Recent content by plock

  1. plock

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa

    Acha uone kama biashara inalikizo ya siku 28 au ruhusa za mara kwa mara
  2. plock

    JamiiForums Tanzania Forex inataka niua

    Unawashauri nini wanaotaka kuingia kwenye forex ili wasije fikia hatua uliyopo sasa au aliyepo forex na majanga haya hayajamkuta nini afanye ajitoe au aendelee kupambana
  3. plock

    JamiiForums Tanzania Barua za uhamisho kutoka TAMISEMI kwenda mkoani inaweza tumika kukuhamisha?

    Mbona utumishi kama walidai kila kitu kwenye mfumo na barua inapatikana kupitia mfumo baada hii pepmis kuanza kazi jaribu kupiga call centre ya utumishi kabla haujaenda uwaelezee
  4. plock

    JamiiForums Tanzania Kuhama kituo cha kazi kupitia mfumo wa ESS

    Itaondoka automatic achana naye
  5. plock

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

    Kanunue kiwanja chalinze una uhakika wa kuuza zaidi ya milion tatu karibu chalinze
  6. plock

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kwasasa naona kuna ugumu mambo ya hardcopy wanataka kupunguza/kuondoa kabisa barua utaona kwenye mfumo pale pale lengo ni kuondoa ule ukiritimba wa mtu kutokumsainia barua mtumishi kwa wakati ndio maana hata msimamizi au mkurugenz asiposaini katika muda uliowekwa inaondoka automatic kwenda hatua...
  7. plock

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Vacancy kwa ninavyoelewa kama sehemu unayoenda hujui kama nafasi ipo ndio unatuma kwanza hiyo wakikubali unafanya transfer Transfer uliyofanya kwa upande wangu uko sahihi kabisa kwasababu nafasi ilikuwepo kwahiyo kinachosubiriwa wenyewe wataangalia cv ya nani itawatosha watamjibu au kama...
  8. plock

    JamiiForums Tanzania Simuelewi Mke wangu

    Mtafutie tiba hiyo hali itakuwa inampa mawazo au mweke karibu zaidi kwa story na mtoke out mara nyingi asihisi kama hali aliyonayo kwa upande wake kwako imeshakuwa mzigo ili awe huru . Yote ya Yote siku ngumu hazikawi kuisha mvumilie
  9. plock

    JamiiForums Tanzania Vyombo vingi vya habari vipo kwenye mgao wa kumchafua Heche

    Sasaivi ukinunua redio bora usikilize redio za dini upate neno la Mungu
  10. plock

    JamiiForums Tanzania Nina stess kali za kuoa mpaka nakonda mwili

    Tulia kwasasa na kuoa ni kutafuta kama kilimo huwezi ukawa na mmoja ukaenda naye mpaka mwisho weka plann ya wengi ndani ya mwaka mmoja utamuona aliye sawa kwako nenda naye huyo huyo mmoja anaweza badilila mbeleni ukarudi nyuma mwenzako unayemuongelea ulikuwa unamuota aliweka mitego mingi ndio...
  11. plock

    JamiiForums Tanzania Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

    Hongera sana siku ukipata muda ninaomba utupitishe hatua za kuwekeza na ni mifuko ipi tuanze kwa kuchechemea hivyo hivyo ndugu
  12. plock

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika darasani tupo Wanafunzi 500 badala ya 300, TCU ipo kimya tu!

    Vumilia ndugu, wana njia nyingi za kuwapunguza hata kupitia mitihani lakini na walimu nao wanavumilia ili wawasaidie utawakatisha tamaa sasa. Hata kwenye ajira mtaani wako wengi lakini nafasi zinatangazwa chache na vyuo havisitishi kuendelea kutoa elimu
  13. plock

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tatizo la Mke wangu la mfumo wa Mkojo lililodumu Miezi 7

    Naomba angalia na ushauri wa huyu nairobi wapo vizuri nilishaumwa nikafanyiwa incision biospy selian arusha kulikuwa kuna dokta wa kizungu pale miaka hiyo aliamua kunisaidia nilimwambia siwezi kwenda nairobi akanipa option ya kutuma sample nairobi hospital kuchunguzwa ilichukua siku 21 majibu...
  14. plock

    JamiiForums Tanzania Hospital Yenye kipimo cha aleji

    Asante walisema sina nyama ya pua nilipima kwa endoscope wakaona ni alegy tu
  15. plock

    JamiiForums Tanzania Hospital Yenye kipimo cha aleji

    Sawa mkuu hata Mawazo yako pia yanaweza saidia tukiunganisha na wengine
Back
Top Bottom