Nampenda but yeye anichukulia kama kaka....!

Nampenda but yeye anichukulia kama kaka....!

edit halafu ka-print hii barua....then umtumie lazima ataingia kingi mwenyewe.....

View attachment 87495
attachment.php


Made in Tanzania, only in Tanzania.
 
mpenda usichoke na usikate tamaa,
jaribu kuwanae karibu,ongea naye kirafiki,uwe una mletea vizawadi
kumsogeza karibu na wewe,tokeni out za hapa na pale,mwonyeshee
kimapenzi zaidi na onyesha kunjali sana, kumweka karibu nawe chaoooooo
 
this is the best advice have ever come accross with, but hiyo mitoko si boom langu litaisha? Board ya mkopo yenyewe unaona inavyozingua!

Sio lazima kwenda sehemu za gharama sana, unaweza kwenda hata COCO Beach au once in a while unaweza kwenda kuangalia movies Mlimanai au kule Uchumi ambapo ni kama 16,000 kwa watu wawili siku za Alhamis nadhani.

Muhimu hapa ni kupata wasaa wa kubadili mazingira tofauti na yale ya kishule shule ambayo bila shaka ndiyo yanawafanya mjione ni kaka na dada.
 
ze keke kwa umri wako sitakusodoa sana ila kama alivyosema watu8 hapo juu umri ulio nao ndio umri mwafaka wa kutafuta msichana ili uanze kupima tabia kama atafaa kuwa mke...Ukisubiri hadi saa 7 na 8 mchana utakutana na wajanja wengi wenye uwezo wa kuigiza zaidi ya unaowafahamu, ukilogwa kusubiri hadi 10-12 jioni hapa ndio utaokota lolote litakalokuwa usawa wa macho yako.....

Tumia muda wako vizuri binafsi nilianza kuchagua tangu form 2 na nimeoa huyu huyu sasa hao wanaokuambia miaka 3 au 4 ni mingi kamwe usikubaliane nao ila fuata hitaji la moyo wako bila kusahau umakini usije feli maana utapoteza vyote
 
Habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka 23 niko mwaka wa kwanza muhimbili nachukua shahada ya udaktari, kuna mdada nimemzoea sana na nimetokea kumpenda sana na natamani awe mpenzi wangu, tatizo ni kwamba yeye anichukilia kama rafiki wa kawaida na ukaka ndani yake, ni fanyeje ili aanze kuwa na hisia za kimapenzi kwangu? Kifupi nmfanyeje aanze kunipenda ili nikimtongoza iwe rahisi kumpata?

Soma kijana. Umri bado mdogo sana. Achana na mambo ya ngono. Yata ku-cost.
 
saudari, njoo ona jibu lako huku....
huyu daktari ataua wagonjwa huyu, lol!
we siwezi vunja ndoa za watu kipuuzi, kuna njia kibao za kuongeza hisia binafsi sishauri mtumie dawa, these things need to be done naturaly!
 
Last edited by a moderator:
we siwezi vunja ndoa za watu kipuuzi, kuna njia kibao za kuongeza hisia binafsi sishauri mtumie dawa, these things need to be done naturaly!
kiukweli kabisa daktari nimebaki hoi....
kuna dawa za hospitali ambazo zinafanya mtu aongeze hisia kwako?
kweli technolojia imekua......
sasa hiyo dawa anameza nani? anayetakiwa kuongeza hisia au anayetaka mwenzie aongeze hisia kwake?
 
Ujue haya ni makosa makubwa sana katika sisi wanaume pindi tunapotengeneza mahusiano katika nyakati za kwanza.
Unajizoelesha sana kwa do mpaka mwisho wa siku anakuana kama anavyo kuchukulia wewe.
Ndio maana simba mpole ndio mla nyama. Act as man
 
Shtuka kabla hajakuzoea zaid akkuzoea zaid hesabu imekula kwako mm mwenyewe imemtokea jamaa angu lakn mzgo anakula mwngne jamaa amebak kumdss dada na kumbwela tu!CHA KUFANYA fanya utaft anapenda nn alafu tafuta cku mwambie akusindkze sehem mpeleke moja kwa moja Gest mwambie kuna mambo sekret unataka kumwambia,akiingia tu rock mlango ufunguo ufche anza kumshushia mistar akzngua Noma na iwe noma komalia zgo,mgegede heshma itakuja ukmpanda tu bas huyo atakuwa wako.FARAS ULIYEMPANDA HAKUTISH KWA MIONDOKO MWENYEWE UTASIKIA NA KESHO NATAKA TENA,lakn ukimbwela huji kumpga na kuwa na mahusiano

Samahani, Hii ni lugha gani umeandika? unajifunza kuandika au unajifunza kuongea? By the way uko na umri gani? ohh, ngoja. we jinsia gani vile? Oppps,maswali mengi kumbe, do you mind? pole!! jibu swali la kwanza na la pili tu.
 
this is the best advice have ever come accross with, but hiyo mitoko si boom langu litaisha? Board ya mkopo yenyewe unaona inavyozingua!

hapa mjini bila mbesa mambo hayaendi
kama hela zenyewe za mawazo kaa pembeni utasaidiwa na wenye nazo bure
 
Mwaka wa kwanza unawaza hayo? Huo u daktari utamaliza kweli? Pumbaf, soma kwaza wewe!
 
Mbona huyo demu namfahamu demu wa mshikaji wangu!
Tafuta mwingine bhana, kwani akifa hautooa au hautokua na mwingine>>>???
Tatizo utatumia muda mwingi alafu unaweza usipate, akishakuchukulia bro..h, kubadilisha ipo kazi!
Kama hakutaki muite, mwambie kwanini anang'ang'ania kukuita wewe bro, wakati wewe ilo hutaki???
Akikupa jibu, likubali na usimng'ang'anie utazidi kujitesa, MAPENZI YANATESA KAMA UTANG'ANG'ANIA!
 
Back
Top Bottom