inatosha kumbe nae haimtoshi!
Achana nae huyo mwanamke jamaa, mke wa mtu sumu waachie wabishi wanaomtumia pesa kama wewe waendelee kula!
 
Ni funzo kubwa kwa wanaume, kama wewe sifurahii kitendo alichokifanya huyo mke wa jamaa na kwa maoni yangu hana excuse ya kufanya alichofanya; lakini kweli mumewe alipaswa kuwa responsible kwa familia yake. Why start a family kama huwezi kuiendesha?
Na kitendo cha kutegemea kipato cha mtu mmoja kwa maisha ya sasa sio nzuri kbs.
Kuna yeyote mwenye ushahidi kama kweli huyo mama alikuwa hatumiwi hela? Mnajuaje kama alikuwa anapewa hela yote, but alikuwa anakopa kwa jamaa ili tu kutafuta gia ya kuingilia? Kwa mtu anayewajua wanawake vizuri hawezi kulijadili jambo hili kwa mtizamo wa matumizi.
 
Lukolo story almost zote ziletwazo humu ni one sided na huwa tuna deal nazo hivyo hivyo ki onesided. There is no way tutajua the other side of the coin; so as it is story hii imeletwa kama funzo au angalizo ili watu wajifunze from.
So tuna assume kuwa mume alikuwa na mkono wa birika.
 
Msaada wako umeshaisha hakuna haja kula tunda nje ya ndoa, cha msingi achana nae tena futa mawasiliano nae kabisaa. Kumbuka mla vya watu na vyake huliwa! Sa we nenda kagegede uone..

Du hata katika vitabu iliandikwa Daud alipomkataa mke wa Mfalme yeye Malkia alilirarua vazi lake na kupiga yowe kuwa kabakwa kwani Daud alimkataa kulala naye
Sasa STABILIZER wewe ulimuongezea pesa za 40,000/= nini kwenda katika Msiba wao hapohapo muonee huruma hivyo hivyo kamsikilize kwani na yeye ni kiumbe huenda ameshaachana na jamaa yake kumSTABILIZER
 
