Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

Majibu ya EL yalikuwa na tatizo gani...?! Kwani Mwanasheria wa Serikali anakizuizi cha kuongea na Ikulu? Fikiri kabla ya kusema na kama hujui protocol ndani ya serikali kaa kimya. Uzushi na kujifanya unajua ni sawa na hadidhi ya Mfalme Juha.
 
Nyie mnaofuata fuata watu nyuma ndio huishia kugeuzwa mapunguani, kama mbowe alivyowafanya jana. Napinga ufisadi kama mtazania. INATOSHA.

sihitaji kumfuata mtu popote au kujilazimisha kufuata tantalila za chama chochote kile. Mimi ni mtu huru.

Nyie mnaosubiri mbowe afikiri na kichwa chake kibovu, halafu ndio muanze na nyie kurudia uporoto alioutoa mmeona yanayowakuta..,

vijeba juzi tu mlikuwa mnakaza mishipa ya shingo kumtukana Lowassa Fisadi, leo hii mnamuita mtakatifu. Njaa shida.

By the way, kuna zawadi natoa kwa yeyote atakayeniletea tweet, text,facebook post or forum post ya Mnyika,Dr slaa na Mdee..,

maana makamanda aibu zimewashika hata simu zimekuwa za moto.

deadline leo saa sita usiku.

kazi kwako

Babuu safi sama una maakil ming kwa kichwa
 
Majibu ya hoja zako hizo yako kwenye hotuba ya Mbowe na kama hukumuelewa Mbowe hata akishuka malaika kutoka mbinguni kuja kukuelewesha hautamuelewa.

Kwa kweli Mbowe usimtishie gogo ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana sana kwenye hotuba na kujieleza. Hotuba yake ya jana nakiri hayupo kiongozi nchini hapa mwenye uwezo wake. Hotuba imepangiliwa na inatolewa na mtu makini anaeielezea kwa kujiamini na taratibu tena kwa vituo. Kwa kweli kipaji hicho anacho na ambae hakumwelewa jana ana matatizo kama bwana pinokyo anaeongozwa na pua lake refu na kujiaminisha kwenye juju. Pole sana na wazandiki waliokutuma. Ukawa au chadema utasimama uhesabiwe tu.
 
Nyie mnaofuata fuata watu nyuma ndio huishia kugeuzwa mapunguani, kama mbowe alivyowafanya jana. Napinga ufisadi kama mtazania. INATOSHA.

sihitaji kumfuata mtu popote au kujilazimisha kufuata tantalila za chama chochote kile. Mimi ni mtu huru.

Nyie mnaosubiri mbowe afikiri na kichwa chake kibovu, halafu ndio muanze na nyie kurudia uporoto alioutoa mmeona yanayowakuta..,

vijeba juzi tu mlikuwa mnakaza mishipa ya shingo kumtukana Lowassa Fisadi, leo hii mnamuita mtakatifu. Njaa shida.

By the way, kuna zawadi natoa kwa yeyote atakayeniletea tweet, text,facebook post or forum post ya Mnyika,Dr slaa na Mdee..,

maana makamanda aibu zimewashika hata simu zimekuwa za moto.

deadline leo saa sita usiku.

kazi kwako

Yaani katika vitu ambavyo sijakubaliana navyo ni EL kwenda cdm hasa ukizingatia mimi ni mmoja wa watu tuliokuwa tukimpinga sana na nitaendelea kumpinga sana. Ila niwe mkweli hata akipewa nafasi ya kugombea urais kupitia cdm nitampa jampo simpendi kabisa kwani katika vyama sivikubali basi ni ccm. Nadhani ccm ikishatoka madarakani hayo mabadiliko yatatoa nafasi kurekebisha mambo mengi hata kama sio yote. Niko tayari kwa uchafu wa cdm kwa gharama za kuitoa tu ccm madarakani kwani wangalau itaziacha taasisi za umma zikisimamia matakwa ya wananchi.

