Kujifunza programming bila kwenda chuo

Kujifunza programming bila kwenda chuo

Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.

Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.

Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Ninaye mtu namfaham kajifunzia You tube, sema alikuwa na passion Sana ya hayo makitu huku chuo akisoma fani nyingine ya uhandisi, hivi sasa yupo nchi za mbele anasoma masters ya computer na amepata kibarua part Time huko tena cha hiyohiyo aliyosomea YouTube na kusoma vitabu Mwenyewe na usaidizi kidogo toka kwa wanafunzi waliokuwa kwenye fani hiyo
Kikubwa ni passion tu unaweza kbsa kusoma.
 
Kuwa IT ni kitu chepesi sana...mdogo wangu asaiv form 4 lakin anafanya kila kitu tena hadi website,hizi flyers,bronchure sijui Business card ya kampuni ya kaka yake kaitengeneza yeye
 
Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.

Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.

Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Mkuu ushauri wako sijaona mantiki yake mpaka sasa, kiufupi ni bora ku-hustle kujifunza kitu peke yako kuliko kukaa darasani tena bongo ukitegemea utaki-master kwa miaka hiyo kadhaa the same thing unachoenda kufanya kule hakina utofauti na kujifungia ndani kwa kusoma vitabu na kupata muda wa kukaa na wazoefu, jiulize tuna Graduates wangapi wa IT kila mwaka kutoka kwenye hivyo vyuo uluvyovitaja and so far washafanya mabadiliko gani mpaka sasa, don't discourage watu ambao wana passion ya kufanya kile wanachokipenda wenyewe, kutaka kumshawishi mtu kwenda kusoma coding kwa slides kadhaa darasani unamtia uvivu na hata ile hamasa inatoweka, jifunze kitu peke yako kosea kisha jioji wapi nimekosea siyo nimekosea waniwekea F kwa karatasi kwa wino mwekundu as if you understand my inner ability. In short watu wa coding tuendelee kujifungia ndani habar ya kwenda chuo kupoteza miaka kadhaa unarudi ndo unaanza kuwa fundi computer maana yake nn.

Shauri na wajasiriamali wakasomee darasani wote kama watakusikliza.
 
OK mtaalam kama mtu ana umri wa miaka 40 - 60 ana interest tu kujua programming una mshauri aende wapi?
 
Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.

Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.

Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Mkuu nakubaliana na wewe ila sikubaliani na wewe.Ni kweli huwezi kujifunza 100% bila kuwa na mentor ila si kweli kwamba ukiwa na mentor utajifunza 100%

Kusoma programming au CS kama unavyosema sio kazi rahisi iwe unamwalimu au hauna mwalimu.Inahitaji bidii ya ziada.

Mimi binafsi ninajifunza Programming mwenyewe.Nilianza na WEB Proramming,Sasa hivi najifunza kuhusu OPERATING SYSTEMS,kisha nitafuata CRYPTOGRAPHY and IS SECURITY baada ya HAPO nitaspecialize kwenye LUGHA MOJA ya PROGRAMMING kwa ajili ya kutengeneza cloud based softwares.

Kwa muda niliojifunza nimetambua kwamba kujua webprogramming in maana tayari unajua BASICS of Programming unachotakiwa sasa ni kufahamu kinachofuata baada ya hapo ni nini.

Nafikiri wengi wanapotea kufikiri kufahamu codes ndo kufahamu programming/coputer science kumbe codes ni kama Periodic table kwenye Chemistry au Four Figure kwenye hesabu au Dictionary/Kamusi kwenye Lugha.Unatakiwa ujue unachotaka kufanya nini kisha hizo zinakuwa kama tools za kukusaidia kufanya kile unataka kufanya.

So nafikiri wanaojifunza wenyewe waendelee kupambana kwani tunao uhaba wa web programmers hapa nchini hasa wenye ubora
 
Nitashare link za paid programming course ambapo mwenye kuhitaj anipm itampatia link atajiunga na udemy na atazipata hizo course free kabisa bila kutoa hata mia. course zenyewe zinanzia $199 but utazipata free kabisa.link yenyew niya telegram channel.ukimaliza course utapewa certificate yako.
 
Mkuu nachokiona hapa unaumia na kuteseka mno kuona vitu ulivyovisoma Kwa mbinde, leo teknolojia imevirahisisha na watu wanavisoma kirahisi sana. Kumbuka mambo yanabadilika sana usiforce uzamani kwenye sasa. Zamani watu walitumia mawe kuhesabu baadae ikaja vijiti leo Kuna calculators. Huwezi kusema watumia mawe walikuwa bora zaidi. Pia kulikuwa na watu wanaitwa ma bwana mafaili spesho Kwa kutunza mafile, ila baada ya kuja kwa tarakirishi a k a computer Huwezi kuwasikia tena coz files zinatunzwa mule na ni simple zaidi kuzipata. Acha uzamani na si kila mtu apitie ulipopitia
 
Mkuu nakubaliana na wewe ila sikubaliani na wewe.Ni kweli huwezi kujifunza 100% bila kuwa na mentor ila si kweli kwamba ukiwa na mentor utajifunza 100%

Kusoma programming au CS kama unavyosema sio kazi rahisi iwe unamwalimu au hauna mwalimu.Inahitaji bidii ya ziada.

