RPC Morogoro akana polisi kutumia risasi za moto

RPC Morogoro akana polisi kutumia risasi za moto

tunauana sisi kwa sisi. ipo siku polisi ataua mdogo wake wa damu akidhani ni figganigga. mia
 
Ange sema nini wakati wote toka waziri mpaka OCd wanaburuzwa kwa maslahi wenye hati miliki ya nchi
Nchi ilishwa uzwa kwa sisiem waliomo ni mali yao.
the day will come. the time is close. Go go M4C.
Maeneo yote yaliyo kombolewa yalikombolewa kwa damu.
 
''wanafunzi wanaopata Mimba wakiwa masomoni wana vihelehele''....

Ooh sorry kumbe niko out of topic
 
Sishangai sana. Picha ya Bw. Ally Zona inaonesha bomu limelipukia kichwani. Sio karisasi. Rpc inawezekana yupo sahihi!
 
YES! Maafande wamenunuliwa, ulitegemea ajibu nn? Akili ndogo unatawala akili....... Asante mungu cjawahi kuwaamini polisi, pathetic force

Falsafa ya Majeshi "Tumia akili kidogo na nguvu kubwa"
 
Hoja ya msingi hapa ni mauaji ya maisha ya mtu yametokea...nini kimemuua kati ya risasi au bomu si muhimu,bali jambo la muhimu ni wahusika kuwajibishwa.
 
Jamani....kwani na TV iliyoonyesha jana ma-askari wakifyatua risasi....walikuwa ma-askari wa Libya wale?!! :mad2:
 
Katika hatua ya kushangaza, RPC wa Morogoro amekana askari wake kutumia silaha za moto wakati wa kuzima maandamano ya chadema yaliyofanyika mkoani Morogoro leo.Alisisitiza polisi kupiga mabomu ya machozi tu.

Source:Mahojiana ya kamanda huyo na kituo cha TV cha chanel ten wakati wa taarifa ya habari ya saa moja usiku huu.
halafu chanel 10 waache unafiki watakiua kituo chao cha habari kwa undumilakuwili mbona ITV wako strong na still is a private media like for them
 
Ni kweli kabisa Coz Marehemu alipigwa bomu la macho!
 
Huyo RPC asubiri pingu tu hata baada ya miaka kadhaa kupita.asidhani CCM itatawala milele.
 
Wana JF

Nimesikiliza sauti ya RPC wa Morogoro akiongea na Times FM sasa hivi anasema polisi haijatumia risasi hata moja Morogoro na badala yake wametumia mabomu ya machozi tu na kwamba hata aliyefariki leo hawezi kusema kapigwa na risasi maana huenda amefariki kutokana na jeraha la BOMU LA MACHOZI.

Nimepigwa na Butwaa na kauli hii ya RPC.

Few days ago Nape akihojiwa na radio moja alisema anajua kutakuwa na fujo kwenye mkutano wa CDM Morogoro, akienda mbali zaidi aliwashauri wananchi wasiende kwenye huo mkutano. Je yeye ni mtabiri, mimi naona wazi kabisa kuna mkakati wa kufanya fujo na pengine mauaji ili kuvuruga CDM. Na hilo linaratibiwa na CCM na polisi wao.
 
Katika vitabu vitakatifu vyote yaani biblia na qur-an, yaliandikwa maneno matakatifu kuhusiana na wanaadamu kuwa ' na kuna miongoni mwa watu, ambao nia na dhamira zao ni kupotosha wenzao kwa ajili yakujipatia ufalme wa mali na uongozi kwa ajili ya manufaa yao hapa hapa duniani'. Kutokana na maneno hayo, CDM kutokana na yale jana yaliyo tokea morogoro, ni wazi kabisa wameamua kuwapumbaza watu ili wapate ufalme wa mali na uongozi kwa ajili ya manufaa yao hapa ulimwenguni . Wao waliisha ambiwa maandamano yao ni batili ila kwa upeo wa viongozi wao mdogo na hasa mzee wao Slaa, aliamua damu imwagike kwa manufaa yao tu na si ya watanzania. Sasa kwa hili basi ni wazi sasa viongozi hawa nia yao kubwa nikumwaga damu ya watu na hili lipo hata kwenye bendera ya chama chenyewe, ambayo nyekundu maana yake ni umwagaji wa damu na kuingia madarakani.

Nahitimisha kwa kusema CDM ni sawa na kuku wa kuchora ambae hawiki, hadonoi, hali na hafai kwa nyama wala kwa mayai
 
Back
Top Bottom