Nikichoka huwa sipendi sana kelele ndo maana kuna muda nasikiliza empty CD! Na nikichoka sana nasoma plain papers, pia nalala huku nimesimama kuepuka kelele za godoro pale ninapo jigeuza, na wakati mwingine nina switch off Tv, ndipo naangalia, na hata meseji hua na delete ndo nasoma. Yani huwa...