Vyura Weusi na Madoa Mekundu wanahitajika haraka sana Bei Nzuri

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,314
Wadau kuna issue ya Vyura flan hivi weusi wana madoa madoa mekundu. mara nyingi chura huwa huwa hawaruki. wanahitajika sana. mimi nilishawah kuwaona home kipindi hicho tulikuwa na migomba. wana mng'ao flan hivi kwenye ngozi. ngzoi yao si kavu au ngumu kama wale chura wengine.

hawa chura imebainika ni deal sana. kuna wazungu flan wanawanunua kwa bei nzuri. mmoja tsh 5000 kwa dume na jike 10,000 nao wazungu wanataka vyura 1,500. hawataki kusema wanatumika kwa ajili gani lakini kuna mtu kanidokeza wanatumika kutengenezea dawa ya kansa na pia hiv/aids.

ila wazungu wenyewe hawatak kabisa kuzungumzia hilo. naomba kama unao tufahamishane tafadhari mim nitanunua kwa tsh dume 2000 na jike 4000. kama upo tayari ni pm tafadhari. malipo ni cash.
 
Nyara za serikali hizo, naomba usalama wa taifa wafuatilie wewe kwa makini, hii ni aina nyingine ya ujangili
 
Mleta mada uko chini ya ulinzi..unacho kibali cha kununulia na kuuza nyara za serekali?
 
Mali za Mjerumani hapa utakuta mleta mada anavyo hivyo vyura au anajua vilipo sasa anataka mtu wa kumlengesha, Hakuna cha wazungu wala nini
 
Wadau kuna issue ya Vyura flan hivi weusi wana madoa madoa mekundu. mara nyingi chura huwa huwa hawaruki. wanahitajika sana. mimi nilishawah kuwaona home kipindi hicho tulikuwa na migomba. wana mng'ao flan hivi kwenye ngozi. ngzoi yao si kavu au ngumu kama wale chura wengine.

hawa chura imebainika ni deal sana. kuna wazungu flan wanawanunua kwa bei nzuri. mmoja tsh 5000 kwa dume na jike 10,000 nao wazungu wanataka vyura 1,500. hawataki kusema wanatumika kwa ajili gani lakini kuna mtu kanidokeza wanatumika kutengenezea dawa ya kansa na pia hiv/aids.

ila wazungu wenyewe hawatak kabisa kuzungumzia hilo. naomba kama unao tufahamishane tafadhari mim nitanunua kwa tsh dume 2000 na jike 400. kama upo tayari ni pm tafadhari. malipo ni cash.
Usitutafutie matatizo we kijana....viumbe hai vyote ni mali ya serikali.
 
Wazungu pori wananunua chura dume kwa 5000 jike 10000..wewe Ndumilakuwili unanunua dume kwa 2000 jike kwa 400..ru serious.. Au ndo mnacreate demand ili maboya waingie..
 
Sijafaham nimekukosea nini mpaka uniite majina hayo. Kwani hukufundishwa na wazaz wako kuwa tu mstaarabu?hata dini yako? Hata elimu? Badi hata wewe mwenyewe tu jifunze ustaarabu ni kwa jila binadamu mwenye akili timamu.

Wazungu pori wananunua chura dume kwa 5000 jike 10000..wewe Ndumilakuwili unanunua dume kwa 2000 jike kwa 400..ru serious.. Au ndo mnacreate demand ili maboya waingie..
 
Wadau hawa chura wanatumika kutengenezea dawa flan ya magonjwa sugu sana duniani kutokana kemikali inayopatikana kwenye ngozi yao na pia kwenye mioyo yao na figo pia. Wamekuwa adimu sana. Mpaka sasa mi nmeshapeleka chura 67 nikapata mkwanja wangu bila longo longo. Kuna jamaa mmoja nliwah mwona east afrika kipindi cha uswazi anafuga zaman kidogo. Sijui ntampataje maana ye alikiwa nao kama wwili hivi
 
Unazungumzia hawa?

d61c9b987c682d64e783c894c6db68a8.jpg
 
Back
Top Bottom