Misemo ya bongo

Misemo ya bongo

Cha mtu mavi ukikiiona kitemee mate

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tulia ww jogoo liamshalo watu asubuh ila kufungua mlango huwez na kamwe hutoweza kazi kuwika tuu

Sent from my BlackBerry
 
Ukipanda mahindi unavuna mahindi nakushangaa ww unavuna karanga aha

Sent from my BlackBerry
 
Chokochoko mchonoe pweza mm hutoniweza, hakuna marefu yasio na ncha

Sent from my Nokia
 
Usiguse koki utalowa!!!kelele za chura hazimtishi tembo kunywa maji

Sent from my Nokia
 
-------- huidhirisha hasira yake yoote bali mwenye hekima huizuia na kuituliza.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kodi za simu (1000) ni kwa ajili ya kuweka umeme ruvuma na kujenga hospital
 
Kesho nendeni msitu wa mabwepande kuokota maiti yake, tumechoka sisi, liwalo na liwe
 
Gamba limeishia kiunoni, by andrew chenge.
 
Back
Top Bottom