Mimi binafsi ninajifunza Programming mwenyewe.Nilianza na WEB Proramming,Sasa hivi najifunza kuhusu OPERATING SYSTEMS,kisha nitafuata CRYPTOGRAPHY and IS SECURITY baada ya HAPO nitaspecialize kwenye LUGHA MOJA ya PROGRAMMING kwa ajili ya kutengeneza cloud based softwares.

Kwa muda niliojifunza nimetambua kwamba kujua webprogramming in maana tayari unajua BASICS of Programming unachotakiwa sasa ni kufahamu kinachofuata baada ya hapo ni nini.

Nafikiri wengi wanapotea kufikiri kufahamu codes ndo kufahamu programming/coputer science kumbe codes ni kama Periodic table kwenye Chemistry au Four Figure kwenye hesabu au Dictionary/Kamusi kwenye Lugha.Unatakiwa ujue unachotaka kufanya nini kisha hizo zinakuwa kama tools za kukusaidia kufanya kile unataka kufanya.

So nafikiri wanaojifunza wenyewe waendelee kupambana kwani tunao uhaba wa web programmers hapa nchini hasa wenye ubora
Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.

Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.

Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
from what I know unaeza kujifunza mwenyewe na ukafanya vema pia mtoa mada inaelekea yuko bias au hana ufahamu kuhusu tech industry ya Tanzania, many information technology company kama smatcodes,flowfarm ets
Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.

Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.

Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Fanya utafiti vema mleta mada computer programmer wazuri wanatoka sjcet fuatilia kwenye company nyingi ambazo ni game changer zina maprogramer kutoka so kusema watu wakajifunze vyuo hivi halafu hivi havifai ni uongo wa mchana kweupe pia lugha ya computer ni kama lugha unaweza kujifunza chuoni au kwa kutafuta materials mwenyewe amka kjn
 
Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS
. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!

wewe ni wakala wa hivyo vyuo?
elimu ina patikana kwa urahisi tu mtandaoni, chuoni unafanya mtihani na kupata cheti hasaaa kama una lenga kuajiriwa,
ila kama ni kujiongezea ujuzi tu na kupiga dili uswahilini elimu mtandao inatosha kabisaaa.
 
Kuwa IT ni kitu chepesi sana...mdogo wangu asaiv form 4 lakin anafanya kila kitu tena hadi website,hizi flyers,bronchure sijui Business card ya kampuni ya kaka yake kaitengeneza yeye
Ni Kama simu Mkuu hufundishwi na mtu lakini kadri unavyozidi kuichezea unazidi kujua vitu Mara ma screenshots mara kuiflash bila Kutumia computer. Ha ha haaa
 
Hii requirements iko dunia nzima hata marekani first world cheti kinapewa heshima.waliouweka utaratibu huu hawakua wajinga.
Yaaap,walioweka cheti hawakuwa wajinga, ila tusiwe focus sana kwenye vyeti, tu focus kwenye information, knowledge, generation ya knowledge na application zake na hii itasaidia vijana kulia lia na ajira.
Tusidharau vyeti ila content ni matter on the table in this crazy world.
 
Sina kikubwa nilichofanya , mimi ni software engineer andela, kumshauri mtu hakuhitaji uwe umefanya kitu kikuuubwa! Ukiwa tu na ujuzi wa kutosha na uzoefu inatosha.
Tatizo vyuo vyetu haviendi na market requirements. Soko linataka nini. Sasa wewe unapata degree yako ukiingia mtaani unakuta technolojia imebadilika. Hapo unakuta dogo wana-certificate ya mwezi uliopita wanakutesa kwenye interview mana wewe unajua uliyosoma first year miaka 2 iliopita.
 
We mwenye mada mbona utateseka sana? Hata ukisha graduate bado itakubidi ujifunze mtandaoni muda flani ukipita. Acha kulia lia. Stop being bitter.
 
Maisha yamebadilika sana .Mimi naweza kusema kama unataka kujua programming vizuri na unapassion nayo haina haja ya kwenda chuo Kila kitu kipo mtandaoni.You tube ,udemy, na website kibao kila kitu kinapatikana.

