xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Imetumika 2 weeks Ila ipo kwa hali nzuri kwa mujib wa muuzajiHapa lofa ni Wew hapo ambaye unamuita mwenzio, kweny new condition inatumika Hata kwa bidhaa used ila ambayo Iko katika hali ya upya so hajakosea kuuliza umetumia mda gani sababu Hata used nayo inaweza kua new condition.
watu kwa kejel