tatizo umeanzia hospital za private ,udalali ni mwingi
anyway urethral stricture zinatibiwa sana tu hapa bongo kwa operation inaitwa EPA (EXCISION AND PRIMARY ANASTOMOSIS)
aende hospital aonane na specialist wa magonjwa ya ndani au cardiologist mana hapo inaweza kuwa syncope au arrythymias so maswala ya ECHO na ECG yatamhusu na issue nyingine watakazosema hao mabingwa
ndege wafananao huruka pamoja , kama ww binafsi huna uwezo wa kumsaidia mwingine akipata shida ya ghafla ujue hata contacts zako zimejaa watu ambao hawawezi kukusaidia
medical school wanasoma basics tu na common cases but for rare cases na complicated cases lazima radiologist atoe report yake ndo maana radiology ni specialty
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.