Kwanini nimesema hivyo, hivi leo taasisi zote za umma zinafanya kazi kwa maelekezo ya ccm hata kama sheria haiwataki kufanya hivyo, kisa ni mazoea ya chama kushika hatamu kiasi kwamba hata watumishi waumma wameshindwa kujua wapi mipaka ya ccm na wapi inaanzia ya umma. Hivyo basi ninaunga mkono ujio wa EL cdm bila kujali ufisadi wake lakini kama atasaidia ccm kutoka madarakani ama kuidhoofisha hiyo kwangu ni hatua kubwa. Ila kiukweli EL ni fisadi na hata hao cdm sijui Mbowe wote wanajua bali kwa sasa kwa hali ilivyo na mabavu ya ccm itabidi wampake Lowassa mafuta kwa mgongo wa chupa ili kusaidia kuitoa tu ccm madarakani. Sasa ni juu ya cdm na wanacdm kujua hali ilivyo na kukubaliana kwa shingo upande na hali hii. Narudia tena EL ni fisadi na ataendelea kuwa fisadi lakini kwa ajili ya kuitoa ccm madarakani hata mimi naunga mkono kinafiki nikiwa najitambua lengo langu ni ccm tu kutoka madarakani kwa namna yoyote.
 
We kweli bado ujakomaa kisiasa na haufatilii,hebu jiulize huyo lowasa waliempokea leo ilikuwaje kipindi cha nyuma walimwongeaje hao viongozi wa chadema lakn leo n rafk kwao na mtu muhimu.Jenga picha akilin mwako uone kama co unafki na usalit huo wanaowafanyia watanzania

Kweli cdm kitendo walichokifanya cha kumpokea EL ni unafiki wa dhahiri. Lakini kama unafiki wao utasaidia kuiondoa ccm madarakani bora unafiki safari hii utumike. Simpendi EL na wala simkubali kabisa, lakini kama ataisambaratisha ccm ni bora nimuunge mkono kinafiki ili kiu yangu ya muda mrefu itimie.
 
Mtoa mada ana weweseka, maji yamemfikia shingoni, huo mto hamtavuka. Jiwe mlilio likataa limekuu jiwe kuu la msingi kwa CDM.
 
mkuu mbona mimi sijaona mahala alipo jibu ka hasira, pia aliitisha kikao sio cha subordinate but watendaji mbalimbali akiwemo mwanasheria mkuu. soma kazi za manasheria mkuu nini katika serikali then ndo uje hapa vinginevyo na wewe shut up

Wacheni ushabiki wa ovyo. Kikao anachochair PM yeye ndio spokesperson pale. PM ndio mwenye mamlaka ya kufanya consultation ya mtu wa juu. Siamini kama Lowassa hakuwa na uwezo wa kumpigia mkuu wake na kumuulizia juu ya jambo hili. Otherwise basi yeye ni bogus kabisaaa
 


Binafsi nampongeza kwa kuitumia haki yake ya kidemocrasia na kufanya maamuzi magumu; kama mtanzania nisiyefungamana na upande wowote nimestaajabishwa sana na mambo mawili makubwa.

1.Mosi ni juu ya umiliki wake wa card ya CCM, EL inasemekana ana miliki card namba 15 ya Uwanachama ndani ya CCM, lakini siku ya jana alijivua uwanachama na kupewa rasmi card ya CDM, sasa bado najiuliza imekuaje kamanda huyu amejiondoa CCM na kwenda CDM lkn bado anamiliki card ya chama hicho? Maana jana sikuona akiirudisha card ya CCM ili ichanwe chanwe pale mbele ya macho yetu.

Lakini kama hiyo haitoshi bado najiuliza inawezekanaje Kiongozi mkubwa kama yeye anathubutu kutoa majibu ya hasira mbele ya Taifa hili juu ya swali la msingi ambalo lilimchafua yeye na baadhi ya Viongozi wa wizara husika.

Kwa kusema kwamba NANUKUU; "Nilipoitisha kikao cha "Government negotiation team" nikawauliza mbona nasikia huu mkataba una matatizo?

mimi nina uzoefu wa kuvunja mikataba na huu tuuvunje! wakaomba ruhusa watoke nje kwa saa moja, baada ya hapo waliporudi wakasema wamepigiwa simu toka mamlaka ya juu mkataba usivunjwe "what else could I have done?"

Mwisho wa KUNUKUU, Sasa najiuliza hapa inawezekanaje PM umeitisha kikao cha subordinates wako alafu anatokea wa kukuambia kuwa et nimewasiliana na wakuu wamekataa hilo, nani basi mwenye kupaswa kufanya consultation na Wakuu wenzake kati ya watu hawa wawili EL kama PM au Subordinates?

