Recent content by pochilangu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

    Utakuwa hujui kunyonya ulimi unakaba ulimi! You need to be romantic bro!
  2. P

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yawataka Maimamu na Mashehe katika misikiti kuliombea Taifa kuliepusha na baa la njaa

    Hawa Bakwata wana matatizo sana! Wanaombea mvua ipi? Na njaa ya nani? Wajiombee wao kwanza!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuishi na mwenza ambaye kamwe hakuambii neno “nakupenda”?

    Unafiki ni kitu ambacho napata shida sana kuufanya! Nadhani hahitaji kabisa!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuishi na mwenza ambaye kamwe hakuambii neno “nakupenda”?

    Katika hali Kama hiyo hakuna cha Kadi wala maua! Huwezi amini hata birthdays hazikumbukwi! Lol inakuwa kama hamkuzaliwa vile mmeonana wakubwa eti?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuishi na mwenza ambaye kamwe hakuambii neno “nakupenda”?

    Nina mwaka wa tano sijalisikia na sitalitoa kamwe! Natimiza wajibu potelea mbali namshukuru Mungu inakuwa asubuhi inakuwa jioni siku nyingine !
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa kwa posho za vikao ni pigo jipya kwa CCM

    Hakuna uhalisia na usawa katika posho na vitafunwa wafanyakazi wengi wana mazingira magumu hawana hata posho leo mnaokaa maofisini kupigwa viyoyozi ndio mna posho na vitafunwa!!!? Shame! Lazima muishi kama mashetani!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mawaziri kudai hadharani kuwa hawashirikishwi kwenye maamuzi na viongozi wa mashirika yao?

    Hata sijui nianzie wapi wengi wetu upeo wetu ni wa hapa na pale
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wassira akimbilia Mahakama ya Rufaa kumpinga Bulaya

    Nimecheka sana!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kila akifanya mapenzi, anasikia maumivu, nini tiba?

    Hujui kuandika au hujui kutumia hiyo simu? Mbaya!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

    Arudi katika kazi yake! Uanaume ni pamoja na kujisimamia
  11. P

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku shule binafsi kufanya mitihani ya kuchuja wanafunzi

    Tafakari kauli yako
  12. P

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku shule binafsi kufanya mitihani ya kuchuja wanafunzi

    Agizo hili limechelewa sana! Hakika zifutiwe usajili shule zote binafsi zinazokaidi huu ni unyanyapaa kwa wanafunzi na Wazazi!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Kati ya Kutongoza na Kutongozwa ipi kazi ngumu?

    Jaribu kujitongoza utapata majibu yote ya uliyouliza
  14. P

    JamiiForums Tanzania Gambia: Rais Yahya Jammeh akataa matokeo yaliyompa ushindi Barrow

    Natamani binaadamu tungegeuka wanyama hata kwa miaka mitano ili kujue maana ya uongozi na demokrasia
  15. P

    JamiiForums Tanzania Sasa Mizengwe ni zaidi ya ze Comedy

    Wanafanya vizuri sana wakitumia Hali halisi ya mazingira ya Kitanzania kwa kupitia social life zetu! Big up huwa nakosa raha nikipitwa na hiki kipindi
Back
Top Bottom