Askari Polisi nao ni binadamu

Askari Polisi nao ni binadamu

Hakika n vigumu polisi kutoka katika mambo haya n ndio tatizo cha kwanza DHULUMA cha pili KUSHITAKI KWA UONGO tatu KUTO RIDHIKA NA MISHAHARA YAO (RUSHWA) hakika hayabndo shda kwao na daima wataish maisha duni kutokana na hayaa
vp upo tayari kwenda kuthibitisha mahakaman mkuu

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoa wa Dar, anahusika kwa kupanga mikakati ya usalaam, ningekuwa mimi ningehimiza polisi wasitumi silaha za moto kukabiliana na matukio haya ili isitie doa kwenye kauchaguzi kenye lawama za matumizi mabovu ya kodi kwa kutumia sheria
 
Sasa naanza kumuona firauni aliyezungumzwa katika vitabu vya dini katika ulimwengu wa sasa hakuna mahari dunian kuna chuo cha unafiki lakini naona idadi ya wanafiki ikiongezeka tafasiri yake nikwamba sasa shetani aliyejivika ngozi ya kondoo nchini Tanzania kwa miaka mingi kaanza kujionesha kuwa yeye nimbwa mwitu na siyo kondoo
 
Wewe umetumwa si bure, kama una watoto basi wamepat hasara ya baba,na wazazi wako bora wasingekuzaa tu kwa mawazo hayo.
 
Kwa taarifa yako huyo mambosasa amesema alijeruhiwa kwa bahati mbaya wakati wa kukabiliana na waandamanaji, japo bado maswali ni mengi tu kwa huyo kamanda moja wapo likiwa kama ni bahati mbaya hao askari wanashikiliwa kwa sababu gani?
Ndipo Msemo wa wahenga unapokuwa na maana ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu.
 
Chama la wanyang'anyi daimaa hutumia mabavu na vyombo vya dola na c vingenevyoo hawana lakutuambia tena bali sasa tulazimishwa na ukiwa against ujue utapotelea kusiko julikana kama sio kifooo
mh mkuu
 
Eti kuna ushahidi gani risasi ilifyatuliwa na polisi? Yaani unatetea mauaji yaliyofanywa na Polisi? Wewe ni mmoja wao kuna siku haya mnayoyafanya yatakwisha.
MBOWE KAANZISHA MAANDAMANO YENYE FUJO NA VURUGU.
AMIN NAKWAMBIA MWENYEZI MUNGU NI MUNGU WA HAKI NA MMELAANIWA NYOTE MILELE
 
Eti kuna ushahidi gani risasi ilifyatuliwa na polisi? Yaani unatetea mauaji yaliyofanywa na Polisi? Wewe ni mmoja wao kuna siku haya mnayoyafanya yatakwisha.
IMG-20180217-WA0054.jpg
 
inaonesha unayajua sana mambo ya silaha ikiwamo utumiaji maana umeeleza vizuri huko nyuma
Sijawahi hata kutumia bunduki lakini najua kuwa kila gun barrel ina tofaut inayoacha kwenye risasi inavyo vyatuliwa.
Wanachofanya huwa wanachukua ile risasi iliyoua halafu wanachokua bunduki wanazohisi ndizo moja wapo ilifyatua hiyo risasi wanatumia hizo bunduk kifyatua risasi kwenye mtungi wa maji kisa zinaenda kuringnishwa alama zake na hiyo risasi kwenye microscope itakayoendana na risasi iliyomuua marehemu watajua ilitoka kwenye bunduki flani na alikuwa anaitumia flani
 
Bora kubaki kimya inasaidia. MTU agongwe na gari barabarani kisha tuanze kuhisi huenda kang'atwa na nyoka?
 
kwanza wewe unaijua risasi au unadhani ni manati yanayotumia mawe
hakuna Raia anayeruhusiwa kumiliki Sub machine Gun, AK 47 NK
ni watu maalum tu ndio wanaruhusiwa na hawafyatui bila AMRI ya FIRE
Wakiwemo majambazi na waharifu wengine wanazo AK 47 kwa magendo
 
Back
Top Bottom