Lakini pia napata shaka pale namna ambavyo swali la msingi lilivyojibiwa kwa kusema kwamba, NANUKUU; "Am sick of Richmond, mtu yoyote mwenye ushahidi wa mimi kuhusika na Richmond aende mahakamani, kama huna just shut up. Nilichukua uamuzi kwa niaba ya serikali.

Kama hii haitoshi bado najiuliza, Je na ile hoja ya Dr.Slaa kwamba ushahidi wa jambo hili anao na yupo tayari kwenda kuthibitisha mahakamani leo hii sisi watanzania tunaibebaje hii statement kuwa naye alikuwa anabwabwaja tu au namna gani?

2.Lakini nathubutu kwenda mbali zaidi kwa kujiuliza Dr.Slaa na wenzake wanasimama vipi Jukwaani kumnadi kwa kumtakasa mtu huyu ambaye wao walikuwa wanachangia kumchafua?

Mambo haya yananipa shida kuyapatia majibu basi nabaki kujiuliza bila mafanikio naombeni wadau mnisaidie kung'amua.
"Majibu ya hasira kwa swali la Msingi"
Mkuu kwa walio wengi humu ndani hiyo kwao sio issue, wao wanataka CCM Iondoke tu.
Cha kufuraisha ni kwamba Alikoamia Lowassa ndio kulikotangazwa kuwa upo ushahidi wa ufisadi wake. Nafikiri sasa huo ushaidi utafichwa rasmi, kwani alikuwa mchafu CCM akiwa CHADEMA ni msafi?? Tunajifunza nini Hapa? Kwa chama kama CHADEMA kilichokuwa kinapiga vita ufisadi? Kama wameweza kusahau tuhuma zote za Lowasa wameshindwaje kumsamehe ZZK?
 
Wadau Habari; jana ilikuwa siku ya kipekee sana kwa historia ya Tanzania ambayo tuliahidiwa na tuliisikia minong'ono mingi na tetesi za kila leo juu ya kuhama chama kwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiket ya CCM ndugu, EL.

Binafsi nampongeza kwa kuitumia haki yake ya kidemocrasia na kufanya maamuzi magumu; kama mtanzania nisiyefungamana na upande wowote nimestaajabishwa sana na mambo mawili makubwa.

Mosi ni juu ya umiliki wake wa card ya CCM, EL inasemekana ana miliki card namba 15 ya Uwanachama ndani ya CCM, lakini siku ya jana alijivua uwanachama na kupewa rasmi card ya CDM, sasa bado najiuliza imekuaje kamanda huyu amejiondoa CCM na kwenda CDM lkn bado anamiliki card ya chama hicho? Maana jana sikuona akiirudisha card ya CCM ili ichanwe chanwe pale mbele ya macho yetu.

Lakini kama hiyo haitoshi bado najiuliza inawezekanaje Kiongozi mkubwa kama yeye anathubutu kutoa majibu ya hasira mbele ya Taifa hili juu ya swali la msingi ambalo lilimchafua yeye na baadhi ya Viongozi wa wizara husika.

Kwa kusema kwamba NANUKUU; "Nilipoitisha kikao cha "Government negotiation team" nikawauliza mbona nasikia huu mkataba una matatizo?

mimi nina uzoefu wa kuvunja mikataba na huu tuuvunje! wakaomba ruhusa watoke nje kwa saa moja, baada ya hapo waliporudi wakasema wamepigiwa simu toka mamlaka ya juu mkataba usivunjwe "what else could I have done?"

Mwisho wa KUNUKUU, Sasa najiuliza hapa inawezekanaje PM umeitisha kikao cha subordinates wako alafu anatokea wa kukuambia kuwa et nimewasiliana na wakuu wamekataa hilo, nani basi mwenye kupaswa kufanya consultation na Wakuu wenzake kati ya watu hawa wawili EL kama PM au Subordinates?

Lakini pia napata shaka pale namna ambavyo swali la msingi lilivyojibiwa kwa kusema kwamba, NANUKUU; "Am sick of Richmond, mtu yoyote mwenye ushahidi wa mimi kuhusika na Richmond aende mahakamani, kama huna just shut up. Nilichukua uamuzi kwa niaba ya serikali.