Last edited by a moderator:
NAWAPA KISA KIFUPI TUU AMBACHO KINANISIBU KWA SASA, Mimi ni mwanaume, nimeoa ila kwa sasa mke wangu na mtoto wako mkoa mwingine na mimi mkoa mwingine kikazi. Familia yangu naipenda sana na huwa nawapatia kila aina ya mahitaji mara ninapoambiwa kuna upungufu fulani wa mahitaji, hata kama sina hela niko tayari kukopa mahali lakini siyo mke wangu kwenda kukopa kwa watu. Kuna sababu kuu mbili za kutokuruhusu mwanya wa mke wangu kukopa: Moja, ni kuruhusu mwanya wa kutongozwa na hao watakaomkopesha (kama ni wanaume). Pili, inatengeneza umbea, majungu na unafiki usio na msingi especially akina mama. Hivi karibuni kuna jamaa yangu tunafahamiana naye, naye yuko mbali na mkewe japo huja walau mara moja kwa mwezi au miezi miwili hivi, then hurudi kwenye biashara na kazi zake. Mke wake amekuwa akinisumbua sana mara kwa mara, huniomba nimkopeshe pesa. Wakati fulani nilimpa, akanirudishia. Mara ya pili akanikopa tena, muda wa kulipa ulipofika akaniambia kuwa Mr. amempigia simu kuwa bado hajapata hela, hivyo afanye atakaloweza kurekebisha mambo nyumbani. Akaniomba nimkopeshe tena, basi nikawa mpole tuu, nikaipotezea maana haikuwa hela kubwa (30,000). Baada ya muda, akanisihi tena nimsaidie mama yake anaumwa anatakiwa aende kwao (Nauli 40,000/-) akanisihi kuwa Mr. atatuma hela wiki ijayo. Nikampa akaenda, alipofika huko dada yake akafariki ikawa ni msiba huku mama akiwa mgonjwa. Nikampa pole. Aliporudi sikudai ile 40,000/- nikijua alipatwa na matatizo, acha iwe msaada. Baada ya wiki ananiambia Mr. anasema kuna mtu alikuwa anamdai laki 4, ametokomea na simu haipatikani. Akawa ananiuliza kuwa nimshauri afanyeje maana hata matumizi hana. Kisaikolojia ni kwamba alitaka nimsaidie tena, nikampa 10,000/-. Hiyo hali ikaendelea kidogo kidogo hivyo hivyo. Siku moja alinitumia msg kuwa nimpigie kuna kitu anataka kuniambia. Nilipompigia alinishukuru kwa yote niliyomsaidia. Kwenye mazungumzo baadaye akaniambia njoo tulale, nikashtuka. Akaanza kunisemesha kwa sauti ya mahaba. Mwishowe uvumilivu ukamwishia, akapasua jipu. Anahitaji kuwa na mimi. Ameniambia hawezi kuvumilia tena, na amedhamiria liwalo na liwe lazima awe na mimi anipe tunda nilifaidi kama shukrani. Nilikata simu na tangu hapo nimejikuta kama vile nimelewa mawazo nimekuwa na hali ya kuchanganyikiwa kimawazo. ananitumia message za mapenzi kibao, japo mimi nimeamua kutokujibu message hizo. Najua fika, mke wa mtu ni sumu. Lakini hoja yangu ni kuwa haya yote yasingetokea kama huyu mumewe angekuwa responsible na familia yake. Inakuwaje mtu akae miezi miwili mbali na familia yake na hatumi hela kwa visingizio vya kubanwa au kukosa hela? Sijui wadau, naombeni comment zenu hatua za kuchukua haraka at least to rescue the situation. Sisemi kuwa mimi nina hela sana, maana katika maisha kuna wakati wa kupata na kuna wakati wa kukosa, na inapotokea umekosa, wewe mwanaume fanya juu chini, bora ukope wewe mwanaume mtajuana na mdeni wako, lakini hawa wanawake ni viumbe dhaifu, ni rahisi kuingia majaribuni. Mimi sijamtongoza huyu dada na sijawahi kumtamkia mambo ya mapenzi lakini mwenyewe kalianzisha. Sasa mambo yakiharibika nani alaumiwe?
Wewe ni mkware aliyekubuhu. Ungekuwa na nia njema na ndoa ya rafiki yako usingeleta jambo hili hapa jamvini badala yake ungetafuta mbinu ya kurescue situation ikiwa ni pamoja na kuonesha kuwa unachukizwa na hayo mawasiliano mapya ya huyo shemeji yako. Kuleta jambo linalomhusu rafiki yako kwenye public namna hii ni kumvua nguo. One thing you should know; mwosha naye huoshwa. Watch out, you are married! Kama ww unatumia ushawishi wa pesa kwa wake za watu kwann mke asifanyiwe vivo hivyo?
 
sawa hiyo baba huna makosa!!!!

NAWAPA KISA KIFUPI TUU AMBACHO KINANISIBU KWA SASA,

Mimi ni mwanaume, nimeoa ila kwa sasa mke wangu na mtoto wako mkoa mwingine na mimi mkoa mwingine kikazi.
Familia yangu naipenda sana na huwa nawapatia kila aina ya mahitaji mara ninapoambiwa kuna upungufu fulani wa mahitaji, hata kama sina hela niko tayari kukopa mahali lakini siyo mke wangu kwenda kukopa kwa watu. Kuna sababu kuu mbili za kutokuruhusu mwanya wa mke wangu kukopa: Moja, ni kuruhusu mwanya wa kutongozwa na hao watakaomkopesha (kama ni wanaume). Pili, inatengeneza umbea, majungu na unafiki usio na msingi especially akina mama.

Hivi karibuni kuna jamaa yangu tunafahamiana naye, naye yuko mbali na mkewe japo huja walau mara moja kwa mwezi au miezi miwili hivi, then hurudi kwenye biashara na kazi zake. Mke wake amekuwa akinisumbua sana mara kwa mara, huniomba nimkopeshe pesa. Wakati fulani nilimpa, akanirudishia. Mara ya pili akanikopa tena, muda wa kulipa ulipofika akaniambia kuwa Mr. amempigia simu kuwa bado hajapata hela, hivyo afanye atakaloweza kurekebisha mambo nyumbani. Akaniomba nimkopeshe tena, basi nikawa mpole tuu, nikaipotezea maana haikuwa hela kubwa (30,000).

Baada ya muda, akanisihi tena nimsaidie mama yake anaumwa anatakiwa aende kwao (Nauli 40,000/-) akanisihi kuwa Mr. atatuma hela wiki ijayo. Nikampa akaenda, alipofika huko dada yake akafariki ikawa ni msiba huku mama akiwa mgonjwa. Nikampa pole. Aliporudi sikudai ile 40,000/- nikijua alipatwa na matatizo, acha iwe msaada.

