Nahitaji flat screen tv

Nahitaji flat screen tv

LG nchi hizo huwa hazizidi laki 7 so inategemea, alafu Wengi wanaziogopa mtumba ila mtumba ni konki cuz tunazozichukua ni kutoka Dubai na Uingereza...
Nitajie bei kamili ya lg smart TV inch 32
Pia nipe bei ya lg inch 32 TV ya kawaida
 
Agent wapo dar, tanga, morogoro, na zanzibar, ukubwa zipo inches tofauti pamoja na bei tofauti alafu inategemea kama ni smart au sio smart
Tatzo mkuu haufunguki bei na aina ya flat we mwaga bidhaa happa then tujue kipi ni kipi mkuu
 
MM NATAKA MTUMBA....BEI ZA MTUMBA ZNAANZIA NGAPI HAD NGAPI?
Bei za mtumba inategemea na Inches za TV, aina yake na condition yake, ila nyingi zinaanzia 1.5 mpaka laki 8
 
Morogoro ntawapataje?
Morogoro yupo agent ambae mzigo ukitumwa ndio utakwenda kuuchukulia kwake, na kama mtahitaji kuonana ili kujiridhisha usalama wa mali yako mkuu, agent yupo moro town sio mbali sana kutokea msamvu kama dkk 10-15
 
Naweza tumia projector nyumbani? Unazo pia projector nzuri?
projector zipo Bei laki 4, Aina ni NEC - DLP,
pamoja na Epson-3LCD
.... Hizo unaangalia hata mchana jua kali
 
niongeze 50 nikupe samsung inch 32 ipo kwenye boxy bado sikuitumia imekaa tuu
 
Yaani laki tano ni pesa ambayo inatosha kabisa kuingia Dukani tena kifua mbele kwa vile akili zako ni za kushikiwa ndio umeona utafute matapeli humu mitandoni
 
Waungwana nimechoka kuona wanangu waliozaliwa kuanzia 2006 wakiiamkiaHITACH TV (CHOGO) yangu shikamoo...nataka nilete kitu cha flat screen tv mpyaaaaa...budget yangu ni shilingi laki tano cash....haya nishaurini nikanunue aina ipi na wapi?!
Samsung na lg 32" kwa 500000, mpya kabisa za 2016
c97823b991136a90969ba47899b17ca8.jpg
2b3dd6c981790fd9499268ba10185036.jpg
58091194ac9634ee9c3e8504d038e320.jpg
contact: 0777650286 & 0718919725
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom