Recent content by plawala

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Dr. Slaa amjibu Nape, aingizwa 'King'?

    Sawa sawia
  2. P

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) 21(1,2) na Kamanda Kamuhanda

    Tuwasubirie washitaki maarufu kama C Mtikila kuja kumshitaki huyu bwana Kamuhanda Vinginevyo huwa nakubali vifungu vya hotuba ya The former South African president , alisema hivi "Bynow every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rulethemselves. Give them guns and they will...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nape: Huoni tofauti kati ya kauli yako na Dr. Slaa?

    Sababu ya kushitaki ipo,nafikiri na wewe mjadala haujakuingia sawa sawa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nimrod Mkono aitisha CCM

    Huyu jamaa CHADEMA hawezi kwenda kwa sab walimtaja kwenye list of shame
  5. P

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Kushiriki Hukumu ya Lema

    Historia inaonyesha kwamba kwenye shauri ambalo jaji mkuu ni mwanajopo hukumu itafurahisha upande wa serikali Kama ilivyokuwa kwenye shauri la mgombea binafsi lililofunguliwa na Mtikila
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mtatiro afichua kilichomfanya ajiunge na CUF

    Kujifanya unarudisha kadi ya SISIEM na kuchukua kadi ya SISIEM B kuna tofauti gani
  7. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasitisha oparesheni M4C na kuitisha kikao cha Kamati Kuu

    Ni mkakati mzuri wa pamoja utakaotusaidia kujua njia nzuri zaidi ya kusonga mbele Elimu ya uraia lazima iendelee kupitia M4C Ushindi kwa njia ya elimu ya uraia ni lazima
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mama Hawa Ngulume afariki dunia!

    Wengine tulienda wilaya ya Ilala baada ya mama Ngulume(RIP) kuwa mkali kupitiliza,yule wa Ilala alitusaidia
  9. P

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    Kama una ushawishi kwa ccm basi washauri wamsimamishe Hoja namba tatu ni kama unatania,lets wait and see!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Chadema M4C-Iringa wasitishwa!

    Hizo njia mbadala za kuingia ikulu tunazijua na tutazidhibiti
  11. P

    JamiiForums Tanzania Chadema kutokubali uchaguzi mdogo Arusha Mjini kunazua maswali!

    OSOKONI= Sifuri sokoni
  12. P

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Hayumo kati ya watu niaowapa credits za kuwa rais wa tanzania,achilia mbali ndani si si em Dawa yake ni kutafutiwa mgombea mbadala mwenye ushawishi abwagwe na arrogance zisizo na mashiko
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais waeleze ukweli hawa madaktari, ni kweli wana skills za kutosha?

    Nakei Watu wenye majina haya sio wachovu wa kuelewa mambo,hilo tu ndio limenisikitisha
  14. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Sijajua elimu yako na ufahamu wako Imesemwa mara zote hakuna vifaa tiba MNH na hospitali karibu zote nchini, ndiyo maana inalazimka kumpeleka nje
  15. P

    JamiiForums Tanzania Membe - Chadema walikuja kwangu wakiwa na njaa

    Alisema hivi Wakati wanajiandaa kula mlinzi wake alikuja kumwambia kuna vijana wa CHADEMA walikuwa wanagonga mlangoni, yeye akamwambia awakaribishe akasema pia na "walikuwa na njaa" mwisho wa kunukuu
Back
Top Bottom