Nimeondoka madarakani miaka nane iliopita, mambo haya yameongezeka yamepungua, mikono yangu ni misafi na mtu mwenye ushahidi acha kupigapiga kelele, peleka mahakamani" mwisho wa KUNUKUU; Kwa uelewa wangu wa kawaida kabisa unyeti wa jambo hili haukutaka jibu la namna hii bali watanzania tungeridhishwa zaidi endapo tungepata majibu mazuri kwa kina na yenye kujitosheleza badala ya kuwa mkali kiasi ambacho inatuacha na maswali mengi kwamba ile ni namna ya kututisha na kutuziba midomo kama ambavyo ilitokea pale kwa wana habari wenzangu au ni nini hasa?

Kama hii haitoshi bado najiuliza, Je na ile hoja ya Dr.Slaa kwamba ushahidi wa jambo hili anao na yupo tayari kwenda kuthibitisha mahakamani leo hii sisi watanzania tunaibebaje hii statement kuwa naye alikuwa anabwabwaja tu au namna gani?

Lakini nathubutu kwenda mbali zaidi kwa kujiuliza Dr.Slaa na wenzake wanasimama vipi Jukwaani kumnadi kwa kumtakasa mtu huyu ambaye wao walikuwa wanachangia kumchafua?

Mambo haya yananipa shida kuyapatia majibu basi nabaki kujiuliza bila mafanikio naombeni wadau mnisaidie kung'amua.
"Majibu ya hasira kwa swali la Msingi"
Hii ishu ya Richmond naona bado mnaikomalia.
Amesema hiviiii....mwenye ushahidi na aende mahakamani.
Period.
Mbona mmekaa na ushahidi wenu mitaani badala ya kupeleka mahakamani?
Nadhani ni kwa sababu mnajua kuwa kuna mnene wa juu anahusika na hakuna litakalotokea kwa sababu yeye ndo anayechagua majaji. Au mi ndo sielewi?
 
Wacheni ushabiki wa ovyo. Kikao anachochair PM yeye ndio spokesperson pale. PM ndio mwenye mamlaka ya kufanya consultation ya mtu wa juu. Siamini kama Lowassa hakuwa na uwezo wa kumpigia mkuu wake na kumuulizia juu ya jambo hili. Otherwise basi yeye ni bogus kabisaaa
cc; NYANGE Mkuu hiki ndio nilichokueleza.
 
mkuu mbona mimi sijaona mahala alipo jibu ka hasira, pia aliitisha kikao sio cha subordinate but watendaji mbalimbali akiwemo mwanasheria mkuu. soma kazi za manasheria mkuu nini katika serikali then ndo uje hapa vinginevyo na wewe shut up

Mwanasheria mkuu na waziri mkuu nani kiongozi wa mwenzie ndugu yangu?
 
Kamati ya bunge na mh mwakyembe walishindwa kuelezea bunge yote.!!!!
 
Mtoa mada ana weweseka, maji yamemfikia shingoni, huo mto hamtavuka. Jiwe mlilio likataa limekuu jiwe kuu la msingi kwa CDM.
jaribu kujenga hoja sio kuropoka tu hizi ni page za watu makini kama huwezi jst shut up,kama huyo unayemshabikia alivyosema,kumbuka wapiga kura si wanachama wa chadema na ccm tu.tupo tusio na vyama mtuvute kwa hoja sio kukurupuka kama unavyofanya mr.bodaboda
 
kwann tuzunguke sana wakati inajulikana kuwa siasa ni mchezo mchafu? unaweza ukachafuliwa leo, na huyo aliyekuchafua kesho akakusafisha kwa kupima faida atakayopata baada ya kukusafisha.ol in ol kama dokta na mwenyekit walitereza kwa kumchafua EL basi pia wana kibarua kizito cha kuwaconvic watz kuwa EL C VILE WALIVYOSEMA.GOD BLESS TZ.
 
Mwaka huu ccm mtatafuta pakwenda UKAWA mbele Kwa mbele tuwatoe hawa wanyonyaji' wametunyonya sana sasa baaasiiii
 
jaribu kujenga hoja sio kuropoka tu hizi ni page za watu makini kama huwezi jst shut up,kama huyo unayemshabikia alivyosema,kumbuka wapiga kura si wanachama wa chadema na ccm tu.tupo tusio na vyama mtuvute kwa hoja sio kukurupuka kama unavyofanya mr.bodaboda

hakuna cha kujenga hoja hapa ccm itoke tu tumeichoka tuunde mfumo mpya
 
Back
Top Bottom