Heshima yenu wakuu.Tangia mwaka jana nlikua nimefanya uchunguzi binafsi wa swala hili na kugundua kuwa wanawake wanao badili rangi ya nywele zao na kua ya dhahabu unakuta asilimia kubwa hawajatulia. Hawa wanatofautiana na wanao vaa mawigi. Hawa ninao wasema mimi ni wale wanao badili nywele zao za asili. Ukimchunguza utakuta ana tatoo za kudumu eidha kwenye matiti, mkononi, pajani na kiunoni. wanapenda sana starehe, hawana mapenzi ya kweli. wengi wao ni vicheche.huo ndo ukweli. samahani lakini. mia