Recent content by plascreen

  1. plascreen

    Raha Na Karaha Za Simba vs. Yanga

    Yaani mwanzo mwisho anaonekana muandishi mmoja tu
  2. plascreen

    Living the dream: Jokate akiwa na Jay Z na Beyonce kwenye NBA all star game

    Hebu ulizia bei ya hivyo vitu walivyovaa thamani yake unaeza ukauza hio nyumba yenu ya urisi? Halafu Ujue mwenzio ni mwanamitindo wewe endelea kuvaa Madera tu
  3. plascreen

    Nahitaji flat screen tv

    Yaani laki tano ni pesa ambayo inatosha kabisa kuingia Dukani tena kifua mbele kwa vile akili zako ni za kushikiwa ndio umeona utafute matapeli humu mitandoni
  4. plascreen

    Mtanzania akamatwa muda huu Msumbiji, apigwa pingu

    Hivi saivi kuna mabasi yanatoka muitipuez kuja mikoa mengine yakiwa yamebeba wananchi wa Mozambique kuwarudisha kwenye mikoa yao kwa ufupi hawatakiwi watu wasio na shughuli maalum hatakiwi mfanyabiashara wa mkoa mwengine
  5. plascreen

    Mtanzania akamatwa muda huu Msumbiji, apigwa pingu

    Mm niko MSUMBIJI wageni wote hawatakiwi maeneo ya migodini kule muitipuez sio WATANZANIA tu wanaofukuzwa hata mozambicano ambao sio wazaliwa wa muitipuez na hawana kazi maalumu nao wanafukuzwa mm niko mji mwengine mbona huku kuko Freshi kule muitipuez kuna Madini ya ruby serikali haitaki kuona...
  6. plascreen

    Mtanzania akamatwa muda huu Msumbiji, apigwa pingu

    Kaka mm niko MSUMBIJI huku tunaishi Freshi tu wanafukuzwa wageni wote wanaokaa sehemu za migodi muitipuez mbona mikoa mengine wageni wako salama
  7. plascreen

    Watanzania Wanaoishi Kinyume na Sheria wapewa Siku 5 kuondoka Msumbiji

    Mataifa yote mkuu ila sisi WATANZANIA tunapenda kukurupuka kwenye Kutoa habari
  8. plascreen

    Waziri Mkuu Majaliwa: Viroba marufuku kuzalishwa wala kutumiwa kuanzia Machi 01, 2017

    Kama kuna mtu anafahamu Au anamfahamu mtu Mwenye kumiliki kampuni ya viloba naomba anielekeze nipate mawasiliano nae kabla hajafunga kiwanda kuna USHAURI nataka nimpatie sehemu ambayo anaweza kuweka kiwanda chake nje ya nchi bila ya kusumbuliwa na ulinzi atapewa, Ukisema cha nini mwenzi.........
  9. plascreen

    Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

    Mipaka haijafungwa watu wanapita kama kawaida ila ukaguzi ndio umezidishwa Hawatakiwi wageni sehemu za migodini mbona sehemu zilizo jirani n hapo hali iko shwari?
  10. plascreen

    Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

    Yaani huko tete ndio kupo salama kabisa
  11. plascreen

    Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

    Hii tabia ya Polisi wa MSUMBIJI kuwanyanyasa raia wa kigeni si ngeni Ila kwa sasa wamekuwa wana deal sana na wageni wanaoishi montipuez sababu nimeongea na jamaa yangu yuko Pemba cabo del gado amenambia wao wako salama tu hata hao wanaotoka montipuez wanakimbilia huko Pemba Kikubwa ni kwamba...
  12. plascreen

    Tecno C9 Pro/Plus

    Wasomi wa kibongo ni wajinga tu kumwita mwenzako lofa kwa kutoelwa Kiingereza nao ni ujinga tu Ila kwa Mwenye hekima hutambua mapema
  13. plascreen

    Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

    Ila hii ishu serikali ya Tanzania inaelewa jambo haiwezekani mpaka mjumbe wa Balozi wa Tanzania aongee maneno kama hayo
  14. plascreen

    Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

    Mm niko MSUMBIJI vile vile kwa anaeilewa Mozambique hii ni kama kawaida yao huwa wanafanya kila baada ya miaka kadhaa na sio tu kwa WATANZANIA ni kwa wageni wote na huwa inafanyika hivi kila mkoa Kwa wakati wake. Ila hili la kubakwa ni geni siwezi kukataa au kusibitisha Na hii kamata kamata...
Back
Top Bottom