Baada ya wiki ananiambia Mr. anasema kuna mtu alikuwa anamdai laki 4, ametokomea na simu haipatikani. Akawa ananiuliza kuwa nimshauri afanyeje maana hata matumizi hana. Kisaikolojia ni kwamba alitaka nimsaidie tena, nikampa 10,000/-. Hiyo hali ikaendelea kidogo kidogo hivyo hivyo.

Siku moja alinitumia msg kuwa nimpigie kuna kitu anataka kuniambia. Nilipompigia alinishukuru kwa yote niliyomsaidia. Kwenye mazungumzo baadaye akaniambia njoo tulale, nikashtuka. Akaanza kunisemesha kwa sauti ya mahaba. Mwishowe uvumilivu ukamwishia, akapasua jipu. Anahitaji kuwa na mimi. Ameniambia hawezi kuvumilia tena, na amedhamiria liwalo na liwe lazima awe na mimi anipe tunda nilifaidi kama shukrani. Nilikata simu na tangu hapo nimejikuta kama vile nimelewa mawazo nimekuwa na hali ya kuchanganyikiwa kimawazo. ananitumia message za mapenzi kibao, japo mimi nimeamua kutokujibu message hizo.

Najua fika, mke wa mtu ni sumu. Lakini hoja yangu ni kuwa haya yote yasingetokea kama huyu mumewe angekuwa responsible na familia yake. Inakuwaje mtu akae miezi miwili mbali na familia yake na hatumi hela kwa visingizio vya kubanwa au kukosa hela? Sijui wadau, naombeni comment zenu hatua za kuchukua haraka at least to rescue the situation. Sisemi kuwa mimi nina hela sana, maana katika maisha kuna wakati wa kupata na kuna wakati wa kukosa, na inapotokea umekosa, wewe mwanaume fanya juu chini, bora ukope wewe mwanaume mtajuana na mdeni wako, lakini hawa wanawake ni viumbe dhaifu, ni rahisi kuingia majaribuni. Mimi sijamtongoza huyu dada na sijawahi kumtamkia mambo ya mapenzi lakini mwenyewe kalianzisha. Sasa mambo yakiharibika nani alaumiwe?
,,,,,,,,mkuu bora uachane nae kwani mke wa mtu sio sumu tu bali mtenda hutendwukikubari ukananihii nae basi ujiandae na wewe kwa mda tofauti nawe itakutokea cha muhimu mwambie ahsante na punguza mazoea nae
 
May be mume wake anampatia kila kitu ila tu kwakua moyo wake umekudondokea wewe akafiki akaona njia ya kukuweka karibu ni kuanza kukopa kwako ,
Ili aweze kupata urahisi wa kukufikishia hisia zake ,

All in all ni sababu ya upweke wa kutoishi na mumewe...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
NAWAPA KISA KIFUPI TUU AMBACHO KINANISIBU KWA SASA,

Mimi ni mwanaume, nimeoa ila kwa sasa mke wangu na mtoto wako mkoa mwingine na mimi mkoa mwingine kikazi.
Familia yangu naipenda sana na huwa nawapatia kila aina ya mahitaji mara ninapoambiwa kuna upungufu fulani wa mahitaji, hata kama sina hela niko tayari kukopa mahali lakini siyo mke wangu kwenda kukopa kwa watu. Kuna sababu kuu mbili za kutokuruhusu mwanya wa mke wangu kukopa: Moja, ni kuruhusu mwanya wa kutongozwa na hao watakaomkopesha (kama ni wanaume). Pili, inatengeneza umbea, majungu na unafiki usio na msingi especially akina mama.

Hivi karibuni kuna jamaa yangu tunafahamiana naye, naye yuko mbali na mkewe japo huja walau mara moja kwa mwezi au miezi miwili hivi, then hurudi kwenye biashara na kazi zake. Mke wake amekuwa akinisumbua sana mara kwa mara, huniomba nimkopeshe pesa. Wakati fulani nilimpa, akanirudishia. Mara ya pili akanikopa tena, muda wa kulipa ulipofika akaniambia kuwa Mr. amempigia simu kuwa bado hajapata hela, hivyo afanye atakaloweza kurekebisha mambo nyumbani. Akaniomba nimkopeshe tena, basi nikawa mpole tuu, nikaipotezea maana haikuwa hela kubwa (30,000).

