Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

Kwenye nyumba yako ndiyo hakuwezi kutokea moto wala kuingiliwa na majambazi? Hivi ikipigwa fatuma kwenye geti la nyumba yako unaweza kukumbuka hata kuvaa nguo? Na usishangae linapotua tu kwenye mlango tayari wao wameshazama ndani na wanakukuta ndiyo kwanza upo kama ulivyozaliwa. Itakuwaje? Pamoja na uhuru wa kuwa nyumbani kwako, kwa security ya bongo hii angalau bukta mhimu.

Maongezi yako yanaonesha unaishi Mwananyamala kwa Kopa. Mlango wa nje ni wa mbao na chumbani ni pazia au gunia. Mimi sidhani kama inachukua dkk ishirini kuvaa nguo emergence ikitokea.

Sasa kama unalala na nguo kwa kuogopa moto na majambazi, unafanyaje 'mandingo' na mwenza wako? Kinguo-nguo?

Kama wewe ni muoga kiasi mlango ukipigwa hutakumbuka kuvaa nguo basi naamini hata ukiwa na hizo nguo huwezi kukimbia. Watakukuta tu hapo umejisaidia haja zote na mkeo keshakimbia.

By the way, kwa manufaa yako na wenzako, siku nyumba yako ikishika moto na wewe ukawa trapped, vua nguo ndio upite kwenye moto. Ukipita na nguo, nguo zitashika moto na ndio utakuwa mwisho wa mbegu yako
 
unaposema "uchoyo" ina maana huwa unaendelea na mchezo mwenzako akiwa amelala fofofo huku akiwa uchi?
Pole saana kwa mawazo yako chakavu, wenye akili timamu wamenielewa kwani akili ni nywele na kila mtu ana zake!
 
Pole saana kwa mawazo yako chakavu, wenye akili timamu wamenielewa kwani akili ni nywele na kila mtu ana zake!

mie ninavyojua mchezo mzuri ni ule ambao mnaenda hadi mnafikia mnavuana nguo(9t dressing) wenyewe. Sasa hata wakati hamfanyi au hamna mpango wa mchezo muwe mmelala uchi. Anyway kila mtu na mapenzi yake
 
mkumbuke pia watoto wa below 4 mnapolala japo ni wanandoa
Yaah, mtoto akishaanza ujanja ujanja tu, eti mara anafumbua macho kusikiliza mama analilia nn, haraka sana anahamishiwa kwa dada (house girl)! Otherwise ndo yaleee... joto likizidi ukaitupa shuka, utasikia mtoto anamwambia mama yake, "baba kang'atwa na panya buku kiunoni, tumsaidie kulitoa", Utavutwa dudu weweeeeee...? Chezea watoto wa kidigitali......
 
Maongezi yako yanaonesha unaishi Mwananyamala kwa Kopa. Mlango wa nje ni wa mbao na chumbani ni pazia au gunia. Mimi sidhani kama inachukua dkk ishirini kuvaa nguo emergence ikitokea.

Sasa kama unalala na nguo kwa kuogopa moto na majambazi, unafanyaje 'mandingo' na mwenza wako? Kinguo-nguo?

Kama wewe ni muoga kiasi mlango ukipigwa hutakumbuka kuvaa nguo basi naamini hata ukiwa na hizo nguo huwezi kukimbia. Watakukuta tu hapo umejisaidia haja zote na mkeo keshakimbia.

By the way, kwa manufaa yako na wenzako, siku nyumba yako ikishika moto na wewe ukawa trapped, vua nguo ndio upite kwenye moto. Ukipita na nguo, nguo zitashika moto na ndio utakuwa mwisho wa mbegu yako
"Bad Boy"
 
Hehehe.....ukiwa kwenye ndoa ni full kujiachia bana! Tabu ya nini? Kwanza maungo yanatakiwa yapate hewa ya kutosha. Its healthy for productivity!
 
hadi wabashiri wamo humu duh
Maongezi yako yanaonesha unaishi Mwananyamala kwa Kopa. Mlango wa nje ni wa mbao na chumbani ni pazia au gunia. Mimi sidhani kama inachukua dkk ishirini kuvaa nguo emergence ikitokea.

Sasa kama unalala na nguo kwa kuogopa moto na majambazi, unafanyaje 'mandingo' na mwenza wako? Kinguo-nguo?

Kama wewe ni muoga kiasi mlango ukipigwa hutakumbuka kuvaa nguo basi naamini hata ukiwa na hizo nguo huwezi kukimbia. Watakukuta tu hapo umejisaidia haja zote na mkeo keshakimbia.

By the way, kwa manufaa yako na wenzako, siku nyumba yako ikishika moto na wewe ukawa trapped, vua nguo ndio upite kwenye moto. Ukipita na nguo, nguo zitashika moto na ndio utakuwa mwisho wa mbegu yako
 
wadada wengi huoenda sana kuvuliwa............
mie ninavyojua mchezo mzuri ni ule ambao mnaenda hadi mnafikia mnavuana nguo(9t dressing) wenyewe. Sasa hata wakati hamfanyi au hamna mpango wa mchezo muwe mmelala uchi. Anyway kila mtu na mapenzi yake
 
Hv ck hz yule mnyama alikua anaitwa Popo Bawa yupo wapi naona wamemsahau natafuta namba zake nitawatumia wakuu wapenda kujiachia!!!
 
Tatizo lingine la kulala uchi hasa kwa ndugu zangu wanaoota ndoto za vitendo ni hatari ukawii kuota unatembea alafu ukafanya kweli kutembea uchi nje ya nyumba ukiwa usingizn hatari hiyo!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mie nikilala uchi sipati usingiz kabisa, mpaka nivae pensi laini otherwise nahisi kama siko safe.

We ka mie !............usingizi unaruka kabisa. Ila siku hizi nimegundua hakuna raha kama kulala na kikoi.
Ukitaka kula mzigo unalegeza fundo, kikoi kiko chini, unakula mzigo !
 
Hata mie hufanya hivo siku moja moja najisikia kurelax very comfortable natandika kitanda changu vizuri kwa shuka za polyster nahakikisha chumba kina nyuzi joto 16C then nalala usingizi unakuja vzr!!

Hizo nyuzijoto 16 unaziseti vipi kama uko Dar?
 
Kulala uchi.....mmmmh....Kama geto ni ya uswazi, nyumba ya tembe...aise....sasa si "wadudu nyumba" kama mende, mijusi watakuwa wanaperuzi na kudadisi maeneo, Mbona ni hatari...haswa kwa mtu mke afadhali hata kwa mtu mume.
 
Ni raha sana kukaa uchi ukiwa room kwako! Raha inakuja hasa pale unapojiona na kumshukuru MUNGU kwa jinsi alivyokutengeneza. Lakini raha zaidi ukiwa busy na shughuli kama kujisomea, n.k. huku unachezea-chezea dudu lako mwenyewe, aaahh, raha utamu tuuuu
 
Hehehe.....ukiwa kwenye ndoa ni full kujiachia bana! Tabu ya nini? Kwanza maungo yanatakiwa yapate hewa ya kutosha.

haswaa.! uwe na waswas uko somalia?, ukiwa chumban na mwenzi wako fanya ya chumban bhana!
 
Kama wewe ni mwana-ndoa, sidhani kama ni sahihi kulala ukiwa umevaa nguo kwani kufanya hivyo ni kumnyima mwenzi wako uhuru wa kuuchezea/kuutumia mwili wako, ambao ni halali yake!

Jamani kwani mkioana ngono ni kila siku.???? Basi balaaj
 
Back
Top Bottom