Mkutano wa Chadema M4C-Iringa wasitishwa!

Mkutano wa Chadema M4C-Iringa wasitishwa!

Wanafiki na wauaji ni maadui wa Mungu duniani na ahera, na maandiko yanasema 'ukiua na ww uuwawe' ikiwa tu kifo hicho ni cha makusudi, ila kwa kifo cha kujitakia sheria hapo hai appy.

kwa kuwa Mwenyezi Mungu anatuona sote basi na iwe kama ulivyosema hapo juu.

iwe leo au kesho wanaostahili hukumu hukumu itakuwa juu yao
 
GeniusBrain ametumwa kuvuruga topic hii. Ana uwezo wa kujibu hoja lakini tafsri ya mtu Mnafiki inamhusu yeye 100%. Naona hajasoma alama za nyakati huyu. Ni msahaulifu sana wa pepo za mabadiliko ya utawala za serikali na vyama kandamizi barani Afrika.
 
Wanafiki na wauaji ni maadui wa Mungu duniani na ahera, na maandiko yanasema 'ukiua na ww uuwawe' ikiwa tu kifo hicho ni cha makusudi, ila kwa kifo cha kujitakia sheria hapo hai appy.


Kama ni kwa sheria za kibinadamu sawa utahukumiwa kifo ikithibitika hivyo mahakamani.


Huko kwa mungu pia alieuwa auwawa? yaani anahukumiwa kiimani afe?

i) mungu ameamuru tumsaidie kuhukumu na kutoa adhabu? kivipi na kwanini, mungu hajiwezi mpaka saidiwe?

ii) Je unaamini mungu kutoa adhabu siku ya kiama na kwamba kuna jahanamu? kama ndiyo kivipi na kama sio kwanin?

iii) Kama unaamin kuna kiama na jahanamu, hukumu unayoifanya sasa inauhusiano wowote na ile ya mungu siku ya mwisho? kivipi na kwa nini?

iv) Kama swali i) hapo juu ni ndiyo, je siku ya kiama mungu atafanya nini endapo hukumu umeitoa teyari?



Hebu tusaidie kutuelimisha kipengele baada ya kipengele usitoe jibu la jumla. Tumia elimu ilimu ya kiiman kutuelimisha sio elimu dunia ukizingatia mauwaji ya kinyama aliyofanyiwa mpendwa mtanzania mwenzetu ALLY.
 
Mbona ccm waliandamana kutoka ccm mkoa mpaka uwanja wa ccm kirumba na aliyewagusa.pia tumeona mara nyingi Nape akisindikizwa kwa maandamano kwenye ziara zake mikoani.kwao maandamano ni halali kwa wengine ni uvunjifu wa amani
 
watabana mwisho wataachia, sensa ikimalizika watasingizia nn?

Sheria ya sensa inasema watu waendelee kuhesabiwa kama kawaida lakini SHUGHULI ZA KILA SIKU ZA KIMAISHA ZISISIMAME.Sasa hii ya kusema UNAZUIA MIKUTANO YA CHADEMA eti kwa sababu ya sensa inatoka wapi kama si uongo wa kijinga kabisa?

Busara inasema kwamba hata kama CDM watasema wasimamishe mikutano kwa wiki hii nzima kupisha sensa, bado watazua sababu nyingine za kipumbavu kama hizo za Shilogile! Hivi kweli mtu anaweza kutoa sababu ya kuwa barabara za Morogoro ni nyembamba sana? Hiki ni kichekesho cha karne. Tumwulize Shilogile kwamba kama haya maandamano yangelikuwa ni ya chama Twawala CCM angezuia maandamano kwa sababu dhaifu kama hii kweeri???

Natilia shaka sana uadilifu wa RPC Shilogile. Watu kama Shilogile waombe sana kuwa siku utawala mpya ukiingia madarakani basi wasiwepo nchini maana sijui wataficha wapi nyuso zao!!!!
 
Mkuu hebu funguka Mazishi ya kijinga yapo je?

Huyo alivyofungwa, hana uwezo wa kufunguka. Tumuachie Mungu tu! Yeye analichukulia hili kama ushabiki wa Yanga na Simba. Takwimu za Arusha (3) +Igunga (1) + Usa River (1)+ Morogoro (1)+.....si dalili njema kwa nchi tuliyojivunia amani. Ukweli u wazi, kuwa watawala ndio wanaua watu wao (Libya, Tunisia, Syria, Tanzania...)
 
.....[/QUOTE]

Wewe ni mtu wa HOVYO kabisa! Posti ya juu unasema CCM haitoki madarakani kwa kura. Posti ya chini unasema CCM ni watu wa kufuata sheria na wanajua sheria. Kwani CCM zipo ngapi? Unaangaika tu kama kuku aliyekatwa kichwa CCM wamekutumia sana :HUKO NYUMA na naona hamu yao haijaisha wanaendelea kukutumia.

Pole una-IRITATE.
 