Alafu hata hao uliosema mameenda chuo kusoma wengi wao wapo shallow maana programming yenyewe wanafundishwa basic tu na ukitaka kuwa vizuri inabidi ujiongeze kweli kweli.

maswali yangu ni haya naona unijibu.?
(1.)Artificial intelligence kwa Tanzania tupo wapi mpaka sasa hivi ?na project ipi kubwa tunaweza kulingia kama taifa kuwa tumefanikiwa kutengeneza kupitia wasomi wetu.

(2.)Kilimo Tanzania tupo wapi mpaka sasa hivi kwa msaada wa maprogrammer ?Automation inakuwa kwa kasi sana .Na wenzetu wameweza kutengeneza drones zenye kusaidia umwagiliaji ,Mashine zenye kusaidia upandaji n.k. Sisi tupo wapi kama Taifa?

(3.)Elimu maprogrammer wametoa mchango gani? Tofauti na kutengeneza Website.Au kila anayesoma programming basi anatengeneza Website.?

TANZANIA BADO SAANA KILA SIKU,NATAFUTA HATA PROGRAMMER MWENYE KUELEZEA MADINI You Tube LAKINI HAMNA KITU.Mfamo Algorithm na Data Structure nikitaka kuelewa vizuri ni Channel gani ya MTANZANIA naweza kujifunza You Tube, Vipi kweye Lugha kama C, C++ , JAVA , PYTHON ni mtanzania yupi ameelezea haya madude kwa kiswahili You Tube au kwenye website yoyote ile.

NAOMBA KUJIBIWA AISEE .
 
Times have changed. Sio kila mtu ana muda na hela za kwenda kuanza degree ya miaka mitatu. Na pia syllabus za bongo zinachukua muda mrefu sana kuwa updated. So ni bora ukajifundisha mwenyewe online kuliko kwenda chuo
 
MIMI KILA SIKU NAUMIZA AKILI NA KWA MSAADA WA INTERNET NATAKA KUTENGENEZA PROGRAM YENYE KUSOLVE MASWALI YOTE KWA KUANZIA O-LEVEL TU KATIKA SOMO LA HESABU LAKINI SIJASOMEA CHUO NA NATAKA NIKIENDA CHUO NIKASOME MAMBO MENGINE..
Mfano Maswali ya topics kama Statistics ,Matrix and Transformation, Sequence and Series,Account , Co-ordinate Geometry, Set ,Quadratic Equation,Sphere n.k nataka niweze kusolve kwa kuandika data za swali tu na program iweze kunipa njia na kuonyesha jibu .ILI NIWEZE KUSAIDIA TATIZO KATIKA SOMO LA HESABU.

ukitaka naweza piga picha mfano wa hiyo project na nikatuma humu.
Alafu programming unatakiwa kila siku uwe unasoma haijulishi hata kama unadegree.Maana language ni kama Dictionary huwezi kujua kila kitu ndani yake..
 
Wakoloni wapo tofauti na sisi ndugu yangu, pamoja na hilo wao skills na uwezo binafsi vinapewa nafasi ndipo cheti.

Mfano.
Kuna jamaa flani hapa nchini walikuwa wanapenda sana kuchukua vijana talented na baadaye kuwapa chakula wanachotaka ili kufanya mambo makubwa na baadaye ndipo cheti.
 
Nitashare link za paid programming course ambapo mwenye kuhitaj anipm itampatia link atajiunga na udemy na atazipata hizo course free kabisa bila kutoa hata mia. course zenyewe zinanzia $199 but utazipata free kabisa.link yenyew niya telegram channel.ukimaliza course utapewa certificate yako.
Tunasubiri mkuu!
sio wote ambao tunaweza kwenda chuo ingawa tunagitaji hii elimu!
 
Labda andela student ila sio senior engineer. Isingekuwa na mawazo ya ajabu kama hayo kwa kuleta mada hii. Andela wenyewe wana encourage watu ambao hawana CS Degree wafanye application ya ALC programs zao.
Sina kikubwa nilichofanya , mimi ni software engineer andela, kumshauri mtu hakuhitaji uwe umefanya kitu kikuuubwa! Ukiwa tu na ujuzi wa kutosha na uzoefu inatosha.
 
Labda andela student ila sio senior engineer. Isingekuwa na mawazo ya ajabu kama hayo kwa kuleta mada hii. Andela wenyewe wana encourage watu ambao hawana CS Degree wafanye application ya ALC programs zao.
Unazungumza hivo kwa sababu hujui,unajua ni asilimia ngap ya self taught developers ambao wanafanikiwa kuingia kwenye fellowship?

On top of that kaa ukijua kwamba majority ya wanaoingia kwenye fellowship bila degree CE,CS au SE wanakua na elimu nyingine kwenye technical field kama statistics, Math au Engineering at least kwa level ya diploma. Kama kuna mtu yyt unamfahamu andela kenya, Uganda au Rwanda muulize ku confirm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom