Binti aliyetoroka kijijini kwao moshi arejea

Binti aliyetoroka kijijini kwao moshi arejea

NancyM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
314
Reaction score
40
Binti aliyetoweka kijjni kwao arejea afta 10yrz;
Baba; We mtoto ulipotelea wap, unajua ulimtesa sana mama yako?
Bint: Nlikua nafanya kaz ya umalaya marekan.
Dngi; Mshenz mkubwa we, umetutia aibu wazaz wako,toka na usikanyage tena hapa?
Bint: Sawa baba ila kabla sijaondoka, nimewanunulia nyumba ya kisasa mjini, mil 75 benk, na gar nlilokuja nalo ni lakwako.
Dngi; Hv ulisema unafanya kaz gan tena?
'UMALAYA'
'Aahaa, mi nlisikia UYAYA. Karbu ndan mwanangu'

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dhambi hata kama ina masilahi usiilee wawezampoteza mwanao kwa tamaa. Ni nini kitakachokutenga na upendo wa Bwana Yesu ni umasikini au?
 
Dhambi hata kama ina masilahi usiilee wawezampoteza mwanao kwa tamaa. Ni nini kitakachokutenga na upendo wa Bwana Yesu ni umasikini au?

hv ungekuwa ww mkuu ungekataa ukabaki na msosi wa ugali mkubwa na mboga ya ugali mdogo??
 
Teeeh teeeh kwi koh!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huyo tangu mwanzo alisikia kabisa kuwa bintiye amemwambia alikuwa anafanya UMALAYA na siyo UYAYA ndo maana kaanza kumtimua.

Alivyotajiwa tu kuwa kuna hiki na kile kwa ajili yenu, mshua akapotezea kwa kumkaribisha bintiye ndani. Just vitu tu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom