Hakuna kitu mbeya nitakataka tu we uijui mwanza naishi mbeya nimkoa wa kishamba sana huwez linganisha na mwanza huijui mwanza ww huwezi tuma picha za city pub na ilo ghorofa pamoja na kabwe huo ni uchafu kwa mwanza
Twiga force, Chukua iyo Dawa piga kny godolo na maeneo yenye nyufa Dawa ni Kali sana inauwa kwa harufu pia kuguswa nimewahi tumia iyo Mwanza adi Leo hakuna kunguni Dawa zilizobaki ni story tuu iyo twiga force we mwenyewe wakati wa kupiga lazima ujipange vizuli ikiwezekana uvae vifaa vya...
Hahaha [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] kuwa mwanachama wa chama furani inaitaji unafiki ambao ata shetani hauwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa naanza kumuona firauni aliyezungumzwa katika vitabu vya dini katika ulimwengu wa sasa hakuna mahari dunian kuna chuo cha unafiki lakini naona idadi ya wanafiki ikiongezeka tafasiri yake nikwamba sasa shetani aliyejivika ngozi ya kondoo nchini Tanzania kwa miaka mingi kaanza kujionesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.