Baada ya muda, akanisihi tena nimsaidie mama yake anaumwa anatakiwa aende kwao (Nauli 40,000/-) akanisihi kuwa Mr. atatuma hela wiki ijayo. Nikampa akaenda, alipofika huko dada yake akafariki ikawa ni msiba huku mama akiwa mgonjwa. Nikampa pole. Aliporudi sikudai ile 40,000/- nikijua alipatwa na matatizo, acha iwe msaada.

Baada ya wiki ananiambia Mr. anasema kuna mtu alikuwa anamdai laki 4, ametokomea na simu haipatikani. Akawa ananiuliza kuwa nimshauri afanyeje maana hata matumizi hana. Kisaikolojia ni kwamba alitaka nimsaidie tena, nikampa 10,000/-. Hiyo hali ikaendelea kidogo kidogo hivyo hivyo.

Siku moja alinitumia msg kuwa nimpigie kuna kitu anataka kuniambia. Nilipompigia alinishukuru kwa yote niliyomsaidia. Kwenye mazungumzo baadaye akaniambia njoo tulale, nikashtuka. Akaanza kunisemesha kwa sauti ya mahaba. Mwishowe uvumilivu ukamwishia, akapasua jipu. Anahitaji kuwa na mimi. Ameniambia hawezi kuvumilia tena, na amedhamiria liwalo na liwe lazima awe na mimi anipe tunda nilifaidi kama shukrani. Nilikata simu na tangu hapo nimejikuta kama vile nimelewa mawazo nimekuwa na hali ya kuchanganyikiwa kimawazo. ananitumia message za mapenzi kibao, japo mimi nimeamua kutokujibu message hizo.

Najua fika, mke wa mtu ni sumu. Lakini hoja yangu ni kuwa haya yote yasingetokea kama huyu mumewe angekuwa responsible na familia yake. Inakuwaje mtu akae miezi miwili mbali na familia yake na hatumi hela kwa visingizio vya kubanwa au kukosa hela? Sijui wadau, naombeni comment zenu hatua za kuchukua haraka at least to rescue the situation. Sisemi kuwa mimi nina hela sana, maana katika maisha kuna wakati wa kupata na kuna wakati wa kukosa, na inapotokea umekosa, wewe mwanaume fanya juu chini, bora ukope wewe mwanaume mtajuana na mdeni wako, lakini hawa wanawake ni viumbe dhaifu, ni rahisi kuingia majaribuni. Mimi sijamtongoza huyu dada na sijawahi kumtamkia mambo ya mapenzi lakini mwenyewe kalianzisha. Sasa mambo yakiharibika nani alaumiwe?
Kwa mila na tabia za kwetu Zanzibar mwanaume ndio mkosa.Ni mkosa kwa sababu haiwezekani mke wako umtupe mkoa mwengine na wewe ukaishi mkoa mwengine kwa kisingizio ati namtumia hela.sasa hizo hela ndio zinatosha kumfanya aishi maisha ya mke na mume.Nadhani siyo huyo ambae mumu wake hampelekei matumizi lakini hata huyo wako ambae unampelekea matumizi kibao hakikisha anatoka nje ya ndoa.na kwa nini kama umeamua kuowa unamuachia mke wako aishi peke yake na wewe peke yako.Hiyo ndoa iko wapi.Kwa staili zenu hizo za kihindi (Nimepata toto India) na yeye mwenyewe hayupo zaidi ya miaka miwili, kwetu hamuowi.
 
hapo ndo umuhimu wa mke kuwa na kipato unapoonekana...

cc kwa wale wwoooooooote wanaotaka wake zao wasisome wala kufanya kazi!
wakae tu kuwategemea ninyi kimapato kazi ndo hapo sasa!
japo sijafurahia pia akili ya huyo dada ila ina sababu nying nyuma yake!
na hakika hili nitusi kwa mumewe!
nikiitafsiri kike,lol!..............ngoja ninyamaze!
 
Unauhakika gani kuwa mume hampi hela, we jifanye sasa unajua kulenga matundu, matundu mengine yanasiafu, minyoka shauri yako
 
Kuna watu ni mabingwa wa kukwepa majukumu
Hadi unabaki mdomo wazi

Mie nikiwa na mume wa hivi, nambadilisha na jogoo tu nakunywa supu nazoea sina mme naanza kuitembeza K tu bora kuliko niitembeze akiwepo maana kwa hasira siku akija naweza pata mada kesi bure.
mbona wajishusha kiask hi,k
 
Back
Top Bottom