[emoji38]TOM AND JERRY
Hii forum imebarikiwa mandezi wa kiwango cha PhDChibudii & Chibudee
Nasra na Nasreendini plz au sikuhiz sio kigezo mana watu hatueleweki...
Islam
Salha+Salma
Samia+Shadya
Milhat+Lailat
Christian
Juliet+Juliana
Levina+Regina
Lilian-lilianeLilian - Liliane
Linah - Lisah
Nataka nomino sio kivumishiKulwa na doto
Doi na K
Haya ndio majina ya watoto mapacha
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ni wakati wa kutulia uwape wanao majina yenye upako.Ukimpa mwanao jina tu ni wakati ambao baraka na balaa nazo huingia na magonjwa pia.Be care.
Hata wangu ni ke piaGraziella na Gabriella ni majina yenye asili ya kiitaliano yenye maana sawa na upendo.Ni kwa watoto wa kike tu.