Recent content by PLAZARO

  1. PLAZARO

    GE2025 Maandamano yakifanyika kwenye vituo vya Kura, uchaguzi unaharishwa

    Kwanza, ni muhimu kutofautisha kati ya maandamano ya amani na vurugu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua haki ya wananchi kuandamana kwa amani kama njia ya kuwasilisha maoni yao. Ikiwa maandamano haya yanafanyika kwa amani, basi kuyatumia kama kigezo cha kuharisha uchaguzi...
  2. PLAZARO

    GE2025 Maandamano na Mauaji: Tanzania Katika Msukosuko wa Kisiasa

    Maandamano na Mauaji: Tanzania Katika Msukosuko wa Kisiasa Katika wiki ya uchaguzi mkuu wa 2025, Tanzania imeingia kwenye kipindi kigumu cha kisiasa. Maandamano makubwa yameripotiwa katika miji mikuu kama Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, na Moshi, yakichochewa na madai ya ukiukwaji wa haki...
  3. PLAZARO

    Je Mafwele ni Mtanzania?

    🤣
  4. PLAZARO

    Je Mafwele ni Mtanzania?

    Ni mtu wa ajabu sana
  5. PLAZARO

    Paul Makonda's resilience and character serve as an inspiring example for all of us

    You are missing the point here. Makonda has a great connection with the current President. He was just waiting for the right time, CCM have a very clever intelligence unit that plays with Tanzanians minds. I must say Makonda wont last that long in that position. Unless CCM decides to use...
  6. PLAZARO

    Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

    Hii ndio biashara isiyokuwa na Stress? We jamaa acha kumdanganya. Hakuna Biashara isiyokuwa na stress. Million 20 ni pesa nzuri for a start, nadhani kwanza afanye research.
  7. PLAZARO

    Start to accept that everyone is evolving on his or her own terms

    This is very true. People tend to forget that things do not stay forever and there is a dynamic ways of how we perceive them.
  8. PLAZARO

    Maji ni Mtego wa Umasikini (poverty trap)

    Asante sana mheshimiwa Zitto Kabwe kwa kulitazamia suala hili, binafsi ninaumizwa sana na tatizo la Maji kwa jinsi linavyotukumba nchi yetu ya Tanzania. Tanzania ni nchi yenye maziwa na mito mingi sana na ni kati ya Nchi inayozungukwa na Bahari ya Hindi lakini bado ni nchi yenye matatizo makubwa...
  9. PLAZARO

    Sisi walimu wa ICT tutafundishia wapi !!!

    Kwa walimu wenye Degree kama Yako ni rahisi sana kuajirika, tengeneza mazingira mazuri ya ww kupata Experience na hicho ulichosoma. Fanya 1. Tafuta Volunteering experience kwenye Shule, NGOs - hii inaweza kuwa Internship pia. Kuna mashirika yanataka watu wenye ICT skills. Andika Request yako ya...
  10. PLAZARO

    Msaada wa majina ya watoto Pacha

    Chibu di + chibu dee
  11. PLAZARO

    Naomba link(s) ya kudownload vitabu

    Habari Ndugu zangu.. Nimekuwa nikisoma vitabu mbalimbali kupitia maktaba za serikali, ila nmepitia online pia. Kusoma ni jadi yangu na kupitia vitabu najiona kama naongeza vitu vingi sana ambavyo pengine nisingevijua kabisa. Kwa yeyote anayejua site au ana pdf ya vitabu tofauti kuhusu jamii...
  12. PLAZARO

    Ni maandamano au ni mapinduzi?

    o_O
  13. PLAZARO

    Je, Jua ni Mungu?

    Jamani acheni kufuru.
Back
Top Bottom