Eti hii ndo List ya wanyakyusa waliozamia Majuu:

Eti hii ndo List ya wanyakyusa waliozamia Majuu:

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
1.Rick Ross (Eric Mwairosi)
2.Kanye West(Kanyetile Mwalwese)
3.Lady Gaga(Lidia Mwaigaga)
4.Chris Brown(Christopher Brown Mwakikonyola)
5. Baraka Obama (Baraka Mwakalinga)
6. Andy Cole-(Andendeki sye Mwakikole) - UK
 
Bee ndo ilivyoo wa iringa

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Mhhh alafu sio tu wanyakyusa hata wahaya coz Rihanna ni Rwebugisa Rwehimamu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Na marehemu Magreth Thatcher alikuwa mtu wa Musoma. Ma'greti Chacha!
 
Wahaya kila mahali wanafuata libolo

Sent from my BlackBerry 9800using Jamie's
 
Hahaha tinambuya umenichekesha sana wahaya wanafata libolo hahaha

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom