kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,646
- 9,622
Hii vita hii
Hii vita hii
Msukuma kavaa viatu vya mchuchumio....bitoz wa Sengerema enzi hizo!Wakati nikiwa kijana kana ninyi! View attachment 1334636
Hii picha sijaielewa bado, hizi pumbu ni za huyu ng'ombe au huyo jamaa aliyempanda atakuwa kazisahau?
Duuu! Wakati soda 250 nilikuwa najimudu, soda ilinisumbua kipindi inauzwa 30.Hahaha enzi hizo babake tupo machalii bado hatujiwezi kumudu soda ya 250
Na aliyegundua X pen naye mkaksi kweliIla umaskini bana ulaaniwe. Eti kwetu hadi hivyo vijuisi vilikuwa vya anasa kukabahatisha hadi uwe unaumwa na uwe na dozi ya quinine au croloquine(sijui nimepatia kuiandika) na masikio yawe yameziba au mwili wote unawasha.
By the way hivi aliegundua hizi dawa mbili kweli ataiona pepo? Hivi hakuwa na roho chungu kama dawa zake?
Ilikuwa fantaMwenye picha ya bambucha coke Ya 250 na fanta aitupie humu
Duh....Hapo Vp self container Choo cha shimo ndan View attachment 1337298
Sent using Jamii Forums mobile app