Ila sisi wabongo!
Kweli tutafika ikiwa tunaendesha mpira kwa kusikiliza maneno.
Mtazamo uwe mpira wa kibiashara
Maneno watu watasema tu.
Hili la Mkude hakukuwa na sababu ya kutoa 'taarifa kwa umma'
Pamoja kuwa Mimi ni shabiki wa Simba ila mo mshamba Sana dah!😄
Unapajua Kyanyamisa?
yupo sahihi ukitoka Rusumo unakuja Benaco then unaingia pori la Kimisi hapo Kyanyamisa ndio barrier ya mwisho ya polisi na ipo wilaya ya kyerwa ukitoka hapo unaitafuta omurushaka Karagwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.