kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,352
- 13,455
We kweli hujui utamu wa ubunge, lazima ajipendekeze ili arudishiwe ubunge. Lakini ndio ajiangalie tu, tabia ya mtoto wa kiume kujipendekeza ni mbaya.
Acheni upumbavu swala la ubunge ni la CDM,si la chama DHAIFU subirini 2015 muone kitakachotokea.