Mbona ccm waliandamana kutoka ccm mkoa mpaka uwanja wa ccm kirumba na hakuna aliyewagusa.pia tumeona mara nyingi Nape akisindikizwa kwa maandamano kwenye ziara zake mikoani.kwao maandamano ni halali kwa wengine ni uvunjifu wa amani
 
....[/QUOTE]
Napata taabu na maneno yako makali kumbe mnatuzurum wananchi kura zetu eee sasa umenipa jibu lakini je unakumbuka kuwa hakuna marefu yasiyo na ncha?

Hapo umenena kuwa kweli mnaongoza wajinga kuanzia wenye degree mpaka wale wasiojua kusoma wala kuandika inasikitisha sana ok huu ni muda wenu wa kula lakini hata Comred Gaddaf alikuwa kama ccm lakini yuko wapi sasa na je si alikuwa zaidi ya CCM?

Ndg. nenda kwenye Halmashauri zote za serikali hapo utapata nguvu ya CDM kuwa kweli nchi inaongozwa na CDM ni wakati tu kwani hata mukiiba mwisho wenu umekaribia Mungu huwa upande wa wenye haki ila nakupongeza kwa kujipa moyo ktkt ya miiba inayochoma kotekote
.
 
Kustisha muendelezo wa mikutano ni sawasawa kabisa

Ally apewe heshima yake kama mtanzania na kwa maana ya utanzania wetu lazima tujenge heshima ya kuutukuza kwa nguvu zote.


Ally amekufa na kila mwenye uhai atakufa, lakini kifo cha Ally kinatia huzuni sana na kwasababu mauti ya Ally yamefanywa na polisi katika kuidhibiti chadema, basi chadema waoneshe heshima kubwa nayapekee kuuenzi msiba huu. kumbukumbu zote zihifadhiwe vema ili siku zitakapohitajika zipatikane kwa haraka na wepesi zaidi.


RIP ALLY.
 
Mbona ccm waliandamana kutoka ccm mkoa mpaka uwanja wa ccm kirumba na hakuna aliyewagusa.pia tumeona mara nyingi Nape akisindikizwa kwa maandamano kwenye ziara zake mikoani.kwao maandamano ni halali kwa wengine ni uvunjifu wa amani
 
Ha ha haaaaaaaa yako wazi hayo , na hapa sio madrasa hiyo nikukuonyeshe kuwa tuna weledi wa nyanja zote , sio mtu unakuwa na kitu kimoja tu ambapo hata akili uwezo wakufikiri unakuwa mchache. Hapa kila nyanja nipo, hakuna kupigwa chenga , ww sasa una nyanja moja tu na ndio yawa rahisi kurubuniwa na wanasiasa
Vipi bado mnaendelea kugomea sensa? likiisha hili zoezi mtaanza la kadhi tena nini?
 
FFU wameuzingira uwanja wa mwembetogwa pia wengine wanaonekana wakizunguka sehemu mbali mbali za manispaa ya Iringa!
 
Well done polisi, msikubali watu wachache wenye uchu wa madaraka kumwaga damu za watanzania kwa mtaji wao wa kisiasa. Hakuna uhuru usio kuwa na mipaka !
Kubwa jinga,unajiita Genius wa uharo,na mtakimbia tu hii nchi maana mimacho imewatoka mpaka basi
 
Nchi imetulia , na mambo yanaenda kama kawaida including kukusanya kodi yako kwa maendeleo ya nchi, tutasimamia sheria na hatoogopwa mtu. Huu ni utawala wa sheria na sio utawala wakimangi wa CDM

Unafikiri mlipewa hati miliki ya Tanzania! Wait and see, mtabakia na njozi zenu za miaka ya 1900 za alfu lela ulela.
 
Well done polisi, msikubali watu wachache wenye uchu wa madaraka kumwaga damu za watanzania kwa mtaji wao wa kisiasa. Hakuna uhuru usio kuwa na mipaka !

Heee we bado upo? Ulipotea, tulikusahau kabisa
 
Hali si shwari, nimeongea na mmoja wa viongozi waandamizi wa CHADEMA anasema viongozi wa CHADEMA akina Dr. Slaa wako njiani wanakuja Iringa wakitokea Morogoro, hapa Iringa FFU wamezingira uwanja wa Mwembetogwa. Kimsingi tutegemee kipigo kama kile cha Morogoro.
 
Mbona ccm waliandamana kutoka ccm mkoa mpaka uwanja wa ccm kirumba na hakuna aliyewagusa.pia tumeona mara nyingi Nape akisindikizwa kwa maandamano kwenye ziara zake mikoani.kwao maandamano ni halali kwa wengine ni uvunjifu wa amani
 
Ni ndoto za mchana kwa CDM kuingia ikulu sio tu 2015 hata 3000, haipo . Na usidhanie kuingia ikulu ni kwa kile kikaratasi chhako unacho tumbukiza kwenye boksi, ni zaidi ya hapo, sasa utatumia njia gani km hiyo itashindwa? CDM ni sawa na kuku wa kuchora, hadonoi, hali, hawiki na hafai kwa nyama wala mayai


Hizo njia mbadala za kuingia ikulu tunazijua na tutazidhibiti
 
Back
Top Bottom