Recent content by PONGONYOSO

  1. PONGONYOSO

    Ujio wa Sex Dolls: Dunia inaenda kasi

    Hahahaaaaaa n noma na nusu
  2. PONGONYOSO

    Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Uzembe umezidi kweny hii nchi kila kitu tunakichukulia siasa siasa tu.
  3. PONGONYOSO

    Kujifunza programming bila kwenda chuo

    Nitashare link za paid programming course ambapo mwenye kuhitaj anipm itampatia link atajiunga na udemy na atazipata hizo course free kabisa bila kutoa hata mia. course zenyewe zinanzia $199 but utazipata free kabisa.link yenyew niya telegram channel.ukimaliza course utapewa certificate yako.
  4. PONGONYOSO

    Je, unapenda progaramming, je unatamani kuwa developer? soma hapa jifunze kitu

    Hizi ishu za programming kwa mm hapa naona ni za msingi sana na nimezifwatilia kwa karibu ilinijifunze programing katika pitapita zangu kutaka kujua programming nimekutana na channel kadhaa za telegram ambazo zinatoa course za kulipia za programming kutoka udemy bure ambapo kweny hizo course...
  5. PONGONYOSO

    Jamiiforums ya bure (bila bundle)

    Install app ya freebasic utaiona jamii forum log in kweny account yako endelea kula maisha,unaweza pia kuingia freebasic kwakutumia line ya halotel .
  6. PONGONYOSO

    Psychoanalysis: Je, wajua dress code ya mtu ina represent the soundness of his mind?

    kiimani nguo zina athari kubwa katika maisha yetu ya kila siku,kuna nguo za kuziepuka kama vile nguo za mtumba si nzuri sana. zinabeba tabia na hulka ya mtu so,ikitokea ukainunua na ukaivaa kuna uwezekano wa we kuchukuchua tabia zote za mtu wa kwanza kuvaa nguo hiyo,pamoja na mikosi na balaa...
  7. PONGONYOSO

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Mambo ni hivi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
  8. PONGONYOSO

    Hii Ndiyo Maana Ya 'Black History Month'.

    Nelson Mandela .
  9. PONGONYOSO

    Jeshi la Polisi lazima tukio la ujambazi, wahalifu watimua na kuacha bunduki ikiwa na bendera ya CHADEMA

    Hawa police tunajua wanatumiwa hakuna haja ya kuumiza sana kichwa tumeshawazoe.
Back
Top Bottom