Recent content by Popooo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wafanyakazi wa kigeni katika Hoteli za kitalii Tanzania - Ramada case

    Mimi nimefanya na wengi kutoka nje, mwenye mali hana haja ya kulipa pesa nyingi bila sababu yeye ni mfanya biashara, anataka super profit, kumlipa mtu wa nje kwa gharama kubwa ni hasara kwake. ingekuwa biashara yako unge mwajiri yupi kati ya ya unaye mlipa $ 6000. na wa Tsh. 600,000. ambayo ni...
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kujitoa kwenye uhusiano huu

    Mweleze Mdogo wako unayo waza na yeye lazima awae na mawazo hayo hayo, epuka kuwa naye faragha, hakikasha kuwa na watu wengine mnapokuwa wote pamoja
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kujitoa kwenye uhusiano huu

    Too sad, laana kwelikweli
  4. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Mtoa mada ana weweseka, maji yamemfikia shingoni, huo mto hamtavuka. Jiwe mlilio likataa limekuu jiwe kuu la msingi kwa CDM.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuzindua mradi wa maji Karatu kesho tarehe 12 Aprili, 2014

    Mleta thread mwenyewe wajua ukweli. elewa kaviwasu haimilikiwi na chadema serekali inafanya ukaguzi. nijukumu la serekali kuwapatia watu wake mahitaji ya lazima. serekali kuweka pump ni kutimiza majukumu yake. sija sikia kama pump imewekwa CCM. watu wanahitaji huduma si vyama. waambie hao...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nimerudi toka Operesheni Pamoja Daima, sioni muujiza wa kuiokoa CCM!

    Asante mkuu, ila picha hizo za maisha bora ina huzunisha.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Udhalilishwaji huu uliofanywa na Mnyika kwa walimu haukubaliki hata kidogo

    Hansen Nasri.. Ukweli una uma hauja umia kudhalilishwa waalibu bali kupewa fact. wange kuwa matajiri wasinge tangaza migomo kila mara, mpaka sasa hivi serekali haija maliza lipa madeni ya waalimu. ni ukweli waalimu wana ishi kwa mikopa madukani kwa kuhama duka moja hadi linguine. Nini...
  8. P

    JamiiForums Tanzania PICHA: CCM na ulaghai wa kisiasa. Wagawa chakula (ubwabwa na nyama) kwa wananchi

    Uelewa mdogo wa wananchi na umaskini ni Mtaji wa CCM. nani kaona ccm wanashinda mjini,other wise wamechakachua majimbo ya mjini wata endelea poteza. wanakimbilia huko kwenye njaa, kusiko na bara bara, dispensary hazina dawa, maji kilometa 10, shule magofu, madawati matofali au mawe, vyoo vya...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya M4C- Operesheni Pamoja Daima, Ruvuma, Tabora na Tanga

    Hongera Makamanda, Mabadiliko lazima ya onekane. CCM wamenufaika na uelewa mdogo wa wananchi kuhusu elimu ya uraia. wana wajaza watu hofu kuhudhuria mikutano ya vyama vingine.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya M4C- Operesheni Pamoja Daima, Ruvuma, Tabora na Tanga

    Hongera Makamanda, Mabadiliko lazima ya onekane. CCM wamenufaika na uelewa mdogo wa wananchi kuhusu elimu ya uraia. wana wajaza watu hofu kuhudhuria mikutano ya vyama vingine.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Ole Medeye azomewa...

    Kura alinunua si kwa heshima ya watu.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Sheria ichukue mkondo. Tumechoka kuonewa na kunyanyaswa, ndugu zetu wanaona ukimya wa wakristo, kutojibu mapigo ni ushindi kwao, yote yaliyotokea Zanzibar wakaona si kitu na haitoshi. Hekima ya Mungu iwapi? unaingia msikitini kutafuta hukumu? yanayotokea yanatia uchungu yana huzunisha, yanatia...
  13. P

    JamiiForums Tanzania PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    Ee Mungu utu rehemu wape ufahamu wa kiroho ndugu zetu Inasikitisha.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Hodi ndugu zangu

    Nilikuwepo, ila sikupitia mlango huu. Naomba tuwe wote
  15. P

    JamiiForums Tanzania RPC Morogoro akana polisi kutumia risasi za moto

    Ange sema nini wakati wote toka waziri mpaka OCd wanaburuzwa kwa maslahi wenye hati miliki ya nchi Nchi ilishwa uzwa kwa sisiem waliomo ni mali yao. the day will come. the time is close. Go go M4C. Maeneo yote yaliyo kombolewa yalikombolewa kwa damu.
Back
Top Bottom